JWTZ, kweli mtu wa Jeshi la Polisi anawateka kama si kuwakamata your brothers na MPO kimya tu...

Tochuku

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2024
Posts
5,322
Reaction score
8,412
Kisa mtu ama watu na nyumba zao wamekaa kuweka mabango ya Samia kwenye kuta zao...

halafu ni kama yeye Sasa ni Mwenyezi Mungu Sasa yeye kusema biashara yao imeisha...kwamba ana Haki miliki na maisha ya watu...

Aisee ..halafu hivi mnajua linaitwa jeshi la WANANCHI ...NA SIO jeshi la ccm ama jeshi la kikundi Cha watu
 
Kirefu cha JWTZ ni
Jeshi
la
WAOGA
T
anzania. Kama wao wangekuwa ni wanaume wangeshatoa huu upuuzi wa ccm siku nyingi sana na utekaji ungeisha siku nyingi sana. Ila kwakuwa wao ni Jeshi la WAOGA Tanzania acha mafwele awanyooshe na wale wanaharakati toka Kenya na Uganda walikamatwa walisema Mateso wanayopewa ni pamoja na kuliwa jicho na kuingizwa vitu kwenye "jicho" yaani jeshi la WAOGA linateswa na mafwele 🤣🤣🤣 jicho la askari wa jeshi la WAOGA Tanzania haliko salama mbele ya Fwele boy
 
halafu hivi mnajua linaitwa jeshi la WANANCHI ...NA SIO jeshi la ccm ama jeshi la kikundi Cha watu
Limegeuzwa
jeshi la ccm
Na pia limegeuzwa kua
jeshi la kikundi Cha watu
Ndio maana imetokea inavyotokea sijawahi sikia JW wamemzingua polisi wa kawaida kwa issue za kingesengese kisa siasa za kiduanzi na maelekezo ya wanasiasa ingawa polisi wa kawaida wanawazingua JW kwa kuwaita Wahuni tu, eti yule Muhuni amekimbia Nchi
 
Kisa mtu ama watu na nyumba zao wamekaa kuweka mabango ya Samia kwenye kuta zao...

halafu ni kama yeye Sasa ni Mwenyezi Mungu Sasa yeye kusema biashara yao imeisha...kwamba ana Haki miliki na maisha ya watu...

Aisee ..halafu hivi mnajua linaitwa jeshi la WANANCHI ...NA SIO jeshi la ccm ama jeshi la kikundi Cha watu

Hakuna jeshi hapo. Ni aibu tupu.
 
Tunakoelekea nikutamu sana , jeshi limejengeka kwa misingi ya nidhamu na utii , kwa mazingira ya sasa hawapaswi kujibu ila nawahakikishia majibu tutakutana nayo soon ,tusipoteze heshima kwa Jeshi letu .tusipoteze matumaini kwa Jeshi letu .

Jeshi huwa halijui kupiga taarabu kama hao wengine ,wao wakilianzisha ujue damage yake nikubwa.
 
Kisa mtu ama watu na nyumba zao wamekaa kuweka mabango ya Samia kwenye kuta zao...

halafu ni kama yeye Sasa ni Mwenyezi Mungu Sasa yeye kusema biashara yao imeisha...kwamba ana Haki miliki na maisha ya watu...

Aisee ..halafu hivi mnajua linaitwa jeshi la WANANCHI ...NA SIO jeshi la ccm ama jeshi la kikundi Cha watu
Hakuna jeshi TZ, kama wanaliwa jicho na polisi live na anawatambia kuna nini tena hapo. Mafwele kawaleftisha group, so sad.
 
Kirefu cha JWTZ ni
Jeshi
la
WAOGA
T
anzania. Kama wao wangekuwa ni wanaume wangeshatoa huu upuuzi wa ccm siku nyingi sana na utekaji ungeisha siku nyingi sana. Ila kwakuwa wao ni Jeshi la WAOGA Tanzania acha mafwele awanyooshe na wale wanaharakati toka Kenya na Uganda walikamatwa walisema Mateso wanayopewa ni pamoja na kuliwa jicho na kuingizwa vitu kwenye "jicho" yaani jeshi la WAOGA linateswa na mafwele 🤣🤣🤣 jicho la askari wa jeshi la WAOGA Tanzania haliko salama mbele ya Fwele boy
Wajeda wameliwa kiboga, just imagine.
 
Hajasema kawakamata kwasababu wamekataa kubandika mabango kwenye nyumba zao, kasema amewakamata kwasababu wamechana mabango ya Samia

Na kuchana mabango ya mgombea yoyote ni kosa la jinai linaloweza kupelekea kufungwa, kupigwa faini au vyote viwili kwa mujibu wa Sheria The National Elections Act.

Kwahiyo kitendo cha wao kuchana mabango ni kujihusisha na siasa na pia kutenda kosa la jinai kwa wakati mmoja kitu ambacho ni kinyume hata kwa maadili ya jeshi.

Mwenye jukumu la kupeleleza kesi za jinai na kupeleka mahakamani ni polisi kwahiyo ni sahihi polisi kuwakamata na kuwaweka mahabusu, ila hawatapelekwa mahama za kiraia hadi taratibu za mahakama za kijeshi kukamilika wakikutwa na hatia wanaweza kufukuzwa kazi na wakakabidhiwa kwa polisi tena ili kuendelea na kesi yao ya kuchana mabango ambalo ni kosa la jinai.

Kwahiyo siyo suala la ushabiki sijui polisi wanaonea jwtz ni masuala ya kisheria na hamna aliejuu ya sheria isipokua dhana watu walizojijengea mitaani ndo tofauti na utaratibu/uhalisia ulivyo.
 
Inaikitisha sana yaani JWTZ wanashindwa na Raia Mkakamavu? Ingekuwa enzi za kina hans pope mafuel angekuwa ashaliwa kiboga zamani.
 
Kirefu cha JWTZ ni
Jeshi
la
WAOGA
T
anzania. Kama wao wangekuwa ni wanaume wangeshatoa huu upuuzi wa ccm siku nyingi sana na utekaji ungeisha siku nyingi sana. Ila kwakuwa wao ni Jeshi la WAOGA Tanzania acha mafwele awanyooshe na wale wanaharakati toka Kenya na Uganda walikamatwa walisema Mateso wanayopewa ni pamoja na kuliwa jicho na kuingizwa vitu kwenye "jicho" yaani jeshi la WAOGA linateswa na mafwele 🤣🤣🤣 jicho la askari wa jeshi la WAOGA Tanzania haliko salama mbele ya Fwele boy
😆
 
Back
Top Bottom