GE2025 JWTZ: Tunafuatilia kwa ukaribu hali ya ulinzi na usalama kuelekea Oktoba 29

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limetoa tamko rasmi likieleza kuwa linaendelea kufuatilia kwa karibu hali ya Ulinzi na Usalama nchini katika kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi Mkuu utakaofanyika tarehe 28 na 29 Oktoba 2025, kama ilivyotangazwa na Tume Huru ya Uchaguzi ya Taifa (INEC) na Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC).

Katika taarifa iliyotolewa Tarehe 15 Oktoba 2025 na Kaimu Mkurugenzi wa Habari na Uhusiano wa JWTZ, Kanali Bernard Masala Mlunga, Jeshi limeeleza kuwa kwa ujumla linaridhishwa na hali ya usalama nchini, ambapo kampeni za uchaguzi zinaendelea kwa amani na kwa kuzingatia sheria, maadili ya kisiasa, kuheshimiana na kuvumiliana miongoni mwa wagombea na wafuasi wao.

JWTZ limevitaka vyama vyote vya siasa, wagombea pamoja na wafuasi wao kuendeleza mazingira ya utulivu, ili taifa liendelee kuwa na uchaguzi huru, wa haki na wa amani. Pia, Jeshi limepongeza juhudi za Jeshi la Polisi na vyombo vingine vya usalama kwa kusimamia vizuri hali ya usalama katika kipindi hiki muhimu kwa taifa.

Aidha, Jeshi limewapongeza wananchi kwa kutumia haki yao ya msingi ya kisiasa kwa kushiriki katika mikutano ya kampeni, kusikiliza sera za vyama na kujitayarisha kufanya maamuzi sahihi ya kuwachagua viongozi wa kuwaongoza.

Hata hivyo, JWTZ limeeleza kusikitishwa na ongezeko la taarifa potofu zinazosambazwa kwenye mitandao ya kijamii na baadhi ya watu wanaojiita wanaharakati, kutoka ndani na nje ya nchi, wakilenga kulihusisha Jeshi na masuala ya kisiasa kwa nia ya kuchafua taswira yake na kupunguza imani ya wananchi kwa chombo hicho cha ulinzi.

Jeshi limewahimiza wananchi kupuuza taarifa hizo za upotoshaji na kuendelea kuwa watulivu. Limeeleza kuwa taarifa zote rasmi kuhusu Jeshi zitakuwa zikitolewa kupitia Kurugenzi ya Habari na Uhusiano Makao Makuu ya JWTZ.
===

Issue ni kuwa hatufatilii tena vyombo vya Habari
 
Clouds wametuma barua io io ila haina muhuri wala saini yani vichekesho
 
Kwahiyo Crown Media na ITV Digital wote wametoa taarifa hii kwa pamoja.

Ndo wamekufundisheni "Digital manipulation" kwamba utumie chombo kama TV kujustify huu ujinga ulotuma?

Wadhani watanzania wa leo ni wale wa mwaka 1961?
 
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limetoa tamko rasmi likieleza kuwa linaendelea kufuatilia kwa karibu hali ya Ulinzi na Usalama nchini katika kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi Mkuu utakaofanyika tarehe 28 na 29 Oktoba 2025, kama ilivyotangazwa na Tume Huru ya Uchaguzi ya Taifa (INEC) na Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC).

Katika taarifa iliyotolewa Tarehe 15 Oktoba 2025 na Kaimu Mkurugenzi wa Habari na Uhusiano wa JWTZ, Kanali Bernard Masala Mlunga, Jeshi limeeleza kuwa kwa ujumla linaridhishwa na hali ya usalama nchini, ambapo kampeni za uchaguzi zinaendelea kwa amani na kwa kuzingatia sheria, maadili ya kisiasa, kuheshimiana na kuvumiliana miongoni mwa wagombea na wafuasi wao.

JWTZ limevitaka vyama vyote vya siasa, wagombea pamoja na wafuasi wao kuendeleza mazingira ya utulivu, ili taifa liendelee kuwa na uchaguzi huru, wa haki na wa amani. Pia, Jeshi limepongeza juhudi za Jeshi la Polisi na vyombo vingine vya usalama kwa kusimamia vizuri hali ya usalama katika kipindi hiki muhimu kwa taifa.

Aidha, Jeshi limewapongeza wananchi kwa kutumia haki yao ya msingi ya kisiasa kwa kushiriki katika mikutano ya kampeni, kusikiliza sera za vyama na kujitayarisha kufanya maamuzi sahihi ya kuwachagua viongozi wa kuwaongoza.

Hata hivyo, JWTZ limeeleza kusikitishwa na ongezeko la taarifa potofu zinazosambazwa kwenye mitandao ya kijamii na baadhi ya watu wanaojiita wanaharakati, kutoka ndani na nje ya nchi, wakilenga kulihusisha Jeshi na masuala ya kisiasa kwa nia ya kuchafua taswira yake na kupunguza imani ya wananchi kwa chombo hicho cha ulinzi.

Jeshi limewahimiza wananchi kupuuza taarifa hizo za upotoshaji na kuendelea kuwa watulivu. Limeeleza kuwa taarifa zote rasmi kuhusu Jeshi zitakuwa zikitolewa kupitia Kurugenzi ya Habari na Uhusiano Makao Makuu ya JWTZ.
===

Magufuli alikuwa mjinga sana ona sasa mlinzi wake na binti yake wanamkataa live live aisee. Hii nchi alianzisha ubabe leo hii ubabe unatumika kwenye wizi. Huyu jamaa inabidi afukuliwa then achapwe viboko azikwe upya.
 
Jeshi la Kuuwa wananchi au Kulinda ?
Jibu halisi mtaliona will moja kabla.
󱡓󱥊󱥆󱎎91...(20).webp
 
TPDF Tanzania People's Defence Force

Tanzania in TURMOIL — Army Officer Confronts Government Leaders!​

View: https://m.youtube.com/watch?v=QZhUsNWH8SE
In a bold and unexpected turn, a Tanzanian army officer captain John Charles Tesha has openly challenged the government — a move that’s sending shockwaves through the country’s political and military circles. According to emerging reports, the officer spoke out against corruption, mismanagement, and the growing frustration within the ranks. His remarks, shared across social media, have sparked intense debate about loyalty, discipline, and the limits of free speech inside the armed forces. For a nation where dissent from within the military is almost unheard of, this moment marks a potential turning point.

1760623539534.jpeg

1760623513643.jpeg
 
Back
Top Bottom