ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Ndio kampuni ya East Africa SpiritMkuu sory Hanson inaundwa shinyanga kumbe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio kampuni ya East Africa SpiritMkuu sory Hanson inaundwa shinyanga kumbe
Mkuu nimeenda inunua kumbe goma la ibadakuli pale nimefurahi mno ,ya ghukaya ghekete lekaga nang'we walwaNdio kampuni ya East Africa Spirit
Kwa hiyo inafita memory yote? Kama ni hivyo haifai kabisa kwa matumizi ya binadamu.K-Vant a.k.a KIFUTIO
Hata hizo local wines Kuna watu wanazichakachua Tena wamama hususan huku Kibamba. Hangover yake Sasa.Kunywa wine local za Tanzania
Duh!Piga viceroy unalewa lakin akili inabaki timamu...! Shoo inasimamia ukucha..
Ukilala unalala unawaza mipango mizito mnoo& Viceroy inakufanya ukiwa umelewa unaona madem wakali tu Yani huwezi beba Bebe mbovu.
Viceroy ukia giza lazima isindikizwe na mabamedi wawili kwa usalama Zaid .
Glass utakayo nywea viceroy jua ilioshwa siku mbili nyuma...sio k vant ukiagiza glass inadumbukizwa kwenye maji ya diaba afu unapewa hapo unatoa Typhoid na ugonjwa wa kusahau matukio ya Jana.
Anyway karbu kinywaji Niko Bunyero leo.
I like this haimuzi koo Kama zinginee
Dawa ni kunywa maji mengi me Kama Sina hela nagonga double Kiki 2 na maji Lita 5 na masupusupu hapo Kama nakudai lazima unilipe huo mziki wakeSasa hivi ugonjwa wa kufeli Figo ni namba nne.
1. Kisukari
2. Presha
3. Ukosefu wa nguvu za kiume
4. Kufeli kwa Figo
Kumbuka Kuna pombe Kali nyingi Sana feki mtaani wanazotengeneza wachina majumbani. Zina sticker za tra na chupa halisi.
Especially konyagi, K vant na Hennessy.
Drink at your own risk.
Anywe na maji mengiAcha upuuzi,unakunywa k-vant na stress zako na njaaa zako,pata supu kwanza kabla haujaanza kunywa alf agiza wa k-vant.ukiona zinaanza kkuita,agiza nyama au kitimoto roast na ndizi.endelea na zoezi la kumalizia kunywa.
Iyo huku Dar me nanunua 3000 duka la jumla ukienda rejareja wanauza 4000 iko vizuriKawaida TU hata usiiogope made in shinyanga bt east Africa Spirit Bei around 4500-7000
Huenda na marinda hana[emoji124][emoji124]Ulijinyea sema unaficha mkuu pole
Wachina pia wameiharibu windohoek na HeinekenUnakumbuka kile kiwanda feki Babati. Bora kile. Kuna kile Cha wachina Buguruni mpaka Hennessy wanatengeneza.
Sasa naonaga wanywa Hennessy wanajiona wako matawiii, kumbe wanakunywa mikojo ya wachina.
Bei ya wapi hii???2500
Kunywa brand ambayo sio maarufu mfano hanssons choiceBongo Pombe Kali nyingi sana zinatengenezwa feki..
Jana tu nimekunywa Hunting Lodge ina ladha tofauti kabisa na nilivyozoea.. Hapa nawaza kuachana kabisa na haya ma kali, bora nijinyweege tu vile vi juice wanaitaga Imagi na Dompo..
Bei tasavali nijaribu hii kitu nione kama iko freshPiga viceroy unalewa lakin akili inabaki timamu...! Shoo inasimamia ukucha..
Ukilala unalala unawaza mipango mizito mnoo& Viceroy inakufanya ukiwa umelewa unaona madem wakali tu Yani huwezi beba Bebe mbovu.
Viceroy ukia giza lazima isindikizwe na mabamedi wawili kwa usalama Zaid .
Glass utakayo nywea viceroy jua ilioshwa siku mbili nyuma...sio k vant ukiagiza glass inadumbukizwa kwenye maji ya diaba afu unapewa hapo unatoa Typhoid na ugonjwa wa kusahau matukio ya Jana.
Anyway karbu kinywaji Niko Bunyero leo.