Kaa kimasta kijana, hisia sio mzigo mzuri kwako

Motivation speaker wameanza πŸ˜€πŸ˜€kuwakopesha Raha vijana wenzao
 
lakini ulitaka kujinyonga kakaaaa🀣🀣🀣misimamo hukua Nao kakaaa eee kakaaa🀣🀣🀣
 
Kuwa motiveshino spika umeanza lini ?
 
Mada iko sahihi na kwenye uhalisia sana, ila ametumia mfano wa kujichua ambao siyo sahihi sana.

Kujichua inaweza kuwa njia nzuri ya kudhibiti hisia, badala ya kufukuzia wanawake ukapoteza muda na fedha, unaweza ukatuliza hisia za mapenzi kwa kujichua.

Unaweza ukadhibiti hisia kwny mambo kama kuvuta sigara, unywaji wa pombe, shoping na matumizi ya pesa yasiyo ya lazima.

Pia kwny decision making ya mambo mbalimbali kama vile ya kifamilia, mahusiano n.k.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…