Kabendera amechukua "risk" iliyopitiliza. Atawaambia nini watu endapo Ben Saanane au Azory Gwanda watarejea uraiani?

Kwamba unategemea kuna siku watarudi uraiani au sio?
 
warudi kutoka wapi? muwe na huruma wapumzisheni wafiwa
 
Unajuaje hawajafa na wanaweza kurejea uraiani?
Mimi sijui kama hawajafa au wamekufa, Ni nguma kupata uhakika kwa 100% pia kama anayosema Kabendera ni kweli.
 
Namuamini sana Kabendera kuliko serikali ya CCM na watu wake
 
Kabendra ni muandishi wa habari za kiuchunguzi amejirizisha kama ni kweli
 
Mimi sijui kama hawajafa au wamekufa, Ni nguma kupata uhakika kwa 100% pia kama anayosema Kabendera ni kweli.
Ni ngumu kupata uhakika wa 100% kwamba hutakufa siku yoyote ile.

Je, hilo linamaanisha usiamke kitandani?
 
Hana cha kupoteza huyo agent wa M15, CIA. Amehakikishiwa maslahi, ulinzi, nyumba, pesa kwa kazi iliyotukuka alioifanya kupigania maslahi ya USA na UK.

Ataendelea na kampeni yake ya kumchafua JPM na yoyote anayepigania kwa nguvu zote maslahi ya Taifa hili.
 
Kama hamuysjui yaliyopo nyuma ya pazia basi bora kunyamaza, ishu ya Utete na Ikwiriri ilikuwa nzito na ilitakiwa maamuzi mazito. Swali huyo Azory Gwanda alikuwa anaripoti kwa nani?
 
Huwaga nahisi system zina joka mahalii kama chatu linameza watu unapotea bila trace yoyote...!
 
Kilaza ktk ubora wako
 
Nimesikiliza ile interview yake huko youtube, ni wazi jamaa hajakurupuka. Anyway, wacha tuone...
 
Hahaha! Umenifanya nicheke kwakweli. Muda ni msema ukweli. Hivi Kabendera anaweza kusema hao jamaa wamekufa ikiwa hana ushahidi kabisa wa kutosha kwamba wamekufa? Wakiwa hai itabidi apewe adhabu ambayo haijawahi kutokea
 
Hahaha! Umenifanya nicheke kwakweli. Muda ni msema ukweli. Hivi Kabendera anaweza kusema hao jamaa wamekufa ikiwa hana ushahidi kabisa wa kutosha kwamba wamekufa? Wakiwa hai itabidi apewe adhabu ambayo haijawahi kutokea
Logic tu inakwambia wamekufa tayari hao mkuu hakuna mtu wakukufuga miaka 3 sijuii kama ni watu wabaya wamekushika wakiishi na wew muda mrefu siku 3.
 
Kuna jamaa kule Iraqi alipotea kwa miaka 25, amekutwa kwenye gereza mojawapo nchini Syria, Assad alipopinduliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…