JWTZ, kweli mtu wa Jeshi la Polisi anawateka kama si kuwakamata your brothers na MPO kimya tu...

Wanajeshi makini si watu wa kujibizana. Kwahiyo sitaki kuwabagaza kuwa ni waoga. Ngoja tuwape muda tuone… kujibizana na mwafele ni kujikosea heshima. Unamkamata unamtia ndani na anapokea fimbo mijeredi 50 kila siku iendayo kwa Mungu.
 
Hajasema kawakamata kwasababu wamekataa kubandika mabango kwenye nyumba zao, kasema amewakamata kwasababu wamechana mabango ya Samia

Na kuchana mabango ya mgombea yoyote ni kosa la jinai linaloweza kupelekea kufungwa, kupigwa faini au vyote viwili kwa mujibu wa Sheria The National Elections Act.

Kwahiyo kitendo cha wao kuchana mabango ni kujihusisha na siasa na pia kutenda kosa la jinai kwa wakati mmoja kitu ambacho ni kinyume hata kwa maadili ya jeshi.

Mwenye jukumu la kupeleleza kesi za jinai na kupeleka mahakamani ni polisi kwahiyo ni sahihi polisi kuwakamata na kuwaweka mahabusu, ila hawatapelekwa mahama za kiraia hadi taratibu za mahakama za kijeshi kukamilika wakikutwa na hatia wanaweza kufukuzwa kazi na wakakabidhiwa kwa polisi tena ili kuendelea na kesi yao ya kuchana mabango ambalo ni kosa la jinai.

Kwahiyo siyo suala la ushabiki sijui polisi wanaonea jwtz ni masuala ya kisheria na hamna aliejuu ya sheria isipokua dhana watu walizojijengea mitaani ndo tofauti na utaratibu/uhalisia ulivyo.
Ndugu mtetezi wa mafwele, hebu nipe kifungu cha sheria ambacho kinakupa wewe mgombea kuja kubandika bango lako la kampeni nyumbani kwangu bila idhini yangu mimi mkaaji wa nyumba hiyo..

Tafadhari hebu nipe hicho kipengele, kabla sijakuweka kwenye kundi la wajinga ambao mmejawa na ushabiki wa kipuuzi
 
Kirefu cha JWTZ ni
Jeshi
la
WAOGA
T
anzania. Kama wao wangekuwa ni wanaume wangeshatoa huu upuuzi wa ccm siku nyingi sana na utekaji ungeisha siku nyingi sana. Ila kwakuwa wao ni Jeshi la WAOGA Tanzania acha mafwele awanyooshe na wale wanaharakati toka Kenya na Uganda walikamatwa walisema Mateso wanayopewa ni pamoja na kuliwa jicho na kuingizwa vitu kwenye "jicho" yaani jeshi la WAOGA linateswa na mafwele 🤣🤣🤣 jicho la askari wa jeshi la WAOGA Tanzania haliko salama mbele ya Fwele boy
No wonder hawawezi kutamba tena ukanda huu, ukicheki ulivyo rudishwa kutoka congo ni kama vile vijana wa form six waliokua wanaleta fujo wakadhibitiwa
 
Hajasema kawakamata kwasababu wamekataa kubandika mabango kwenye nyumba zao, kasema amewakamata kwasababu wamechana mabango ya Samia

Na kuchana mabango ya mgombea yoyote ni kosa la jinai linaloweza kupelekea kufungwa, kupigwa faini au vyote viwili kwa mujibu wa Sheria The National Elections Act.

Kwahiyo kitendo cha wao kuchana mabango ni kujihusisha na siasa na pia kutenda kosa la jinai kwa wakati mmoja kitu ambacho ni kinyume hata kwa maadili ya jeshi.

