"K" tatu ninazotamani kukutana nazo kabla ya mwaka kuisha...

Reactions: SMU
Ahhaaaa! Nimekumbuka umemaliza juzi ule mtihani wa la Saba.
Mdogo wangu vumilia matokeo yakitoka uendelee na Shule wanawake mbona wapo wengi na wanazaliwa kila kukicha.
Hivyo utawakuta hapo baadaee chamsingi hivisasa tengeneza maisha yako ili baadaee uchukuwe utakae Mpenda
 
Hahahahah unantafutia ban naona!!!

Shikamoo tena na tena...

What!!!! Mkuu SMU wewe nawe umepotea sana humu sijui ni midlife crisis ama nini!????
marahaba mdogo wangu!
ahahahahhahhaa ukisikia verossa huna hamu!
ahahahahahahhahahhaha chaaa!ule uuuzi!ulikuwa kiboko!hebu kaufufue ulipo af ututag wote
 
Ni mimi hapa mwalimu, kwa maana umeniita.

Naahidi sitakuangusha, naomba watanzania waniombee
 
Ni mimi hapa mwalimu, kwa maana umeniita.

Naahidi sitakuangusha, naomba watanzania waniombee
ahahahhahahahha I MISS YOU SANA jamani,I miss our times na mawehu yale!
ahahahah dah!
miaka inaenda hakika but wat u guys tulikuwa nayo asee stays forever!
 
ahahahhahahahha I MISS YOU SANA jamani,I miss our times na mawehu yale!
ahahahah dah!
miaka inaenda hakika but wat u guys tulikuwa nayo asee stays forever!
Tatizo mwalimu ulizidisha unoko wanafunzi tukaona isiwe tabu.... tukahamia st. mtakatifu international english medium kwa masista school.

Kule hata Kaizer anafaulu hisabati hivi sasa....

Baada ya kusema hayo naomba nikufahamishe rasmi kuwa nilikumisi mpaka baioloji yangu ikagoma kufanya physical change.
 
hivi hommie unaweza kuniambia kwa uhakika kabisa kwamba huu uhakiki wa snowhite haukuhusu kisa upo sekta binafsi ya masista?
 
Wewe bwana husomeki siku hizi!!!

Hebu piga shairi kwanza ili babu afurahi.

Nimekumithi sana tu!
 
Siwi mnoko tena eeenh,mwambie Kaizer nae arudi
 
hivi hommie unaweza kuniambia kwa uhakika kabisa kwamba huu uhakiki wa snowhite haukuhusu kisa upo sekta binafsi ya masista?
Hhhhhahahahah huko sent mtakatifu goreti hakuna isssueee kitu kilo huku, pale kidumu pale Fagio LA chelewa kule ubuyu wa maji hapa sambusa za viazi!
Shaurilo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…