Boveta
JF-Expert Member
- Jul 23, 2019
- 3,174
- 3,804
Aisee mimi Napenda Totoz za kijeshi!!Aisee mi napenda sana kua mwanajeshi aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee mimi Napenda Totoz za kijeshi!!Aisee mi napenda sana kua mwanajeshi aisee
Halafu ni nani kawapa mandate jeshi kufanya kazi ya police ,?Tahadhari
Jeshi linapotoa matamko aina hii mjue si jeshi la wananchi tena.
Jeshi la wananchi litaelimisha na kuviachia vyombo vya kutekeleza sheria kufanyakazi zao.
Jeshi linapotoa amri kwa raia ni majaribio ya kiimla yapo nyuma yake.
Amiri Jeshi Mkuu anapodhani haya matamko ya Jeshi dhidi ya raia ni sahihi ni wazi kuwa tuna ombwe kubwa la uongozi nchini.
Mkuu wa Majeshi ni busara akayasahihisha haya mambo au akaachia ngazi ili kupisha wenye weledi, utii na mahaba lwa nchi kuongoza jeshi
Jeshi linapaswa kutimiza wajibu wake wa kikatiba na kosheria au sivyo litafahamika ni la kihuniHalafu ni nani kawapa mandate jeshi kufanya kazi ya police ,?
Hii ni banana republic ?
Kwa kweli hii nchi hii !
Haya majamaa ni maoga hatari. Nakumbuka maandamano hewa ya Mange kimambi... Majitu mazima eti yakaingia mjini eti yanafanya usafi.Mataahira wa jwtz ,polisi ,uhamiaji , magereza ,TISS ,wote hawa mmeshuhudia walivyotumika kama ndomu kufanya mambo ya ovyo kipindi cha Magufuli na uchaguzi uliopita , hawa Kenge JWTZ walipelekwa hadi Zanzibar kwenda kupiga na hata kuua raia ule uchaguzi uliopita kwa kuvalishwa uniforms za FFU .
To me vyombo vya dola vyote vimeoza ,bunge , mahakama , takataka wote .
Nchi ikikosa foundation ni disaster
Sidhani kama ni wajibu wa JWTZ kupita uraiani kusaka nguo zinazofanana na zao. Wana Jukumu kubwa sana la kulinda taifa na mipaka yake... Sio kusaka vitambaaJeshi linapaswa kutimiza wajibu wake wa kikatiba na kosheria au sivyo litafahamika ni la kihuni
Hawana kazi ya kufanya.Sidhani kama ni wajibu wa JWTZ kupita uraiani kusaka nguo zinazofanana na zao. Wana Jukumu kubwa sana la kulinda taifa na mipaka yake... Sio kusaka vitambaa
Ina maana wameshamaliza kufyeka zile nyasi pale Lugalo?Hawana kazi ya kufanya.
Wanataka kufqnya mechi ya kirafiki na wananchi.
Mawe huwa ni adimu mijini lakini wenye kiu huyapata fasta🤣
Usinitie maneno mdomoni we mzee🤣🤣Ina maana wameshamaliza kufyeka zile nyasi pale Lugalo?
KakuongopeaKuna jirani yangu mgambo kanimegea siri ya jw kukagua nguo zao mtaani kuwa ni mbinu ya kuichukua nchi kama wanavyofanya wenzao wa gaboni,Mali na Burkina Faso.wameona huyu mkizimkazi nchi anaipeleka korongoni
na kweli ni uongo kabsa sisi hatujafikia hukoKakuongopea
Wacha waingie mtaani ndo vzr tena nyumba kwa chumbaJWTZ ni moja ya Taasisi inayo heshimika na kukubalika kwa wananchi walio wengi, ziko nyengine. Kama walitoa muda, wakurudisha kesha rudisha na waoga wameshazipoteza kuepuka kukutwa na kidhibiti. Hii ya kuingia mtaani waachane nayo, waendelee na kazi yao kubwa ya kulinda mipaka, hasa kipindi hiki ambacho tunaambiwa liko lango mojawapo muhimu la nchi litakuwa na wageni wakijitafutia ridhiki langoni.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wenzao wanapindua serikali huko wao wanasaka sare huku [emoji28]
I don't condone mapinduzi ila hii ni task ya kiboya sana.
Hadi nimeogopaa.Mnaoandika hovyo msifikiri JF haina limit ya kuwalinda.
Nawashauri muwache kuongea kijinga, wakimtaka mtu hapa JF wana uwezo wa kumpata ndani ya muda mchache sana.
Eleweni kuwa hii mitandao hakuna pakujificha na hakuna kinachofutika hata wewe ukifuta.
Chezeeni vingine, msichezee watu wanaojitolea maisha yao kutulinda.
Samahani naomba kuuliza, haya ni majukumu ya jeshi au Polisi? Kadri ya maelezo yako.Raia wabishi sana wanafanya kila kitu wanakijua kuingia mtaani na kusearch kwako utaona kawaida ila ni mbinu ya kugundua vitu vingi sana kuna watu wanaishi na raia wa kigeni ndani kinyume na utaratibu,wanamiliki silaha ndani na nyara nyingi za serikali wote hao kazi wanayo nimewapa siri kidogo
Nadharia ndio inavyo amini hivyo. Lakini kwenye vitendo sio. Jaribu kufuatilia stories za vijiwe mishoki mishoki upate uzoefu wa wale ambao kwa bahati mbaya/makusudi waliingia kwenye aga zao ima kwa kujua au kutokujua.ila ni kwamba: wakimkuta mwenye hizo nguo hawana mamlaka kisheria kumwajibisha! wanapaswa wampeleke kituo cha POLISI kwa hatua za kisheria. Hawatakiwi kujichukulia sheria mkononi.
Yesu anaokoa!
unavyosikia jeshi wataingia mtaani kukagua sare zao unadhani polisi hawatuwepo,Samahani naomba kuuliza, haya ni majukumu ya jeshi au Polisi? Kadri ya maelezo yako.