Ubaya Ubwela
JF-Expert Member
- Jul 24, 2024
- 1,353
- 3,060
Inaonekana una kitu, Vipi kuhusu Soka na Wenzake bado wapo na mtawarudisha lini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba unategemea kuna siku watarudi uraiani au sio?Erick Kabendera amejiamini sana kusema Ben Saanane na Azory Gwanda wamekufa, hapo ni kwamba ameweka biashara yake yote ya kitabu chake rehani, pia ameweka hadhi yake yote rehani.
Ikitokea Ben au Azory wamerejea uraiani biashara ya kitabu chake itakuwa imekufa rasmi na yeye atakuwa mtu muongo kuwahi kutokea Tanzania.
Kwani hakuwa mikono huyu magufuli ya kufyatua risasi?!Mimi sijui.lakini alivyosema kabendera kuwa alipigwa risasi na magufuli mwenyewe haiingii akilini kabisa.
warudi kutoka wapi? muwe na huruma wapumzisheni wafiwaErick Kabendera amejiamini sana kusema Ben Saanane na Azory Gwanda wamekufa, hapo ni kwamba ameweka biashara yake yote ya kitabu chake rehani, pia ameweka hadhi yake yote rehani.
Ikitokea Ben au Azory wamerejea uraiani biashara ya kitabu chake itakuwa imekufa rasmi na yeye atakuwa mtu muongo kuwahi kutokea Tanzania.
Namuamini sana Kabendera kuliko serikali ya CCM na watu wakeErick Kabendera amejiamini sana kusema Ben Saanane na Azory Gwanda wamekufa, hapo ni kwamba ameweka biashara yake yote ya kitabu chake rehani, pia ameweka hadhi yake yote rehani.
Ikitokea Ben au Azory wamerejea uraiani biashara ya kitabu chake itakuwa imekufa rasmi na yeye atakuwa mtu muongo kuwahi kutokea Tanzania.
Kabendra ni muandishi wa habari za kiuchunguzi amejirizisha kama ni kweliErick Kabendera amejiamini sana kusema Ben Saanane na Azory Gwanda wamekufa, hapo ni kwamba ameweka biashara yake yote ya kitabu chake rehani, pia ameweka hadhi yake yote rehani.
Ikitokea Ben au Azory wamerejea uraiani biashara ya kitabu chake itakuwa imekufa rasmi na yeye atakuwa mtu muongo kuwahi kutokea Tanzania.
Acha tu ngdugu yangu jamaa alikuwa sadist😁😂😅🤣 Hii Sasa ni Ng0ri
Ni ngumu kupata uhakika wa 100% kwamba hutakufa siku yoyote ile.Mimi sijui kama hawajafa au wamekufa, Ni nguma kupata uhakika kwa 100% pia kama anayosema Kabendera ni kweli.
Hana cha kupoteza huyo agent wa M15, CIA. Amehakikishiwa maslahi, ulinzi, nyumba, pesa kwa kazi iliyotukuka alioifanya kupigania maslahi ya USA na UK.Erick Kabendera amejiamini sana kusema Ben Saanane na Azory Gwanda wamekufa, hapo ni kwamba ameweka biashara yake yote ya kitabu chake rehani, pia ameweka hadhi yake yote rehani.
Ikitokea Ben au Azory wamerejea uraiani biashara ya kitabu chake itakuwa imekufa rasmi na yeye atakuwa mtu muongo kuwahi kutokea Tanzania.
Kama hamuysjui yaliyopo nyuma ya pazia basi bora kunyamaza, ishu ya Utete na Ikwiriri ilikuwa nzito na ilitakiwa maamuzi mazito. Swali huyo Azory Gwanda alikuwa anaripoti kwa nani?Erick Kabendera amejiamini sana kusema Ben Saanane na Azory Gwanda wamekufa, hapo ni kwamba ameweka biashara yake yote ya kitabu chake rehani, pia ameweka hadhi yake yote rehani.
Ikitokea Ben au Azory wamerejea uraiani biashara ya kitabu chake itakuwa imekufa rasmi na yeye atakuwa mtu muongo kuwahi kutokea Tanzania.
Kilaza ktk ubora wakoErick Kabendera amejiamini sana kusema Ben Saanane na Azory Gwanda wamekufa, hapo ni kwamba ameweka biashara yake yote ya kitabu chake rehani, pia ameweka hadhi yake yote rehani.
Ikitokea Ben au Azory wamerejea uraiani biashara ya kitabu chake itakuwa imekufa rasmi na yeye atakuwa mtu muongo kuwahi kutokea Tanzania.
Kama una common sense basi zitumieUnaamini 100% hao watu wamekufa?
Vipi kama wamefichwa mahali?
Nimesikiliza ile interview yake huko youtube, ni wazi jamaa hajakurupuka. Anyway, wacha tuone...Mkuu kitu mpaka kinachapishwa kitabuni sio masihara unless unafanya spinning au kuna habari unataka kutwambia
Kwa sasa unaweza i quote chochote kwenye hicho kitabu na usihojiwe popote ..
Kwa Mujibu wa Kabendera, alikuwa na ushahidi wa kutosha kutoka source mbali mbali alikiwa anaongea mpaka na 'majenerali' wa jeshi wastaafu.
Lakini zaidi anasema ana wanasheria zaidi ya 20 wa ndani na nje ya nchi ambao wame approve kitabu kichapishwe na kiuzwa kwa matumizi ya Umma
Hahaha! Umenifanya nicheke kwakweli. Muda ni msema ukweli. Hivi Kabendera anaweza kusema hao jamaa wamekufa ikiwa hana ushahidi kabisa wa kutosha kwamba wamekufa? Wakiwa hai itabidi apewe adhabu ambayo haijawahi kutokeaErick Kabendera amejiamini sana kusema Ben Saanane na Azory Gwanda wamekufa, hapo ni kwamba ameweka biashara yake yote ya kitabu chake rehani, pia ameweka hadhi yake yote rehani.
Ikitokea Ben au Azory wamerejea uraiani biashara ya kitabu chake itakuwa imekufa rasmi na yeye atakuwa mtu muongo kuwahi kutokea Tanzania.
Logic tu inakwambia wamekufa tayari hao mkuu hakuna mtu wakukufuga miaka 3 sijuii kama ni watu wabaya wamekushika wakiishi na wew muda mrefu siku 3.Hahaha! Umenifanya nicheke kwakweli. Muda ni msema ukweli. Hivi Kabendera anaweza kusema hao jamaa wamekufa ikiwa hana ushahidi kabisa wa kutosha kwamba wamekufa? Wakiwa hai itabidi apewe adhabu ambayo haijawahi kutokea