JWTZ wanapendwa sana na raia

JWTZ wanapendwa sana na raia

Ni kwasababu jwt hawakutani na raia mda mwingi hayo majeshi mengine si mmeyazoea mpaka mtu mnavua baret afande mda wote mnashinda nao
 
Amja onekana kwa wingi kama siku ya maandamano mna ogopa kupigana na gorofa
Sasa unatuitaje machoko mkuu..
Hivo wewe ukiitwa hivo utafurahi..
MI SIJAPENDA MKUU ..
TAKUSAKA TAKUTAFUTA TU 😂😂😂🙌🙌🙌🙌
 
Kwa mtazamo wangu, Majeshi Yote Tanzania.

Jeshi linalopendwa sana na Watu Wengi ni Jeshi la JWTZ.

Walipopita Sehemu Lazima Watu Waonyeshe Furaha na Imani kwa Jeshi Lao.

Leo JWTZ walipofika Ktk Ghorofa lilianguka Raia wote wameonyesha wazi wazi Furaha na Imani yao wazi wazi kuwa Jeshi ni Imara na wanaweza.

Majeshi mengine Yajifunze kitu..Watu walilipuka kwa Miruzi na Makofi.

Dosari: Ndogo Ndogo kutokana hulka ya mtu binafsi isiwekwe hapa. Ila mi nimetazama Upendo wa Raia kwa Jeshi Lao kiujumla.
Watu malimbukeni hawana kazi za kufanya ndiyo maana. Sehemu ya ajali inajaza watu wasio na kazi na wanasiasa wanaotoa hotuba za kipuuzi. Sijaona nchi yenye wapumbavu kama yetu.
 
Kwa sababu ya direct mission zao za kukutana na raia ndiyo walitakiwa wapendwe badala ya kuchukiwa.
Kukutana na raia ndiyoo waue, walambe rushwa, wabambikize watu kesi n.k?

Angekua anachukiwa mmoja mmoja mmoja hapo sawa, lakini kitendo cha kuchukiwa Jeshi zima hiyo ni kasoro kubwa.
Wakulaumu ni viongozi wa serikali na CCM. Wanatumia polisi kama mbwa.
 
Na SS wanawake tunawapenda sana nilitamani kuolewa na poti ila ndo hivo bas Tena nimeangukia kwa Hawa wavaa Makoti meupe😌
Hata mi pia nilikua natamani nipate antiel mmoja hv mjeda ila ndo hvo napata hawa wauza urembo
 
Kwasababu kazi yao haiwakutanishi na raia moja kwa moja , wengine majukumu yao ni kudeal na wahalifu wa ndani kwahiyo lazima wachukiwe kama ulivyokua unamchukia Monitor na monitress darasani
Unajua kuna watu ambao hawajui wakawa wanasema jeshi la polisi livunjwe na nafasi zao zilichukuliwe na JW eti hawali rushwa. Nlicheka sana. JW siyo kama hawataki rushwa ila kazi yao haiwapi nafasi ya kuomba rushwa kwa wananchi. Mfumo wetu wa jeshi la polisi hata ukichukuwa hawa wanaojiita walokole wawe polisi watachukiwa. Hii ni kwa sababu serikali ndiyo tatizo na siyo jeshi per se.
 
Polisi kazi yao kutumika kisenge tu.
Felia kabisa
 
😅😂😂 mnipeleke gogoni sio
Unatuitaje sisi machoko mkuu...
1728895480191.jpg
 
Back
Top Bottom