"K" tatu ninazotamani kukutana nazo kabla ya mwaka kuisha...

Paw is around and watching
Paw kwa amani kabisa naomba usielewe vingine...nisaidie bas namba zake??!

Jamani na K yangu?

Babu Asprin nipe fidback ya ukaguzi wa K hii...inafaa kwa matumizi??!

Hunaga historia ya kutoa ban huku

Kumbe! ;-)

ladyfurahia sasa ukintongoza nkakataa ndo nageuka mbaya??!

Mie niko tayari kukusaidia umchukue Kongosho kwa mkopo usio na riba wala ukomo!!

Dats my grandpa...shud i PM u ama unanipa trick apa apa??!

Btw nyie watu mnaniondolea siriazness.. King'asti Kaunga na Kongosho pliz....popote mlipo..make this wish come true. Nitajiona mwenye bahati.
 
Last edited by a moderator:

Kongosho ni kidume,shauri lako.
 
Last edited by a moderator:
nasubiri Mentor atoe picha ya hii 'k' moja anayoitamani iitwayo King'asti

Bi king'asti bana ana staili yake bana ya kutoa ushauri huku anatania..napenda sana. Sometimes i wish i was her young bro ningemweleza challenges zangu zote....
 
Last edited by a moderator:
Hao wengine sijui lakini Kuhusu Kaunga wasiliana na Ruttashobolwa au na snowhite,mara ya mwisho nimesikia wana mpango wa kuanzisha kanisa la upako chini ya watunza sadaka charminglady na mumewe @c6

Amina Mtakavitu paka mweusi.... Ni watumishi wa Bwana tu ndio wanaoweza kufungua kanisa. Ni kweli tuna mpango huo na siku si nyingi tutakuja kuomba michango yenu kwa ajili ya ujenzi............
 
Bi king'asti bana ana staili yake bana ya kutoa ushauri huku anatania..napenda sana. Sometimes i wish i was her young bro ningemweleza challenges zangu zote....

kumbe siku zoote i treat you like my little bro afu wewe unaniona dada wa kambo? Kwa kweli umenisikitisha sana Mentor. Hehehehe, twenzetu pm, ukitubu nitakusamehe.
 
Last edited by a moderator:


mie ya madame B, Lara 1 na Zinduna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…