Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujaelewa mada mkuu, tuliza akili usome uelewe kabla hujajibu.Ujinga mzigo
Kwa hiyo mfano ukiwa mwanajeshi uko doria mtaani akija akija kibaka kwa nyuma yako akakukaba utabonyeza computer? kuumchomoa kwenye shingo yako kiteknolojia mjinga wewe?
Hiyo ni self defense sio vitaMleta mada hujui usemacho chulia watu wamekuteka nyara wamekunyanganya silaha utapigana kwa teknolojia ipi zaidi ya kutumia ngumi mateke karate na kichwa chako?
Chukulia watu wanaleta vurugu eneo kama kariakoo ,gari haiwezi ingia je utatumia bunduki kuwapiga risasi wote kwenye vichochoro na mitaa iliyobanana ambayo ina vichochoro vingi?
Vita za ardhini mbali na kutumia silaha zinatuimia ngumi ,mateke na vichwa na karate.Wewe unawaza vita tu ya teknolojia utakuja tekwa mjini ulambwe makofi ubaki unalia tu kama bwege usiyeweza hata kujitetea kwa vichwa ,ngumi na mateke
Nadhani hata wewe mwenyewe haujaelewa ulichoandikaHujaelewa nilicho andika.
vitoto vya CHADEMA kwa kudanganyana hamjambo .Hapa ni jeshi la marekani hao mnaoita wenye teknolojia wakifanya mazoezi ya kijeshiUnawaza kama mimi na hakuna nimekuwa nikikidharau kama kuona wanaoitwa makomandoo wetu wakishindana kuvunja tofali pale taifa, na kuruka kwenye ndege kwa kutumia parachuti,
Vita ya ardhini unafikiri unapigana wapi? MIJINI UTAINGIA mitaani pia.Au uNAFIKIRI VITA NI angani tu ? Unatekaje miji bila kushuka ardhini na kuingia mitaani na vichochoroni kwenye watu wengi?Hiyo ni self defense sio vita
Mfano wako wa kariakoo haujalenga lengo la mada (vita)
Mtoa mada kazungumzia vita sio fujo
Ardhini wataingia lazima lakini ukiona wameingia ujuwe wanajuwa huna madhara tena uko hoi taabani.Vita ya ardhini unafikiri unapigana wapi? MIJINI UTAINGIA mitaani pia.Au uNAFIKIRI VITA NI angani tu ? Unatekaje miji bila kushuka ardhini na kuingia mitaani na vichochoroni kwenye watu wengi?
Unaota nchi vita si zote zinahitaji teknolojia vinginevyo Congo nA somalia WAASI WANGESHAISHA SIKU nyingi na boko haramu Nigeria wangeshaisha!!! Majeshi ya umoja wa mataifa yamewekeza kila aina ya teknolojia lakini wapi hakuna kitu!! Inabidi wasakwe physcically sio digitally!!!!Dunia ya sasa ni bora uwe na jeshi la watu 1000 wenye IQ kubwa na wenye kuweza kutumia technolojia kuliko uwe na jeshi la watu milioni moja ambao hawajui hata kuwasha kompyuta!
Ajirini vijana wenye IQ/Akili kubwa ili muwatumie katika technolojia na tafiti mbalimbali za kitechnolojia!!
Kula 5...Nimekua nikifuatilia vita ya Israel na Hamas huko ukanda wa gaza. Ninachoshangaa hamna ngumi wala kareti ni makombora yanavurumushwa angani kama mvua!
Hiyo ni moja, mbili..
Nimevutiwa jinsi Israel inavyotumia "engineering na science" kulinda nchi yake... kombora zinarushwa kutoka gaza ila zinazo tua ardhini chache sana kutokana na nguvu ya technolojia ya kulinda anga ya IRON DOME.
Yani kombora kabla halija tua lina maliziwa huko huko angani..
Sasa najiuliza hayo makombora yaliyo rushwa kwenda Israel na yakamalizwa kabla hayajatua ardhini je yangetua pale Magogoni au pale posta au pale kariakoo kuna Mtanzania hata mmoja angepona kweli?
Nadhani ni wakati sasa TISS na JWTZ wakaanza kuwekeza kwenye technolojia zaidi maana vita vya kisasa ni technolojia na sio mabavu!!
Unaweza pigwa na kanchi kadogo kisa tu kanatumia technolojia wakati wewe umewekeza kwenye mabavu na kuvunja matofali kwa kichwa!
