Aliyekwambia jeshi ni ajira ni nani mkuu?? Tuanzie hapo.Wanalinda nchi kwa kuvunjiana matofali kichwani? Kazi ya ulinzi sio hisani Bali ni ajira kama zilivyo nyingine. Na huu uoga hapa nchini a.k.a amani haujaletwa na jeshi, bali uko automatically kutokana na uoga wa wananchi wa nchi hii. Usitake kutoa sifa za kijinga. Watu wanataka jeshi libadilike liachane na mambo ya kizamani.
Achana na madogo wa humu wanatema shit wameshiba viporo basi JF ndio ulingo wao wa kutapika hawajui hata ni mambo mangapi JWTZ wamezuia
Wewe litusi ni lipumbavu
Acha tu mkuu, Kuna watu wamelewa Amani, ila hawajui wanaoisimamia hiyo Amani ni akina nani.
Wapo wanalewa zao tu. Usijifanye unajua sana. Nchi hii watu hawajachafukwa, na ndio stability unayoiona. Sio jeshi vitofali.Nyie madogo ni wapumbavu sana mmezungukwa na manchi yaliyokosa amani na bado mpo safe leo mnaleta dharau kwa JWTZ ?
Mnalala mnaamka salama siku kucha mnajambiana na mademu zenu huko hamjui kwamba kuna watu wanakesha ili ninyi muwe safe au unafikiri wanafanya maigizo.
Hata kama CCM huipendi ila linapo fika suala la JWTZ kulinda nchi wape heshima yao usiite maigizo shenzi kabisa.
Kazi ya jeshi sio kupindua serikali, hayo mapinduzi unayoyataka yapo kinyume na kiapo Cha mwanajeshi.Lingekuwa vizuri CCM isingekuwepo. Tuache kusifiana ujinga. Hawana la maana.
Unaweza kuonesha evidence? Hao wabunge wako wanajilipa mshahara bei gani,ukiondoa marupurupu? Mawaziri? Watendaji wa serikali? Huna akili.Kazi ya jeshi sio kupindua serikali, hayo mapinduzi unayoyataka yapo kinyume na kiapo Cha mwanajeshi.
Zaman nilikua nataman upinzani uchukue nchi Ili tuone mabadiliko, Ilia nilivokuja Kujua akina lisu na Lema wanakula posho ya dollar 6000 Kwa mwez Ili watibue nchi niliwaona kumbe nao ni maboga tu
Maendeleo ya nchi nyingi za kiafrika hayatakuja Kupitia sanduku la kura Bali ni kujiondoa kwenye mfumo wa ukoloni mambo Leo
We need win win situation tufanye biashara na mataifa mengine na sio kupewa misaada
Kama kwako hayana maana ndiyo tusifanye,wewe ni nani!?I am not in the least bit impressed.
Maonyesho ya kuvunja mbao, ya kuvunja matofali ya mchanga, ya kuokoa ‘mateka’ kwenye kiwanja cha mpira, na mengineyo, kwangu hayana maana yoyote ile.
View: https://youtu.be/nE4VLXQ-bKY?si=VaXPStM2NnumYO_n
🖕🖕Kama kwako hayana maana ndiyo tusifanye,wewe ni nani!?
Huyo pk anayewatuma anajidanganya tu watu wanamlia timing ajichanganye wamsindike kigunzi.... Hata wakat wa jk alijifanya kukusanya taarifa kama mnavyokusanya hapa ila alitaka kuingia ulingoni akashangaa anakutana na mwakinyo wakati yeye Kwa taarifa alizokusanya alijua atakutana na mandonga mtu kaziUnaweza kuonesha evidence? Hao wabunge wako wanajilipa mshahara bei gani,ukiondoa marupurupu? Mawaziri? Watendaji wa serikali? Huna akili.
Subiri uje uingie kwenye anga zao upapaswe kalio ndo utaiona kazi ya kuvunja matofari.Umechanganya mambo mengi kwa wakati mmoja hadi nashindwa kujua hoja yako ni ipi. Naona umepanick vibaya, au aww ndio ulikuwa unavunjiwa tofali kichwani na ukawa unaona ni jambo la maana sana Nini?
Sasa si ndo wakati wa hao ambao walisha toka kwenye Zama za kuvunja matofari, kutuonesha utofauti na wapasua matofari?Sasa hao maharamia kama wanajificha kwenye mashimo kama panya huoni ni ishara kwamba hawana uwezo?
Wanajificha nyuma ya raia na kuwatumia kama shield kuwapa advantage keyboard warriors wa social media waje na campaign ya #freepalestinians
Kwa hiyo majeshi yote yafutwe hayana maana?Nchi gani Ina waasi?. Baadala mshukuru Kuna wananchi wa Tanzania wapenda amani na wanasiasa watulivu, unaleta sifa za uongo. Amani ya Tanzania inalindwa na Mungu basi.
Sikujua kumbe Israel pekee ndio inayotangaza idadi ya wanajeshi waliokufa.Sasa si ndo wakati wa hao ambao walisha toka kwenye Zama za kuvunja matofari, kutuonesha utofauti na wapasua matofari?
Wamejificha kwenye mashimo ila kila siku Israel inatangaza vifo vya wanajeshi wake kumbe siku hizi kuna silaha unaifyatua kutoka kwenye handaki inaenda juu na kuuwa wanajeshi.
Sasa ww siumetuambua kuwa Hamas wako mashimoni ? kwahiyo labda wanajeshi wake watakuwa wanauliwa na majini maimuna.Sikujua kumbe Israel pekee ndio inayotangaza idadi ya wanajeshi waliokufa.