JWTZ wanapendwa sana na raia

Ni kwasababu jwt hawakutani na raia mda mwingi hayo majeshi mengine si mmeyazoea mpaka mtu mnavua baret afande mda wote mnashinda nao
 
Amja onekana kwa wingi kama siku ya maandamano mna ogopa kupigana na gorofa
Sasa unatuitaje machoko mkuu..
Hivo wewe ukiitwa hivo utafurahi..
MI SIJAPENDA MKUU ..
TAKUSAKA TAKUTAFUTA TU πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Watu malimbukeni hawana kazi za kufanya ndiyo maana. Sehemu ya ajali inajaza watu wasio na kazi na wanasiasa wanaotoa hotuba za kipuuzi. Sijaona nchi yenye wapumbavu kama yetu.
 
Wakulaumu ni viongozi wa serikali na CCM. Wanatumia polisi kama mbwa.
 
Na SS wanawake tunawapenda sana nilitamani kuolewa na poti ila ndo hivo bas Tena nimeangukia kwa Hawa wavaa Makoti meupe😌
Hata mi pia nilikua natamani nipate antiel mmoja hv mjeda ila ndo hvo napata hawa wauza urembo
 
Kwasababu kazi yao haiwakutanishi na raia moja kwa moja , wengine majukumu yao ni kudeal na wahalifu wa ndani kwahiyo lazima wachukiwe kama ulivyokua unamchukia Monitor na monitress darasani
Unajua kuna watu ambao hawajui wakawa wanasema jeshi la polisi livunjwe na nafasi zao zilichukuliwe na JW eti hawali rushwa. Nlicheka sana. JW siyo kama hawataki rushwa ila kazi yao haiwapi nafasi ya kuomba rushwa kwa wananchi. Mfumo wetu wa jeshi la polisi hata ukichukuwa hawa wanaojiita walokole wawe polisi watachukiwa. Hii ni kwa sababu serikali ndiyo tatizo na siyo jeshi per se.
 
Polisi kazi yao kutumika kisenge tu.
Felia kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…