Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
- Thread starter
-
- #21
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.29 mzee ni kuingia road..
Nkunda ni zaidi ya chawa and very uselessWewe umeondoka Tanzania kipindi CDF ni Waitara alikuwa anawabania sana Wanajeshi kwenda shule.
Sasahivi Jeshi lina watu wengi wenye akili na wanaojitambua.
Mwamunyange alibadilisha sana Jeshi letu kulifanya kuwa la Wasomi na Wanaojielewa.
Exception zipo chache kama huyu CDF chawa Mkunda ambaye eti anatembelea mikoa na kujipeleka Ofisi za Wakuu wa Mikoa.
Mkunda ni mshenzi na mpumbavu.Nkunda ni zaidi ya chawa and very useless
Hawawezi kuwa wa hovyo kuliko genge la Samia. Sio lazima waongoze nchi moja kwa moja kunakuwa na serikali ya mpito wao wakisimamia ulinzi na usalama na kudhibiti mtandao wa wahuni.JWTZ wanajua nini kuhusu kuongoza nchi?
Sijawahi kukutana na mwanajeshi yeyote yule wa JWTZ aliye na akili.
Kuweni waangalifu na mchokitaka/ mnachokitamani.
Unamaanisha wamesahau Mzee Jakaya na akina Kinana wametoka jeshini.JWTZ wanajua nini kuhusu kuongoza nchi?
Sijawahi kukutana na mwanajeshi yeyote yule wa JWTZ aliye na akili.
Kuweni waangalifu na mchokitaka/ mnachokitamani.
Hao wana akili?Unamaanisha wamesahau Mzee Jakaya na akina Kinana wametoka jeshini.
Mimi simo 😄😄😄Hao wana akili?
Jeshi likitumika kwa maslahi mapana ya Taifa ni jambo la kheri.Tunahitaji Katiba itakayowezesha uwajibikaji wa serikali ya kiraia na sio kuruhusu serikali ya kijeshi na inawezekana kabisa hata kupitia chama tawala.
Watu tufanye biashara, tulipe Kodi, tuuze madini, tuingize watalii, tukopesheke na taasisi za kimataifa.
Ukishawaonjesha wanajeshi utamu wa siasa hata wakitoka ni suala La muda watataka tena au indirectly watafanya siasa.
Na nchi inayobadilika badilika mara serikali ya kijeshi mara ya kiraia inaweza sababisha hata hayo mapato ambayo tunayapata Kisha yanafisadiwa as you claim yasiwepo kabisa tukabaki tunaangaliana.
Hivi kile kiti unakielewa mkuu? Mpito? Mpito kwenye kiti cha uraisi Africa hii? Sijui, Kuna mambo unaweza yatamani ila yakitokea unajuta hata kwanini uliyafikiria. Jeshi libaki na majukumu yake ya kijeshi, raia tuwe na serikali ya kiraia, tuwe na Katiba sahihi inayoiwajibisha. Jeshi lichukue nchi? Hapana. Haya ni maoni yangu lakini. Tanzania tupo M60.Hawawezi kuwa wa hovyo kuliko genge la Samia. Sio lazima waongoze nchi moja kwa moja kunakuwa na serikali ya mpito wao wakisimamia ulinzi na usalama na kudhibiti mtandao wa wahuni.
Hadi nchi ipate katiba mpya, kujenga mifumo ya nchi upya, kuwapata mateka wote, kurudisha rasilimali za nchi kwa umma na kuwafikisha mahakamani wahuni wote.
Mfano mzuri ni Bangladesh chini ya Technocrat Muhamad Yunus baada ya wanafunzi, gen Z kumtimua Shikh Hasina. Tanzania inaweza kuwa chini ya Warioba kwa muda wa mpito.
Kuna shida gani? Mbona Jerry Rawlings alifanya hivyo Ghana?Hivi kile kiti unakielewa mkuu? Mpito? Mpito kwenye kiti cha uraisi Africa hii? Sijui, Kuna mambo unaweza yatamani ila yakitokea unajuta hata kwanini uliyafikiria. Jeshi libaki na majukumu yake ya kijeshi, raia tuwe na serikali ya kiraia, tuwe na Katiba sahihi inayoiwajibisha. Jeshi lichukue nchi? Hapana. Haya ni maoni yangu lakini. Tanzania tupo M60.
Tutaanza kuwa na vikundi vya kigaidi kama NigeriaTulipofikia bila kuanza upya tutakuwa taifa la hovyo sana duniani
Wanajeshi sio wanasiasa, wapo trained kulinda, kuua, kuzuia, kutoa maelekezo na wakitegemea yafuatwe bila kuhojiwa. Sasa uwape jukumu La kiraia?Jeshi likitumika kwa maslahi mapana ya Taifa ni jambo la kheri.
TISS wamekuwa washenzi. Polisi ndo vichaa kabisa. Mahakama wamwkuwa mazuzu huku Taasisi zingine zikiwa Imejifia kabisa.
Jeshi wachukue tu hatua.
Kodi zinatakiwa kuwa means tested, PAYE, unalipa kutokana na kipato chako.Tanzania Ni Nchi Tajiri Sana Kama Tukiwa Viongozi Wenye Maono
Hata Hizi Tozo Au Ushuru Midogo Midogo Ambayo Ipo Chin Ya Hizi Halmashauri Zisingekuwepo Kwan Bado ZinaKandamiza Jamii Inayoishi Maisha Ya Chin
Hatujafika hiyo hatua. Tena ni raisi zaidi Jeshi kushinikiza Katiba mpya kuliko wao kupewa jukumu La kiraia.Kuna shida gani? Mbona Jerry Rawlings alifanya hivyo Ghana?
Inawezekana Jeshi kuongoza kipindi cha mpito.