Ironbutterfly
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 3,042
- 8,227
🤣🤣si alivaa lakin mavazi yasiyo muhusu?
Akubali yoteee
Akubali yoteee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waunguzwe tu ujuaji umezidiNi sawa watu kuunguzwa mioto ?
Jeshi letu limezidi tuhuma hizi kupiga madereva, askari wa barabarani, raia na mambo mengi kuna shida mahali inabidi wajitafakariwanajeshi wengi wana hiyo shida.. sijui huwa wanajiona nani.. Nimekutana na hizo case mala kadhaa.. hadi huwa najiuliza sana
Wanasema ndio wenye nchi.Jeshi letu limezidi tuhuma hizi kupiga madereva, askari wa barabarani, raia na mambo mengi kuna shida mahali inabidi wajitafakari
Jeshi la Ccm🤣🤣si alivaa lakin mavazi yasiyo muhusu?
Akubali yoteee
Akubali kuchomwa moto sio ? zimo kweli wewe ?🤣🤣si alivaa lakin mavazi yasiyo muhusu?
Akubali yoteee
Sio kitu kizuri hata kidogo haijengi taswira nzuri kati ya jeshi na raia wa kawaidaWanasema ndio wenye nchi.
Hapo wanacheza ?Huyo hata hajateswa, tuviheshimu sana vyombo vyetu vya ulinzi.
Ndio maana wengi huishia uzee mmbaya, kwasababu ya roho mbayaSio kitu kizuri hata kidogo haijengi taswira nzuri kati ya jeshi na raia wa kawaida
Hao wanajeshi ni sheria ipi inawataka kufanya hicho kitendo ?Piga sana hao washenzi, ujuaji wa kijinga umezidi.
Unatuuliza maswali gani ya kijinga, huyo raia ni sheria ipi imemruhusu kuvaa nguo za jeshi?
Wao wametumia Sheria gani kutoa adhabj hiyo.Piga sana hao washenzi, ujuaji wa kijinga umezidi.
Unatuuliza maswali gani ya kijinga, huyo raia ni sheria ipi imemruhusu kuvaa nguo za jeshi?