JWTZ badilikeni, dunia ya sasa hakuna vita ya kuvunja matofali kwa kichwa!

Kutokujuwa kinachoendea TISS ama (na) JWTZ hakufanyi unavyowaza iwe ndivyo.
 
Ujinga mzigo

Kwa hiyo mfano ukiwa mwanajeshi uko doria mtaani akija akija kibaka kwa nyuma yako akakukaba utabonyeza computer? kuumchomoa kwenye shingo yako kiteknolojia mjinga wewe?
Hujaelewa mada mkuu, tuliza akili usome uelewe kabla hujajibu.

Kwa akili yako kuna mwanajeshi anakua mwanajeshi bila kupitia mafunzo ya viungo? Hoja ni kwamba pamoja na mazoezi ni lazima hawa wanajeshi wanolewe kwenye matumizi ya technolojia na sio kutumia mabavu pekee.

Tuliza akili uelewe punguza haraka.
 
Hiyo ni self defense sio vita

Mfano wako wa kariakoo haujalenga lengo la mada (vita)

Mtoa mada kazungumzia vita sio fujo
 
Unawaza kama mimi na hakuna nimekuwa nikikidharau kama kuona wanaoitwa makomandoo wetu wakishindana kuvunja tofali pale taifa, na kuruka kwenye ndege kwa kutumia parachuti,
vitoto vya CHADEMA kwa kudanganyana hamjambo .Hapa ni jeshi la marekani hao mnaoita wenye teknolojia wakifanya mazoezi ya kijeshi

 
Hiyo ni self defense sio vita

Mfano wako wa kariakoo haujalenga lengo la mada (vita)

Mtoa mada kazungumzia vita sio fujo
Vita ya ardhini unafikiri unapigana wapi? MIJINI UTAINGIA mitaani pia.Au uNAFIKIRI VITA NI angani tu ? Unatekaje miji bila kushuka ardhini na kuingia mitaani na vichochoroni kwenye watu wengi?
 
Vita ziko aina nyingi.... bado kuna vita zinaweza kuhitaji hand to hand combat.
 
Tech ya kijeshi hawauzii nchi hovyo wanapewa nchi rafiki tu kuna silaha US kawapa Israel na tech wengine hawapewi kuna hiz ndege F35 kama sikosei UAE kalilia sana mpaka juzi kapewa sharti asign uhusiano na Israel na kuwa hata dhuru wa Israel ndio kaahidiwa atapewa. silaha na tech tunayouziwa ujue hiyo imeshapitwa na wakati au haina madhara kwao. Silaha zisikokuwa na upinzani hawauzi kwa mtu. Hizo ndege tu mpaka Congress wapitishe kwa masharti. Vita vya siku hizi hawa jamaa wanaweza kukaa baharini tu na wakaangamiza nchi kwa masaa tu hawaingii ardhini mpaka wajue hali yako taabani wanakuja kusafisha tu mabaki. Sisi size zetu hawahawa jirani zetu.
 
Vita ya ardhini unafikiri unapigana wapi? MIJINI UTAINGIA mitaani pia.Au uNAFIKIRI VITA NI angani tu ? Unatekaje miji bila kushuka ardhini na kuingia mitaani na vichochoroni kwenye watu wengi?
Ardhini wataingia lazima lakini ukiona wameingia ujuwe wanajuwa huna madhara tena uko hoi taabani.
 
Unaota nchi vita si zote zinahitaji teknolojia vinginevyo Congo nA somalia WAASI WANGESHAISHA SIKU nyingi na boko haramu Nigeria wangeshaisha!!! Majeshi ya umoja wa mataifa yamewekeza kila aina ya teknolojia lakini wapi hakuna kitu!! Inabidi wasakwe physcically sio digitally!!!!
 
Kula 5...
 
hao wanaonyesha ukakamavu tu mkuu sio vita
 
Bastola na bunduki huwa haiwashwi na computer!!!! bomu la kutupa kwa mkono haliihitaji kujua computer!!

Kuvuka mito yenye mamba kuingia eneo la dui misituni huhitaji computer

Askari hahitajiki tu mwenye akili nyingi anahitajika mwenye nguvu nyiki kuanzia kichwa chake kiwe na nguvu ,mikono yake iwe na nguvu na miguu yake iwe na nguvu sio nyoronyoro anayejua tu kubonyeza keyboard!!! Hiyo compute centre yake ikitwangwa na kombora atakuwa mgeni wa nani wakati hata vimiguu vyake nyoronyoro hata kukimbia hawezi na akikutana na adui baada ya kituo chake cha computer kushambuliwa hawezi hata mrushia ngumi au mateke na vichwa kuokoa maisha yake wasije mteka akatoa siri?
 
VIKUNDU VYA WAASI
 
Vita ya ardhini unafikiri unapigana wapi? MIJINI UTAINGIA mitaani pia.Au uNAFIKIRI VITA NI angani tu ? Unatekaje miji bila kushuka ardhini na kuingia mitaani na vichochoroni kwenye watu wengi?
kwani ardhini hutumii silaha?

Hili swala linaweza kuonekana gumu kujadilika kulingana na technology ambayo tupo nayo, wenzetu wana military drones ambazo zinaweza kufanya survey mijini na kumpoint target pasipo mtu kuja phsically eneo hilo
 
Nchi zote ambazo zimekuwa kiteknolojia askari bado anafundishwa kuwa mkakamavu. Sijaelewa unachoongea kwa kweli, kwamba physical endurance isiwepo kwa askari ndo unachokisema?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…