Acha kamanda nikiangalia lile fensi na roho za watu Zilizoondoka wakipigania mzigo uishe.
Si walikua na mafundi wa kiraia wengi tu wenyewe kazi yao kutembeza ndoozege lilitesa sana na kupandisha cement
Eeeh wakupe Kitengee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyie watu khaaah.
Vijana wa UVCCMTISS nao wana recruit vip.. Mabogi yanakatwaje huko.
Yuvisisiemu ndio recruitment pool , just imagine .Kwa vilaza wale ndio unategemea kuzalisha TissTISS nao wana recruit vip.. Mabogi yanakatwaje huko.
Hahaha.. Wacha waendelee kubebelea Mizoga.Yuvisisiemu ndio recruitment pool , just imagine .Kwa vilaza wale ndio unategemea kuzalisha Tiss
Usikae kulalamikaHili swala la la nafasi za kujiunga na Jeshi la ulinzi la wananchi Tanzania ni kuwadanganya na kuwahadaa watoto wa maskini Rais na watu wako chini ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la kujenga taifa Bashungwa mngeachana nalo tu hili swala, Kwa jinsi mnavyotaka kujisafisha na kujikosha kwa yanayofanyika ndani ya JWTZ na sio kusumbua watoto wa watu, kiukweli ni uhalisia unaofahamika kuwa sahili zote za Makambini Za Vijana Wa Kujitolea Ndani ya jeshi la kujenga taifa bila kuwa na mtu nyuma huwezi enda jwtz hata wenyewe Wanakwambia kwamba hakuna miujiza hiyo pale ni maelekezo tu.
Hizi zinazofanyika kudanganya watoto wa masikini kwamba ni usahili tangu wapo operation makako makuu Dodoma mpaka hawa operation samia hakuna kitu ni rollcall tu ya geresha ili mpate uhalali wa kupitisha watoto wenu wenye maelekezo kwa kisingizio usahili ulifanyika na waliopatikaa ndo hao. Hakuna kitu kama hicho ni kusumbua watoto wa watu.
Sawa kujitolea ni swala moja na kuajiriwa ni swala jingine lakini kama mtu kajitolea kwa miaka miwili na zaidi na nafasi zimetoka sifa na vigezo anavyo inakuaje anaachwa halafu anaenda kuchukuliwa mtu tu aliye nje ya mfumo huko eti kisa tu mkuu anasali nae kanisani ameona kwaya inaimba vizuri anasomba wanakwaya waende jeshini halafu tena watu hao hao wanafika kule wanatoroka au Mnajaza nafasi na kina Ibra Classic halafu tena anatoka unfit
Rais Samia ni heri ingefanyika kama kwa Hayati Magufuli kwamba kama wote wamerudi, warudi wote sio wengine walime na kujitolea si zitoke za ajira wachukuliwe ambao hawakupita kabisa kwenye haya mafunzo ya awali, miaka zaidi ya miwili halafu warudi, kisha watoto wenu na ndugu zenu waliopo uraiani hawajui lolote kuhusu kujitolea mnawapeleka na maelekezo mazito
Kwa mfano kuna hili la juzi vijana waliopo makambini oparesheni samia suluhu walifanya huo wanaoita usahili, yamekuja majina ni watu wale wale waliokwama kule oljoro meseji zilizo zuiliwa ndo yamekuja tena na wengine wamesomwa majina yao tena wakati waliisha andikishwaga(ajiriwa) ni pte sasa hivi Kama kuna kijana anaitwa Abdallah isike huyu alikua kikosi cha oljoro na wengine wengi tu waliisha andikishwaga(ajiriwa) lakini majina yao yamerudi tena hii maanaake nini?
Na sasa hivi tena mmefanya kitu ambacho hakija wahi fanywa na jeshi ili tu mjikoshe katika kuhalalisha kwamba nafasi zilitangazwa lakini sio kweli ni Mnarudisha majina ya watoto wenu tuu ambao majina ni yale yale ya pdf zilizo zuiwa oljoro kwenye ile intake ya 41 ..
Lakini ndani ya jeshi kuna watu ambao bado ni waadilifu sana lakini wanasiasa ndo wanaharibu jeshi letu lilio imara.. lakini ipo siku VIJANA WATACHOKA there is always a first time in everything.
