Traxtion
JF-Expert Member
- Dec 10, 2021
- 8,000
- 16,414
Ila Lucha bwana, unachukia kila kitu kwenye hii nchi 😂😂😂Maswali mengi ni yapi? Au wewe ndo una kichwa kigumu kuelewa?
Ila Lucha bwana, unachukia kila kitu kwenye hii nchi 😂😂😂Maswali mengi ni yapi? Au wewe ndo una kichwa kigumu kuelewa?
Basi ni vyema walinde amani, ila wasivuruge haki za watu kikatibaJeshi haliwezi kuvunja katiba, hiyo ni kazi ya ccm tu
SIYO TAARIFA YA KWELI,HAIJATOKA JESHINI LABDA HUKO MBOGAMBOGA GUARDMbona kama taatifa hii imekanushwa.
Ni kweliFAKE FAKE FAKE 🤥
Yaani leo watu wametishwa tena sasa Jeshi na Polisi wameungana😂 Ndo mnasema jeshi lichukue nchi 😂
TPDF Tanzania People's Defence Force
View: https://m.youtube.com/watch?v=QZhUsNWH8SE
In a bold and unexpected turn, a Tanzanian army officer captain John Charles Tesha has openly challenged the government — a move that’s sending shockwaves through the country’s political and military circles. According to emerging reports, the officer spoke out against corruption, mismanagement, and the growing frustration within the ranks. His remarks, shared across social media, have sparked intense debate about loyalty, discipline, and the limits of free speech inside the armed forces. For a nation where dissent from within the military is almost unheard of, this moment marks a potential turning point.
View attachment 3489542
View attachment 3489541
Maamae Transnusa.Cs TransNusa
_
Hubungi Customer Service TransNusa +62 819 4984 0215
Dogo lala weweeUnyambisi ni mwingi nchini «£°#** basi tu.
Naona ni taarifa ya kweli kutoka JWTZ nimeiona huko AyoTvMbona kama taatifa hii imekanushwa.
Toka hadharani ulaani inaruhusiwa..Jwtz hawajalaani watu kutekwa, kuteswa, na kupotezwa.
Toka hadharani ulaani inaruhusiwa
Inavyoonekana ni polisi ndio wanaowaogopa watekaji kwanini mpaka leo hatuoni watekaji wakikamatwa?..ina maana Jwtz wanawaogopa watekaji?🤣