GE2025 JWTZ: Tunafuatilia kwa ukaribu hali ya ulinzi na usalama kuelekea Oktoba 29

GE2025 JWTZ: Tunafuatilia kwa ukaribu hali ya ulinzi na usalama kuelekea Oktoba 29

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Watanzania wanapaswa wafanye mass demonstration na civil disobedience ya kweli la sivyo hakutakuwa na mabadiriko ya kweli Kwa miaka mingi ijayo.
Naona ndicho wanacho kisubiri hata hawa; ingawaje hawawezi kukisema bayana..

Kunahitajika maandamano ya nguvu kabisa, maandamano ambayo hayajapata kutokea ndani ya nchi hii; na kwa kweli hata Africa Mashariki nzima.

Ni maandamano ya aina hiyo ndiyo pekee yatakayoleta mabadiliko ndani ya nchi hii.

Hayo maandamano yasiwe ya miji mikubwa pekee; ni maandamano ya nchi nzima; na siku hiyo ni siku nzuri sana ya kufanya jambo muhimu sana kufanya kazi kama hiyo.

Hii ni nafasi ya kipekee kabisa kwa Tanzania kuitumia kuondoa utawala mbovu kabisa huu.
 
Taarifa imeandikwa na CCM, hamna taarifa ya Jeshi ya namna hiyo ya kupongeza Polisi. Ina maana huko ndani kuna tabu. Simu yenyewe sasa, ina maana JWTZ hawana simu ya ofsi. Hii Taarifa ina walakini sana
 
IIli mmteke, au siyo?
Subiri kidogo tuondoe uchafu wenu, hapo atakuwa na haki ya kutoka hadharani bila ya hofu.
Kwahiyo unataka kupindua nchi huku unaogopa kifo? Labda upindue bakuli la mboga
 
Jeshi limewapoint kabisa wanaharakati wa mitandaoni au lilikuwa linamaanisha captain Tesha? CH? Au Mange Kimambi?
 
Wewe unaweza "kupindua nchi", uliona wapi nchi inapinduliwa?
Vizuri sana kama unaelewa huwezi kupindua nchi maana kwa umri wako uwezo wa kukimbia hatua 20 huwezi alafu unatishia kuleta machafuko tutakushughulikia bila huruma
 
Mbona Jeshi hawasemi kuhusu watu wanaopotea? Wao mbona Kama wako upande wa utawala? Hivi hawaoni Hali tunayopitia Kama watanzania Kwa Sasa? Nachukia wapindisha haki, hovyo kabisa nonsense
Jeshi la kipuuzi kabisa hili. Halina watu makini kama akina Tesha.
 
Warioba alishasema tukillingiza Jeshi kwenye siasa litakuwa la ovyo, na tayari limekuwa hii ni lawama ya CCM
Ni muda lilikuwa na hovyo, uchaguzi 2020 kule Zanzibar walifanya upuuzi mtupu.
 
Hivi Samia na Genge lake walikuwa wanategemea kabisa wananchi wangetulia wao kupeana kipindi cha pili kirahisi rahisi tu…, hii ngoma inaenda kuwa out of control…na wakiendelea kupuuza, si ajabu ccm ikawafia, ujue mpaka sasa baadhi CCM, wananchi wasio na vyama, wote wameungana na Chadema kudai reforms, kikinuka, itakuwa ni balaa, no one will be able to stop it.
 
Vizuri sana kama unaelewa huwezi kupindua nchi maana kwa umri wako uwezo wa kukimbia hatua 20 huwezi alafu unatishia kuleta machafuko tutakushughulikia bila huruma
Anasombwa Samia na Genge lake na nguruwe zake wote kama wewe; Tanzania iko pale pale; tena itaneemeka sana baada ya kuondoa majambazi haya..
Wewe kama nguruwe wa kufugwa tu huwezi kumshughulikia yeyote. Siyo ajabu siku hiyo ukawa kitoweo!
 
Vizuri sana kama unaelewa huwezi kupindua nchi maana kwa umri wako uwezo wa kukimbia hatua 20 huwezi alafu unatishia kuleta machafuko tutakushughulikia bila huruma
Ipo siku moja chini ya jua nawe utashughulukiwa
ni swala la muda tu
kila jambo lina mwanzo na mwisho
Mark my words!
 

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limetoa tamko rasmi likieleza kuwa linaendelea kufuatilia kwa karibu hali ya Ulinzi na Usalama nchini katika kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi Mkuu utakaofanyika tarehe 28 na 29 Oktoba 2025, kama ilivyotangazwa na Tume Huru ya Uchaguzi ya Taifa (INEC) na Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC).

Katika taarifa iliyotolewa Tarehe 15 Oktoba 2025 na Kaimu Mkurugenzi wa Habari na Uhusiano wa JWTZ, Kanali Bernard Masala Mlunga, Jeshi limeeleza kuwa kwa ujumla linaridhishwa na hali ya usalama nchini, ambapo kampeni za uchaguzi zinaendelea kwa amani na kwa kuzingatia sheria, maadili ya kisiasa, kuheshimiana na kuvumiliana miongoni mwa wagombea na wafuasi wao.

JWTZ limevitaka vyama vyote vya siasa, wagombea pamoja na wafuasi wao kuendeleza mazingira ya utulivu, ili taifa liendelee kuwa na uchaguzi huru, wa haki na wa amani. Pia, Jeshi limepongeza juhudi za Jeshi la Polisi na vyombo vingine vya usalama kwa kusimamia vizuri hali ya usalama katika kipindi hiki muhimu kwa taifa.

Aidha, Jeshi limewapongeza wananchi kwa kutumia haki yao ya msingi ya kisiasa kwa kushiriki katika mikutano ya kampeni, kusikiliza sera za vyama na kujitayarisha kufanya maamuzi sahihi ya kuwachagua viongozi wa kuwaongoza.

Hata hivyo, JWTZ limeeleza kusikitishwa na ongezeko la taarifa potofu zinazosambazwa kwenye mitandao ya kijamii na baadhi ya watu wanaojiita wanaharakati, kutoka ndani na nje ya nchi, wakilenga kulihusisha Jeshi na masuala ya kisiasa kwa nia ya kuchafua taswira yake na kupunguza imani ya wananchi kwa chombo hicho cha ulinzi.

Jeshi limewahimiza wananchi kupuuza taarifa hizo za upotoshaji na kuendelea kuwa watulivu. Limeeleza kuwa taarifa zote rasmi kuhusu Jeshi zitakuwa zikitolewa kupitia Kurugenzi ya Habari na Uhusiano Makao Makuu ya JWTZ.
​
===


Last kick of a dying horse
Sure! Bila hivyo kama kutekana dhidi ya raia awajatia neno, sasa hili jeshi la wananchi kweli?
Sio jeshi ni baadhi ya wanajeshi
 
Back
Top Bottom