Hassan heyday
Member
- Aug 12, 2017
- 37
- 25
Mkuu, Afande alikuambia watahitaji professional gani ?
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile
mkuu hakuniambia exaclty ni zipi but alisema Zita tolewa tuhMkuu, Afande alikuambia watahitaji professional gani ?
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Nadhani watatengeneza PDF kama vikosi vingineHivi method itakayotumika kuwaita watu kwenye usaili ni through phone ama nao watatoa PDF??
Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
subiri tu muda ukifika utapata majibu....... kama bahati iko upande wako basi utakwenda.Me nlituma kwa email,sjuw itakuaje
Nadhani haitachukua muda. Ila sina uhakika ni hisia tu.mnahisi mchakato utachukua muda gani mpaka kuita watu kwenye usaili
Dash! Kweli mkono mtupu haulambwinili peleka vyeti vyangu vyote nika jieleza kwamba nime pita jkt ila sikuchukuaga Cheti MP wa pale getin makao makuu aka sema Una nidanganya eee nika mjibu hapana aka itwa afande mwingine Nika pelekwa kwenye kichumba Kwa ndani kidogo waka nikaba tena kwamba sema ukweli nika salimu amri Nika sema sija pita ila nalipenda jeshi na Nina omba nijiunge vyeti hivi hapa waka vicheki wakani pongeza then waka sema kwa sasa hawana nafasi ila wata toa nafasi sa professional mwezi wa 5 then wata toa za jkt hapo hapo ndio waka sema Kwa muda huo ujao nina weza kuapply nika ondoka lakin baada ya hapo mwanajeshi mmoja aka nofuata kwa nyuma aka ningata skio kwamba kama nina kitu ana weza nisaidia kuingia Nika mwambia Mim yatima hela sina kazi sina aka niambia kila la kheri ... ndio hivyo wadau wangu
Hebu twendee bhana Eve tukavae combat.Leo ningekua navaa combat sijui ingekuajee
Duuuh poleeeeee sanaaa.mrejesho kuhusu maombi ya kujiunga na JWTZ nime tupiliwa mbali[emoji29][emoji29][emoji29]
Mbna graduates wengine hata 27 hawajafikaa.27 Ina Maana hawataki graduates hapo target fm4 na 6 ,,
Maana nasikia hawa vijana walihakikiwaga jeshini kabla ya kuondoka ,Maana wanataarifa nao za umri kitambo sana MAAANA mpka kuweka kigezo hicho ni kuwa hawataki graduates au ka wapo ni wachache mnoooooo
Jmani wenye kujaribu jaribu vijna mliopita jkt huwezi jua ya kesho
Je walipoita kwa mujibu wa sheria,? Hawana sifa??Unapoteza mda
Duuuh hadi rushwaaaa tenaaaa??? Khaaaaahnili peleka vyeti vyangu vyote nika jieleza kwamba nime pita jkt ila sikuchukuaga Cheti MP wa pale getin makao makuu aka sema Una nidanganya eee nika mjibu hapana aka itwa afande mwingine Nika pelekwa kwenye kichumba Kwa ndani kidogo waka nikaba tena kwamba sema ukweli nika salimu amri Nika sema sija pita ila nalipenda jeshi na Nina omba nijiunge vyeti hivi hapa waka vicheki wakani pongeza then waka sema kwa sasa hawana nafasi ila wata toa nafasi sa professional mwezi wa 5 then wata toa za jkt hapo hapo ndio waka sema Kwa muda huo ujao nina weza kuapply nika ondoka lakin baada ya hapo mwanajeshi mmoja aka nofuata kwa nyuma aka ningata skio kwamba kama nina kitu ana weza nisaidia kuingia Nika mwambia Mim yatima hela sina kazi sina aka niambia kila la kheri ... ndio hivyo wadau wangu
Tangazo linasema waliojitolea sio mujibu kwani hujalosoma,?Je walipoita kwa mujibu wa sheria,? Hawana sifa??
We ka umeomba hakikisha simu yako iko hewani mda wote masuala ya Pdf jeshini sidhaniNadhani watatengeneza PDF kama vikosi vingine
We coca wewe si utatrend kama afande rama 🤣🤣🤣Hebu twendee bhana Eve tukavae combat.
Mwambie usaili WA Kule lazma wakague ka marinda yapo hawakubal kuuziwa mbuzi kwny guniaWe coca wewe si utatrend kama afande rama [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Leo ningekua navaa combat sijui ingekuajee
Tunatengeneza Jeshi la vilaza (Kuna Vigezo havina mashiko kabisa)
1- Upuuzi wa JKT kuanzia (Mujibu na kuendelea)
2- Upuuzi wa Umri
3- Upuuzi wa kutoweka msisitizo ktk vipaji maalumu (Potentiality)
Jeshi linatakiwa lisukwe na watu wenye akili changamfu na sio wajinga wajinga