Dunia ya sasa ni bora uwe na jeshi la watu 1000 wenye IQ kubwa na wenye kuweza kutumia technolojia kuliko uwe na jeshi la watu milioni moja ambao hawajui hata kuwasha kompyuta!
Ajirini vijana wenye IQ/Akili kubwa ili muwatumie katika technolojia na tafiti mbalimbali za kitechnolojia!!
Acheni kuangalia TBC kila saa washa Aljazeera mjifunze kichoendelea huko gaza na jinsi wenzetu wanavyowekeza kwenye technolojia!!
Zindukeni dunia imebadilika hii!!
Naomba kuwasilisha!
hao wanaonyesha ukakamavu tu mkuu sio vitaNimekua nikifuatilia vita ya Israel na Hamas huko ukanda wa gaza. Ninachoshangaa hamna ngumi wala kareti ni makombora yanavurumushwa angani kama mvua!
Hiyo ni moja, mbili..
Nimevutiwa jinsi Israel inavyotumia "engineering na science" kulinda nchi yake... kombora zinarushwa kutoka gaza ila zinazo tua ardhini chache sana kutokana na nguvu ya technolojia ya kulinda anga ya IRON DOME.
Yani kombora kabla halija tua lina maliziwa huko huko angani..
Sasa najiuliza hayo makombora yaliyo rushwa kwenda Israel na yakamalizwa kabla hayajatua ardhini je yangetua pale Magogoni au pale posta au pale kariakoo kuna Mtanzania hata mmoja angepona kweli?
Nadhani ni wakati sasa TISS na JWTZ wakaanza kuwekeza kwenye technolojia zaidi maana vita vya kisasa ni technolojia na sio mabavu!!
Unaweza pigwa na kanchi kadogo kisa tu kanatumia technolojia wakati wewe umewekeza kwenye mabavu na kuvunja matofali kwa kichwa!
Dunia ya sasa ni bora uwe na jeshi la watu 1000 wenye IQ kubwa na wenye kuweza kutumia technolojia kuliko uwe na jeshi la watu milioni moja ambao hawajui hata kuwasha kompyuta!
Ajirini vijana wenye IQ/Akili kubwa ili muwatumie katika technolojia na tafiti mbalimbali za kitechnolojia!!
Acheni kuangalia TBC kila saa washa Aljazeera mjifunze kichoendelea huko gaza na jinsi wenzetu wanavyowekeza kwenye technolojia!!
Zindukeni dunia imebadilika hii!!
Naomba kuwasilisha!
Bastola na bunduki huwa haiwashwi na computer!!!! bomu la kutupa kwa mkono haliihitaji kujua computer!!Dunia ya sasa ni bora uwe na jeshi la watu 1000 wenye IQ kubwa na wenye kuweza kutumia technolojia kuliko uwe na jeshi la watu milioni moja ambao hawajui hata kuwasha kompyuta!
MTU ANAAJIRIWA HADI KUSTAAFU HAJUI KUWASHA COMPUTER, HAKIKA KUNA SHIDA KUBWA SANA
VIKUNDU VYA WAASIUnawaza kama mimi na hakuna nimekuwa nikikidharau kama kuona wanaoitwa makomandoo wetu wakishindana kuvunja tofali pale taifa, na kuruka kwenye ndege kwa kutumia parachuti,
Unasema tu hiiiiiiiii unanyamaza. Vita leo hii ni sayansi tupu, vita kubwa haziganwi kwa SMG, AK 47 nk, leo hii watu wanacheza na computa Dude linakufata huko huko.
Vita ya bunduki ni kwa ajili ya kupambana na vikundu vya waasi lkn nchi kwa nchi taifa kwa taifa hatuhitaji askari wa kuvunja matofali kwa mikono wala kwa vichwa.
kwani ardhini hutumii silaha?Vita ya ardhini unafikiri unapigana wapi? MIJINI UTAINGIA mitaani pia.Au uNAFIKIRI VITA NI angani tu ? Unatekaje miji bila kushuka ardhini na kuingia mitaani na vichochoroni kwenye watu wengi?
mwanajeshi doria mtaani?Ujinga mzigo
Kwa hiyo mfano ukiwa mwanajeshi uko doria mtaani akija akija kibaka kwa nyuma yako akakukaba utabonyeza computer? kuumchomoa kwenye shingo yako kiteknolojia mjinga wewe?
Wakati wa vita ukiteka mji doria anashika mwanajeshi.Tulipoteka UGanda miji yote doria ilikuwa ni JWTZmwanajeshi doria mtaani?