JWTZ msifanye makosa DRC, haya ndio yatakuwa madhara yake

Tapeli. Umeshtukiwa. Tapeli wewe.
 
Jamaa ni Kanyarwanda kamekuja kujifanya kama intelligensia na namba ya simu kameweka eti kaongee na Rais wetu shenzi

Na hiyo UN inaongozwa na USA
Hili la Congo hata mara moja ungekua ulienda mission moja ya kongo au una ndg wa karibu akakusimulia yanayoendelea kati ya vikosi vya afrika UN na waasi wala msingejifanya political /Military analytical hzo ishu ni mambo ya wakubwa wa dunia wala jwtz haihitajiki
 
Umeongea ukweli mkuu na kadri lwanda itakavyo zidi kuwa kubwa ki intergensia na ki geography ndivyo itakavyo kuwa tishio kwa tz nz East Africa

Kina haja ya tz kufanya Jambo laziada katika hili badara ya kuwa busy na akina tundu
Hapana Tanzania isiingie acheni kuchochea moto, itakuwa ni wastage of resources, wastage of money na wastage of men. Mbona vita ya russia-ukraine wako busy wanabondana na hakuna mtu ameingilia. Kwanini sisi tuwe na kiharoharo cha kuingilia migogoro ya nchi nyingine. Eti kwasababu tunawaogopa/tunawaonea wivu Rwanda.

Mataifa yanayoingiliaga migogoro hivyo ni Imperialist nations (Mabeberu) mmesahau falsafa ya pan-Africanism na itikadi ya Africa wote ni ndugu zangu siyo hizo mambo za ooh atatuzidi yule tumuharibie sijui nini.
 
Makubaliano na wewe katika hoja hizo lakini Kwanza tukaweke mambo Sawa jeshi letu likatulize hali ya Amani ndipo tuangalie hayo mambo mengine
 
Pamoja na mission za Siri za UN na mataifa mengine Bado tunahitaji kuweka mambo sawa ili Congo itulie na Maisha yaendelee
Halafu hayo mambo mengine e ya maslahi yatafata baadae
 
Hakuna undugu kwenye maslahi na kama mtu anatumia vita kujinufaisba Basi vita itumike kumwangamiza
Hakuna plan B kama mtu kanynua siraha
 
Nenda jukwaa la dini hapa sio Mahal pako
 
Ninacho zungumzia nikwamba apendaye madaraka hatoshiba madaraka

Leo lwanda Wana taka kulifanya lwanda iwe naeneo mpaka huko goma

Nabaada ya goma wanaitaka kivu mwisho wa siku wataitaka Congo

Sasa je baada ya kuipata congonho mzima hawata itaka Tanzania?

Hapa ndipo tunapo uona umhimu wa kuingilia Jambo hili
 
Mkuu umeleta uchambuzi sahihi Kwa wakati sasa TISS acheni kazi ya uchawa siasa imewalevya kuna mambo yako well programmed yanaendelea nchi inapoteza focus nyie mko bize na chadema
Mambo ya kijinga Sana sisi wazalendo tunahitaji jina Tanzania lirudi katika kilele na vita ya uchumi na vita ya kijeshi zinazoendelea ni lazima tuwe macho
 
Acha kuikuza bongo utadhani iko serious na mambo ya msingi. Nchi inayojua inayopoteza watoto wadogo kama Soka, ni nchi yenye IQ ndogo sana kufikiri mikakati ya Geopoliticia.

Muache Kagame atambe kwa sababu ana akili za kutosha kufanya hivyo.
Kwa sasa mambo haya ya kijinga yanaenda kukomeshwa
Watu ndani ya vyombo wasingependa kundelea na minor issues Kwa Ajili ya siasa zaidi wanaangalia kurudisha reputation ya vyombo vyetu
Wako Wakuu wachache ambao wamebakii na uchawa Ila ni muda sahihi vyombo vyetu virudi njia kuu TPDF msiwaachie nchi TISS itaonekana wao ndio wenye nchi hapana
Au TISS mjirekebishe acheni uchawa tunataka Ku deal na mambo serious Kwa Ajili ya Tanzania
 
Chatu hachoki kumeza zaidi atakua nankutaka kikubwa zaidi
Ndio maana tunasisitiza TPDF wasikawie kudhibiti hali hii
 
Umeongea ukweli mkuu na kadri lwanda itakavyo zidi kuwa kubwa ki intergensia na ki geography ndivyo itakavyo kuwa tishio kwa tz nz East Africa

Kina haja ya tz kufanya Jambo laziada

Acha bangi.
Yesu alisema wasamee kwa kuwa hawajui watendalo..
Andika tarehe ya leo for your refference, Taifa la Tanzania kwa sasa na Milele ndio Taifa lenye nguvu Duniani na bado kitambo kidogo mataifa yataanza kusalimu hamri.

Kuanzia leo elewa kuwa shina kubwa la mateso ya kila namna ni kujizalau.....

Bahati mbaya sana natumia nguvu nyingi kuongea lakini sijui ninayemwelimisha kama anaelewa hata??
I wish I can get in your brain and show you the truth about Tanzania utakaa Kimya na kuniomba msamaa.
 
Tanzania ijenge military base mashariki mwa DRC, Tanzania inapaswa kulinda maslahi yake DRC kwa wivu mkubwa.

Lengo la Kagame yawezekana ni kubwa kuliko kuiba madini tu yawezekana anataka kumega kabisa sehemu ya DRC.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hawa Wacongoman sijawahi kuwaelewa , wamekaa kimama sana kutwa kwenye vioo kujichubua ona sasa M23 wanavyowapelekea moto.

Yaani hawawezi pigana kwa maslahi ya nchi yao mpaka wategemee majeshi washirika, hovyo sana hawa wacongoman.

Wao ni starehe tu mala Paris Sijui Belgium kumbe bure tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…