K Vant na tatizo la kusahau

K Vant na tatizo la kusahau

Kunywa wine local za Tanzania
Hata hizo local wines Kuna watu wanazichakachua Tena wamama hususan huku Kibamba. Hangover yake Sasa.
Sasa hivi watanzania tuko tayari kuwauzia walevi hata mikojo alimradi tu tupate pesa.
Ogopa Sana pombe iliyochanganywa na mkojo wa siku nyingi. Utalewa fasta Sana.
 
Ukitaka kupata pesa kirahisi hakikisha hicho unachouza wateja wako ni walevi. Iwe feki beer, wine, whisky, kongoro , miguu ya kuku, kongoro la kitimoto hata Malaya wanajua pesa inapatikana kirahisi kutoka kwa walevi ndio maana wengi wanajilengesha kwenye bar na sio kwenye miskiti
 
Piga viceroy unalewa lakin akili inabaki timamu...! Shoo inasimamia ukucha..

Ukilala unalala unawaza mipango mizito mnoo& Viceroy inakufanya ukiwa umelewa unaona madem wakali tu Yani huwezi beba Bebe mbovu.

Viceroy ukia giza lazima isindikizwe na mabamedi wawili kwa usalama Zaid .

Glass utakayo nywea viceroy jua ilioshwa siku mbili nyuma...sio k vant ukiagiza glass inadumbukizwa kwenye maji ya diaba afu unapewa hapo unatoa Typhoid na ugonjwa wa kusahau matukio ya Jana.

Anyway karbu kinywaji Niko Bunyero leo.
 
Duh!
kumbe K VANT inatoa TYPHOID?
 
Nilikunywa vant kubwa Moja na guiness smooth kadhaa pale Emirates club makambako..aisee nilijikuta tu asubuhi Niko home lakini pesa na simu ziko salama salmini...
 
Sasa hivi ugonjwa wa kufeli Figo ni namba nne.
1. Kisukari
2. Presha
3. Ukosefu wa nguvu za kiume
4. Kufeli kwa Figo

Kumbuka Kuna pombe Kali nyingi Sana feki mtaani wanazotengeneza wachina majumbani. Zina sticker za tra na chupa halisi.
Especially konyagi, K vant na Hennessy.
Drink at your own risk.
Dawa ni kunywa maji mengi me Kama Sina hela nagonga double Kiki 2 na maji Lita 5 na masupusupu hapo Kama nakudai lazima unilipe huo mziki wake
 
Acha upuuzi,unakunywa k-vant na stress zako na njaaa zako,pata supu kwanza kabla haujaanza kunywa alf agiza wa k-vant.ukiona zinaanza kkuita,agiza nyama au kitimoto roast na ndizi.endelea na zoezi la kumalizia kunywa.
Anywe na maji mengi
 
Unakumbuka kile kiwanda feki Babati. Bora kile. Kuna kile Cha wachina Buguruni mpaka Hennessy wanatengeneza.
Sasa naonaga wanywa Hennessy wanajiona wako matawiii, kumbe wanakunywa mikojo ya wachina.
Wachina pia wameiharibu windohoek na Heineken
 
Bongo Pombe Kali nyingi sana zinatengenezwa feki..

Jana tu nimekunywa Hunting Lodge ina ladha tofauti kabisa na nilivyozoea.. Hapa nawaza kuachana kabisa na haya ma kali, bora nijinyweege tu vile vi juice wanaitaga Imagi na Dompo..
Kunywa brand ambayo sio maarufu mfano hanssons choice
 
Now It's About Time You Should Know.......... Whether it’s over one night or several years, heavy alcohol use can lead to lapses in memory. This may include difficulty recalling recent events or even an entire night. It can also lead to permanent memory loss, described as dementia.
 
Piga viceroy unalewa lakin akili inabaki timamu...! Shoo inasimamia ukucha..

Ukilala unalala unawaza mipango mizito mnoo& Viceroy inakufanya ukiwa umelewa unaona madem wakali tu Yani huwezi beba Bebe mbovu.

Viceroy ukia giza lazima isindikizwe na mabamedi wawili kwa usalama Zaid .

Glass utakayo nywea viceroy jua ilioshwa siku mbili nyuma...sio k vant ukiagiza glass inadumbukizwa kwenye maji ya diaba afu unapewa hapo unatoa Typhoid na ugonjwa wa kusahau matukio ya Jana.

Anyway karbu kinywaji Niko Bunyero leo.
Bei tasavali nijaribu hii kitu nione kama iko fresh
 
Back
Top Bottom