Mwenye jukumu la kupeleleza kesi za jinai na kupeleka mahakamani ni polisi kwahiyo ni sahihi polisi kuwakamata na kuwaweka mahabusu, ila hawatapelekwa mahama za kiraia hadi taratibu za mahakama za kijeshi kukamilika wakikutwa na hatia wanaweza kufukuzwa kazi na wakakabidhiwa kwa polisi tena ili kuendelea na kesi yao ya kuchana mabango ambalo ni kosa la jinai.

Kwahiyo siyo suala la ushabiki sijui polisi wanaonea jwtz ni masuala ya kisheria na hamna aliejuu ya sheria isipokua dhana watu walizojijengea mitaani ndo tofauti na utaratibu/uhalisia ulivyo.
Wenje anasema vijana wa Chadema ni wajuaji na wachonganishi. Kwa kifupi ni miongoni mwa kundi la wapuuzi kupindikia. Hawatakuelewa mkuu tena subiri kuitwa huna akili. Sjui wanataka nini maana likifanyika jambo kisheria wao wataponda? Wao ndio wenye haki ya akili, uelewa, ujuaji, uzalendo nk nk.
 
Kwa sasa Polisiccm wapo juu ya sheria ndiyo maana kuna utekaji na mambo ya hovyo kuwabambikia kesi watu hovyo
 
Tunakoelekea nikutamu sana , jeshi limejengeka kwa misingi ya nidhamu na utii , kwa mazingira ya sasa hawapaswi kujibu ila nawahakikishia majibu tutakutana nayo soon ,tusipoteze heshima kwa Jeshi letu .tusipoteze matumaini kwa Jeshi letu .

Jeshi huwa halijui kupiga taarabu kama hao wengine ,wao wakilianzisha ujue damage yake nikubwa.
Nimesikitika sana yaani mtu anakamata wanajeshi kama anakamata raia wa kawaida !! halafu anajisifia tu kifala.

Huyu mbwa inabidi ashughulikiwe mapema iwezekanavyo.
 
Wenje anasema vijana wa Chadema ni wajuaji na wachonganishi. Kwa kifupi ni miongoni mwa kundi la wapuuzi kupindikia. Hawatakuelewa mkuu tena subiri kuitwa huna akili. Sjui wanataka nini maana likifanyika jambo kisheria wao wataponda? Wao ndio wenye haki ya akili, uelewa, ujuaji, uzalendo nk nk.
Wewe mvuta Bangi mkubwa yaani kukataa utekaji mauaji kubambika watu kesi ufisadi uonevu wenu wa kishetani ni ujuaji? Wenje ni Dalali wa Siasa ni chawaccm kala pesa za ccm kawasariti chadema hana uhalali wa kuingelea chadema kwani yeye hana mfano wa kuigwa hata mmoja, yaani umejitoa fahamu hujui vijana wa chadema wanataka nini kweli? Umesahau no reform no election? Umesahau kuwa wanataka Haki, muache kuwabambikia kesi, uchaguzi huru na haki siyo chaguzi za maigizo kama huu wa sasa
 
Nimesikitika sana yaani mtu anakamata wanajeshi kama anakamata raia wa kawaida !! halafu anajisifia tu kifala.

Huyu mbwa inabidi ashughulikiwe mapema iwezekanavyo.
Aibu kubwa kwa JWTZ
 
Wapuuzi ni wewe na waliokutuma kwani umeteka kuua kuwabambikia watu kesi wee sasa ushetani umekujaa huna fahamu tena umesalia kuvuta Bangi kisha kuja kusumbua watu jukwaani
 
Hajasema kawakamata kwasababu wamekataa kubandika mabango kwenye nyumba zao, kasema amewakamata kwasababu wamechana mabango ya Samia

Na kuchana mabango ya mgombea yoyote ni kosa la jinai linaloweza kupelekea kufungwa, kupigwa faini au vyote viwili kwa mujibu wa Sheria The National Elections Act.

Kwahiyo kitendo cha wao kuchana mabango ni kujihusisha na siasa na pia kutenda kosa la jinai kwa wakati mmoja kitu ambacho ni kinyume hata kwa maadili ya jeshi.

