GE2025 JWTZ: Tunafuatilia kwa ukaribu hali ya ulinzi na usalama kuelekea Oktoba 29

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Dogo lala wewee
Inaonekana kwenu ni Lilongwe au pengene umevimbiwa makande mabichi kwenu, tumbo linakusumbua umeshindwa kutoka njee utazame muda umebaki unabingilika tu kitandani sijui kwenye jamvi, maana nisije kusema kitandani moja kwa moja kumbe hujajipata unalalia matulubai, namana huu ni muda wa kulala kweli?
 
Hahaha dogo niko serious nakuamuru ukalale la sivyo mboko zitakufuata.

Haya faster kanye ulale.

Sipendi upuzi Mimi😡😡😡😡
 
Hahaha dogo niko serious nakuamuru ukalale la sivyo mboko zitakufuata.

Haya faster kanye ulale.

Sipendi upuzi Mimi
Hasira zako na mikwara yako haisaidii kitu, kuwa muwazi tu kama umeachwa na yule kenge mjane mwenzako umekosa sehemu ya kupeleka hilo busu lako ulilojitwika kichwani, ni heri ukafunguka tu nikafanya mchakato wa kwenda kukufanyia busura yakaisha, siyo kama unavyo fanya kufokea fokea watu hovyo, siyo tabia nzuri hiyo kwa mtu mzima kama wewe tena siyo kipande kuifanya hadharani.
 
Yani tu bado hujalala? Yani mitoto ya siku hizi sijui ikoje. Sasa ngoja nije nikukute bado hujanya na haupo kitandani. 😡😡😡😡
 
"Hata Hivyo hatujui chochote kuhusu utekaji"
 
Sio fake ni halisi ila kama Taifa, wananchi hawana pa kukimbilia si wazee, sio vyombo vya ulinzi na usalama as if watanzania watumwa kwenye nchi yao, matukio yote ya kutekana, kuuliwa jeshi awalioni, hatari sana.

Sio jeshi la wananchi ni la watawala
 
Yani tu bado hujalala? Yani mitoto ya siku hizi sijui ikoje. Sasa ngoja nije nikukute bado hujanya na haupo kitandani.
Hebu ngoja nikuache kidogo uendelee kufoka pekeako, si umekataa nikakufanyie busara endelea kutesa bakuli lako kwa kutoa milio, ukichoka utanitafuta tena kwa wakati mwingine nikakufanyie hekima, kwaheri...
 
View attachment 3489548

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limetoa tamko rasmi likieleza kuwa linaendelea kufuatilia kwa karibu hali ya Ulinzi na Usalama nchini katika kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi Mkuu utakaofanyika tarehe 28 na 29 Oktoba 2025, kama ilivyotangazwa na Tume Huru ya Uchaguzi ya Taifa (INEC) na Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC).

Katika taarifa iliyotolewa Tarehe 15 Oktoba 2025 na Kaimu Mkurugenzi wa Habari na Uhusiano wa JWTZ, Kanali Bernard Masala Mlunga, Jeshi limeeleza kuwa kwa ujumla linaridhishwa na hali ya usalama nchini, ambapo kampeni za uchaguzi zinaendelea kwa amani na kwa kuzingatia sheria, maadili ya kisiasa, kuheshimiana na kuvumiliana miongoni mwa wagombea na wafuasi wao.

JWTZ limevitaka vyama vyote vya siasa, wagombea pamoja na wafuasi wao kuendeleza mazingira ya utulivu, ili taifa liendelee kuwa na uchaguzi huru, wa haki na wa amani. Pia, Jeshi limepongeza juhudi za Jeshi la Polisi na vyombo vingine vya usalama kwa kusimamia vizuri hali ya usalama katika kipindi hiki muhimu kwa taifa.

Aidha, Jeshi limewapongeza wananchi kwa kutumia haki yao ya msingi ya kisiasa kwa kushiriki katika mikutano ya kampeni, kusikiliza sera za vyama na kujitayarisha kufanya maamuzi sahihi ya kuwachagua viongozi wa kuwaongoza.

Hata hivyo, JWTZ limeeleza kusikitishwa na ongezeko la taarifa potofu zinazosambazwa kwenye mitandao ya kijamii na baadhi ya watu wanaojiita wanaharakati, kutoka ndani na nje ya nchi, wakilenga kulihusisha Jeshi na masuala ya kisiasa kwa nia ya kuchafua taswira yake na kupunguza imani ya wananchi kwa chombo hicho cha ulinzi.