Course zao vipi wanaenda baada ya saili zote hizo au ni kulingana na mahitaji yao?Wanapitaga hukohuko kwenye mausahili ya PT,UT na Uhamiaji Na Jw kama walivowafanyia walio jenga ukuta wa melerani wote waliahidiwa kwenda jw na Magu ,na akawarudisha nyumbani TISS waliwachukua wote ,sisi tukiwa tunajenga ikulu wao ndio tumewakuta ndo walinzi wanatusimulia yaliyowakuta na kutuambia tusikate tamaa hata tukirudi nyumbani
Pole kwa kukosa ajira za jeshi.Hili swala la la nafasi za kujiunga na Jeshi la ulinzi la wananchi Tanzania ni kuwadanganya na kuwahadaa watoto wa maskini Rais na watu wako chini ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la kujenga taifa Bashungwa mngeachana nalo tu hili swala, Kwa jinsi mnavyotaka kujisafisha na kujikosha kwa yanayofanyika ndani ya JWTZ na sio kusumbua watoto wa watu, kiukweli ni uhalisia unaofahamika kuwa sahili zote za Makambini Za Vijana Wa Kujitolea Ndani ya jeshi la kujenga taifa bila kuwa na mtu nyuma huwezi enda jwtz hata wenyewe Wanakwambia kwamba hakuna miujiza hiyo pale ni maelekezo tu.
Hizi zinazofanyika kudanganya watoto wa masikini kwamba ni usahili tangu wapo operation makako makuu Dodoma mpaka hawa operation samia hakuna kitu ni rollcall tu ya geresha ili mpate uhalali wa kupitisha watoto wenu wenye maelekezo kwa kisingizio usahili ulifanyika na waliopatikaa ndo hao. Hakuna kitu kama hicho ni kusumbua watoto wa watu.
Sawa kujitolea ni swala moja na kuajiriwa ni swala jingine lakini kama mtu kajitolea kwa miaka miwili na zaidi na nafasi zimetoka sifa na vigezo anavyo inakuaje anaachwa halafu anaenda kuchukuliwa mtu tu aliye nje ya mfumo huko eti kisa tu mkuu anasali nae kanisani ameona kwaya inaimba vizuri anasomba wanakwaya waende jeshini halafu tena watu hao hao wanafika kule wanatoroka au Mnajaza nafasi na kina Ibra Classic halafu tena anatoka unfit
Rais Samia ni heri ingefanyika kama kwa Hayati Magufuli kwamba kama wote wamerudi, warudi wote sio wengine walime na kujitolea si zitoke za ajira wachukuliwe ambao hawakupita kabisa kwenye haya mafunzo ya awali, miaka zaidi ya miwili halafu warudi, kisha watoto wenu na ndugu zenu waliopo uraiani hawajui lolote kuhusu kujitolea mnawapeleka na maelekezo mazito
Kwa mfano kuna hili la juzi vijana waliopo makambini oparesheni samia suluhu walifanya huo wanaoita usahili, yamekuja majina ni watu wale wale waliokwama kule oljoro meseji zilizo zuiliwa ndo yamekuja tena na wengine wamesomwa majina yao tena wakati waliisha andikishwaga(ajiriwa) ni pte sasa hivi Kama kuna kijana anaitwa Abdallah isike huyu alikua kikosi cha oljoro na wengine wengi tu waliisha andikishwaga(ajiriwa) lakini majina yao yamerudi tena hii maanaake nini?
Na sasa hivi tena mmefanya kitu ambacho hakija wahi fanywa na jeshi ili tu mjikoshe katika kuhalalisha kwamba nafasi zilitangazwa lakini sio kweli ni Mnarudisha majina ya watoto wenu tuu ambao majina ni yale yale ya pdf zilizo zuiwa oljoro kwenye ile intake ya 41 ..
Lakini ndani ya jeshi kuna watu ambao bado ni waadilifu sana lakini wanasiasa ndo wanaharibu jeshi letu lilio imara.. lakini ipo siku VIJANA WATACHOKA there is always a first time in everything.
Hahahah DuuuhPole kwa kukosa ajira za jeshi.
Kwanini kila wanajeshi watano wawili Ni wakurya.?
Ni kwasababu wakurya wamelitaifisha Hilo jeshi Kama walivyotaifisha jeshi la polisi.
Angalia tu ma SACP and above wa kikurya vs a vs makabila mengine. Au angalia ma OCD na ma OCS utakuta zaidi ya asilimia 40 Ni wakurya au watu wa Musoma.
Kwanini hakuna hata RPC mmoja toka Tanga au Pwani ?
Angalia wakuu wa vikosi JW. Wangapi wanatoka Mara na wangapi wanatoka Lindi?
Na kama hujaenda unaishia wap ndugu?Tofautisha Jkt na Jwtz ndugu huku ukienda umeenda tu.. huwezi kuwa Suma tena
Mungu hausiki huko fanya mambo yako utamuona.IVI MUNGU UKO WAPI...? WENGINE WANAPATA...BILA KUWA NA UHITAJI...WENGINE TUNAO UHITAJI MIAKA NENDA MIAKA RUDI ATUPATI....MUNGU GANI HUYU HANA HURUMA.