JWTZ ifanye uchunguzi dhidi ya tabia na mwenendo wa askari wake Denis Urio

mzee mi ni mwanaume, siwezi kufanya huo ufirauni ambao cdm mmekuwa mkiupigia debe. ndio maana niko mstaarabu situkani kama wewe. ila wewe kwa tabia zako hizi unatia mashaka.
Firauni aka Bashir aka watoto wa chupa
 
Ila ukimtaka Mungu, usisahau kuwa huyo mungu wako Mbowe na wafuasi wake siyo watu watakatifu pia
 
Sio rahis hivyo boss, Trust me. Kumbuka Chadema na Mbowe walikuwa na nafasi ya kuongea na Serikali kulimaliza hili km Zitto alivyolianzisha lakin wakakataa kabisa, so tusitumie hisia ngoja tusubiri mwisho wake.
walikataa baada ya kushauriwa vibaya na Tundu Lisu anayekunywa bia huko ulaya wakati mwenzake yupo jela muda wote huu hata mbususu anazisikia tu kwenye luninga. na ugaidi una miaka mingi, ajiandae tu. Tundu Lisu amewapotosha wana cdm na kuna uwezekano anafanya makusudi kutokana na figisu za pesa ambazo wamekuwa wakipambana ndani kwa ndani kwa kitambo sasa. unakumbuka karibia zichapwe kipindi kile cha kampeni, mwenyekiti katumia pesa za kampeni...
 
Wewe unalazimisha kama nani?
 
Hapo sio WANANCHI, ni wanachadema.. tuheshimiane
 
siro,kingai,urio,jumanne,sabaya,mahita,makonda na kina goodluck ndio wale watu wasiojulikana?
Kila kitu kipo hadharani sasa,ugaidi ndiyo hayo matendo waliyofanyiwa Mh Mbowe na wenzake.Kesi inageuka ilikotoka-Ama kweli Sheria Msumeno.
 
Marehem amewaponza wengi Sana kwa maagizo yake ya kidikteta. Hili lonaloendelea ni mfano. Toka enzi za shambulio la Lissu inaonekana Kuna mipango mingi Sana ilibuniwa ili kuwaangamiza Kama sio kuwafuta kabisa Hawa jamaa.
 
Ni ushahidi upi usio Acha shaka unaomtia hatiani Mbowe kwa kosa la ugaidi mpaka afungwe?

Kwa hisia na maelekezo kutoka juu ni sawa
 
Ni ushahidi upi usio Acha shaka unaomtia hatiani Mbowe kwa kosa la ugaidi mpaka afungwe?

Kwa hisia na maelekezo kutoka juu ni sawa
ukisikia kitu kinaitwa " Proof beyond reasonable doubt - uthibitisho usioacha shaka"haitegemei shahidi mmoja, wakati mwingine huwa unategemea circumstantial evidence ambayo ili uthibitishe unatakiwa uwe na ushahidi wa matukio yasiyokatika kwenye mnyororo wake.....hivyo kila shahidi anakuwa na kakitu kake anakuja kuthibitisha anaondoa,ninyi mtahangaika kupuyanga kwenye cross examination kuuliza maswali ya kufurahisha umma kumbe wenzenu kile walichomleta aje kuthibitisha sicho kile mnachokishambulia. ndilo linalotokea hapo kwenye kesi, hadi nawaonea huruma hao mawakili wa mbowe. hawaelewi kitu, ila wanajua kuufurahisha umma ambao hawa haujui mambo ya kisheria zaidi ya ushabiki wa kisiasa.
 
Hata kama walikuwa na huo mpango, kwanini Urio asiache kazi ya Jeshi ili aambatane na Mbowe kuchukua Dola badala ya kuwabambikia watoto wa watu kesi mbaya kama hii?
 
Kwa upande mwingine hii issue imewathibitishia wenye akili timamu jinsi Mbowe alivyo kilaza.

Kipi kilimfanya amuamini Urio kiasi hicho? Kisa u-homeboy pekee?

Hivi kama ungesukwa mkakati wa kumpelekea watu wa usalama badala ya hao akina Lijenje angesanuka?

Hata jeshi letu la polisi halina tu watu makini,huyo jamaa alikuwa kajivisha kitanzi mwenyewe.
 
Moja ya kasha kubwa JWTZ ambapo miaka yote imekuwa inaheshimika sana. Sioni kwa nini mabeyo anaendeleza huu ujinga hii ndio shida ya viongozi wanaobebwa.

Angekuwa Waitara usingesikia huu upuuzi yani ingeisha dakika moja na jamaa asinheonekana temaianatupwa kambi za kasulu huko unamshisha cheo anakuwa sajenti na hakuna kutoka kambini b.
 
Wanaume wa Dar ni waoga sana,kwa akili ya kawaida unadhani komando ni 'untouchable' au 'unbeaten'.Kamwe siwezi kumuogopa mtu yoyote.
 

Haya maana Kwa sababu Hata JWTZ wanajua yote hayo?
 
No no mkuu urio alitakiwa apeleke taarifa hizi za kigaidi kwa MI ,ambao wangewasiliana na DCI for the way forward,tusiwe vihiyo hivi!
Fikiria kua MI nae angapata hii taarifa kutoka chanzo kingine alafu anawasiliana na DCI kupanga mikakati then DCI anamwambia askari wake Urio alimpatia hii taarifa bila ya kumwambia MI.
Urio anafikirisha sana kwenye hii kesi...
 
Unaelezea kitu kingine...Urio ameshasema kua hakutoa taarifa Jeshini inatosha.
Mamlaka ya Jeshi JW ikija baadae wakasema kua walipata taarifa kutoka kwa Urio na wakamshauri apeleke taarifa polisi ndiyo itaharibu kesi na ushahidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…