Jeshi limewahimiza wananchi kupuuza taarifa hizo za upotoshaji na kuendelea kuwa watulivu. Limeeleza kuwa taarifa zote rasmi kuhusu Jeshi zitakuwa zikitolewa kupitia Kurugenzi ya Habari na Uhusiano Makao Makuu ya JWTZ.
​
===

Mange anasema leo wanajeshi wote wameingizwa pesa ambazo hazina maelezo ili kuwalainisha wasipindue nchi.

Kama kweli jambo hilo limefanyika basi ni hatari sana kwa Samia.
Maana wakihitaji tu pesa watakuwa wanapiga mkwala ili wapewe zingine nyingi zaidi.
Inakuwa kama "blackmail".Tabia hiyo huwa haishi hadi upande mmoja afariki dunia.

Blackmailer huwa anadai apewe tena na tena
 
Kama litakuwa kweli obviously litakua tamko la mkunda na wachache waliojaziwa madafu kwa akaunti zao. Tamko la wanajeshi kila afisa na askari analo moyoni mwake! Sio kwa kikaratasi na clip ya hivi...

Jipu lishaiva hili wandugu, lisipopasuliwa litapasuka lenyewe tu muda tayari!
Exactly 💯 😂 😁 😃
 
Jeshi linafatilia ukitokea polisi wakaanza kutumia silaha za moto kuua raia jeshi litaingia rasmi kwaio itakuwa polisi vs jeshi na wananchi dadek watu watakimbia nchi mbona mtandao ote utakimbia kwanza saiz wanajijambiajambia tu 🤣🤣
 
View attachment 3489548

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limetoa tamko rasmi likieleza kuwa linaendelea kufuatilia kwa karibu hali ya Ulinzi na Usalama nchini katika kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi Mkuu utakaofanyika tarehe 28 na 29 Oktoba 2025, kama ilivyotangazwa na Tume Huru ya Uchaguzi ya Taifa (INEC) na Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC).

Katika taarifa iliyotolewa Tarehe 15 Oktoba 2025 na Kaimu Mkurugenzi wa Habari na Uhusiano wa JWTZ, Kanali Bernard Masala Mlunga, Jeshi limeeleza kuwa kwa ujumla linaridhishwa na hali ya usalama nchini, ambapo kampeni za uchaguzi zinaendelea kwa amani na kwa kuzingatia sheria, maadili ya kisiasa, kuheshimiana na kuvumiliana miongoni mwa wagombea na wafuasi wao.

JWTZ limevitaka vyama vyote vya siasa, wagombea pamoja na wafuasi wao kuendeleza mazingira ya utulivu, ili taifa liendelee kuwa na uchaguzi huru, wa haki na wa amani. Pia, Jeshi limepongeza juhudi za Jeshi la Polisi na vyombo vingine vya usalama kwa kusimamia vizuri hali ya usalama katika kipindi hiki muhimu kwa taifa.

Aidha, Jeshi limewapongeza wananchi kwa kutumia haki yao ya msingi ya kisiasa kwa kushiriki katika mikutano ya kampeni, kusikiliza sera za vyama na kujitayarisha kufanya maamuzi sahihi ya kuwachagua viongozi wa kuwaongoza.

Hata hivyo, JWTZ limeeleza kusikitishwa na ongezeko la taarifa potofu zinazosambazwa kwenye mitandao ya kijamii na baadhi ya watu wanaojiita wanaharakati, kutoka ndani na nje ya nchi, wakilenga kulihusisha Jeshi na masuala ya kisiasa kwa nia ya kuchafua taswira yake na kupunguza imani ya wananchi kwa chombo hicho cha ulinzi.

Jeshi limewahimiza wananchi kupuuza taarifa hizo za upotoshaji na kuendelea kuwa watulivu. Limeeleza kuwa taarifa zote rasmi kuhusu Jeshi zitakuwa zikitolewa kupitia Kurugenzi ya Habari na Uhusiano Makao Makuu ya JWTZ.
​
===

EEEeeenHEEEeeeh!

Wao wanaishi nchi gani hiyo yenye sifa nzuri kiasi hicho!

Kwa nini hawaileti hiyo nchi hapa kwetu ili nasi tuweze kuwa na mambo mazuri kama hayo waliyo yaeleza kwenye maandishi yao?

WaTanzania wanaoishi hapa, na kuyashuhudia yote yanayotendeka hapa ndio wanaojuwa hali halisi ya nchi yao; na ndio watakaoamua hatma ya nchi yao, na siyo mtu mwingine yeyote; ikiwemo hao watu wanaoishi kwenye taifa ambalo halipo hapa.
 
Back
Top Bottom