Mwenye jukumu la kupeleleza kesi za jinai na kupeleka mahakamani ni polisi kwahiyo ni sahihi polisi kuwakamata na kuwaweka mahabusu, ila hawatapelekwa mahama za kiraia hadi taratibu za mahakama za kijeshi kukamilika wakikutwa na hatia wanaweza kufukuzwa kazi na wakakabidhiwa kwa polisi tena ili kuendelea na kesi yao ya kuchana mabango ambalo ni kosa la jinai.

Kwahiyo siyo suala la ushabiki sijui polisi wanaonea jwtz ni masuala ya kisheria na hamna aliejuu ya sheria isipokua dhana watu walizojijengea mitaani ndo tofauti na utaratibu/uhalisia ulivyo.
Kwa kuwa ni Asikari wa JWTZ alipaswa kuwa na lugha ya Staha, lakini kaongea kwa Dharau kubwa ya kuwadhalilisha, lakini yana mwisho hayo ipo siku atasitaafu atajutua haya anayoyatenda sasa
 
Polisiccm ya sasa ipo juu ya sheria ndiyo maana vitendo vya ajabu na uonevu vimeongezeka kwa kasi kubwa
 
Hajasema kawakamata kwasababu wamekataa kubandika mabango kwenye nyumba zao, kasema amewakamata kwasababu wamechana mabango ya Samia

Na kuchana mabango ya mgombea yoyote ni kosa la jinai linaloweza kupelekea kufungwa, kupigwa faini au vyote viwili kwa mujibu wa Sheria The National Elections Act.

Kwahiyo kitendo cha wao kuchana mabango ni kujihusisha na siasa na pia kutenda kosa la jinai kwa wakati mmoja kitu ambacho ni kinyume hata kwa maadili ya jeshi.

Mwenye jukumu la kupeleleza kesi za jinai na kupeleka mahakamani ni polisi kwahiyo ni sahihi polisi kuwakamata na kuwaweka mahabusu, ila hawatapelekwa mahama za kiraia hadi taratibu za mahakama za kijeshi kukamilika wakikutwa na hatia wanaweza kufukuzwa kazi na wakakabidhiwa kwa polisi tena ili kuendelea na kesi yao ya kuchana mabango ambalo ni kosa la jinai.

Kwahiyo siyo suala la ushabiki sijui polisi wanaonea jwtz ni masuala ya kisheria na hamna aliejuu ya sheria isipokua dhana watu walizojijengea mitaani ndo tofauti na utaratibu/uhalisia ulivyo.
Sheria inasemaje juu ya kubandika mabango?.
Inamruhusu kubandika sehemu yoyote anayotaka?.
 
Wewe mvuta Bangi mkubwa yaani kukataa utekaji mauaji kubambika watu kesi ufisadi uonevu wenu wa kishetani ni ujuaji? Wenje ni Dalali wa Siasa ni chawaccm kala pesa za ccm kawasariti chadema hana uhalali wa kuingelea chadema kwani yeye hana mfano wa kuigwa hata mmoja, yaani umejitoa fahamu hujui vijana wa chadema wanataka nini kweli? Umesahau no reform no election? Umesahau kuwa wanataka Haki, muache kuwabambikia kesi, uchaguzi huru na haki siyo chaguzi za maigizo kama huu wa sasa
Wenje anawauliza kabla ya kuja Chadema alikuwa CCM, je alipokuja Chadema kutoka CCM mlimpa sh. Ngapi? Kwanini mnaamini mtu akitoka Chadema kwenda CCM ndo dalali au kapewa hela? Anasema nyie akili zenu ziko kama nyumbu vile.
 
JWTZ ni kama majeshi mengine duniani, kama ushasuka mpango wenu, hutakiwi kureact kwa miemko kabla ya wakati wa huo mpango kutimizwa, mi naamini kuna suprise kubwa sana wameandaa, wanasubiri wananchi tu hiyo 29 Oct
 
Back
Top Bottom