JWTZ kuwatesa raia wanaovaa nguo za Jeshi ni ukatili

Kwahyo ndio aambiwe aishike ikiwa inawaka moto? Tuwe na utu Demi #bythewaynimefurahikukuona
Aisee mimi hawa watu nawajua sana, nimeshuhudia adhabu zao nyingi wanazotoa. Hiyo adhabu ya huyo dogo ni cha mtoto.
Mzima lakini jirani?
 
Jinga kabisa wewe. Uko kwenye upande wa wapumbavu wanaotesa watu kwa sababu wanahisi wamevunja sheria? Unajua mahakama ziliwekwa za nini? Hivi tukiruhusu kila mtu kumfanyia unyama raia anayevunja sheria nchi itatawalika? Huoni hata wewe unaweza kulawitiwa kwa sababu tu kuna ameona umevunja sheria?
 
Kila nguo inayofanana na jeshi ni ya jeshi?Wao wanapungukiwa nini huko jeshini?
Usipovaa nguo inayofanana na ya jeshi unapungukiwa nini?
Tii sheria bila shurti.
 
Aisee mimi hawa watu nawajua sana, nimeshuhudia adhabu zao nyingi wanazotoa. Hiyo adhabu ya huyo dogo ni cha mtoto.
Mzima lakini jirani?
Na wewe unaona ni sawa? Kwasababu sio wewe au mtu wako wa karibu. Imagine alivyodhalilishwa mbele ya camera. Demi Demi Demi nimekuita thrice.
 
Na wewe unaona ni sawa? Kwasababu sio wewe au mtu wako wa karibu. Imagine alivyodhalilishwa mbele ya camera. Demi Demi Demi nimekuita thrice.
hajadhalilishwa bana msikuze mambo
😀😀. Kuna mtu ambae hajui kwamba inakatazwa kuvaa nguo za jeshi? Kila mara wanasema na sasa wameamua kutoa mfano ili iwe fundisho.
Mbona nguo za polisi hamzivai?
 
Walikuwa wana
Walikuwa wanawaona siku zote tena wengine wanawaazima raia wavae.raia anayedeka hivi kweli?mauwezo haya ndiyo uwezo wenyewe wa Kuvuta?
 
Hawa wa kwetu akili na upeo wao unawaza madem, bia,kununua ka gari mtumba,basi! Hawawazi, zaidi ya, hapo,
Wenzao West Afrika wanafanya mapinduzi
Hawana shuguli za kufanya hawa

Wanaofanya mambo haya

Ova
 
Lazima kuwe na tofauti,shida hizo sare huwa zinatumika vibaya baadhi ya sehemu kutapeli na kufanya uharifu.
 
hajadhalilishwa bana msikuze mambo
[emoji3][emoji3]. Kuna mtu ambae hajui kwamba inakatazwa kuvaa nguo za jeshi? Kila mara wanasema na sasa wameamua kutoa mfano ili iwe fundisho.
Mbona nguo za polisi hamzivai?
Waende wakalinde mipaka huko

Waachane na issue ndogo ndogo

Ambazo hazina kichwa wala miguu

Ova
 
Katiba mpya inahitajika haraka!
 
Waende wakalinde mipaka huko

Waachane na issue ndogo ndogo

Ambazo hazina kichwa wala miguu

Ova
Mipaka inalindwa.
Kuna wahuni hutumia nguo za kijeshi kufanya uhalifu, ni sahihi wao kufanya hivyo.
Kwani mkiacha kuzivaa mtapungukiwa nini? Mngekuwa hamjaambiwa ingeeleweka tatizo watu wabishi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…