Kabendera amechukua "risk" iliyopitiliza. Atawaambia nini watu endapo Ben Saanane au Azory Gwanda watarejea uraiani?

Erick Kabendera amejiamini sana kusema Ben Saanane na Azory Gwanda wamekufa, hapo ni kwamba ameweka biashara yake yote ya kitabu chake rehani, pia ameweka hadhi yake yote rehani.

Ikitokea Ben au Azory wamerejea uraiani biashara ya kitabu chake itakuwa imekufa rasmi na yeye atakuwa mtu muongo kuwahi kutokea Tanzania.
Mwambieni Gwajima awafufue
 
Mkuu we ni mwongo, duh
Ndugu yangu hizi taarifa zipo akiwa waziri alipiga mpaka kifo. Hadi mke akakimbia kipindi anagombea alikuwa na Hawara mmoja akampa nyumba ya serikali Masaki. Wenzake zile nyumba waizouziana alikuwa wanakusanya kodi. Yeye akampa Hawara aishi. Nilisahau Jina. Jamaa hana roho kabisa ndugu yangu.
 
😁😂😅🤣 Hii Sasa ni Ng0ri
 
Erick Kabendera amejiamini sana kusema Ben Saanane na Azory Gwanda wamekufa, hapo ni kwamba ameweka biashara yake yote ya kitabu chake rehani, pia ameweka hadhi yake yote rehani.

Ikitokea Ben au Azory wamerejea uraiani biashara ya kitabu chake itakuwa imekufa rasmi na yeye atakuwa mtu muongo kuwahi kutokea Tanzania.
Well news flash hawatorudi uraiani
 
Erick Kabendera amejiamini sana kusema Ben Saanane na Azory Gwanda wamekufa, hapo ni kwamba ameweka biashara yake yote ya kitabu chake rehani, pia ameweka hadhi yake yote rehani.

Ikitokea Ben au Azory wamerejea uraiani biashara ya kitabu chake itakuwa imekufa rasmi na yeye atakuwa mtu muongo kuwahi kutokea Tanzania.
Acha maigizo mbele ya uhai wa watu.
 
Erick Kabendera amejiamini sana kusema Ben Saanane na Azory Gwanda wamekufa, hapo ni kwamba ameweka biashara yake yote ya kitabu chake rehani, pia ameweka hadhi yake yote rehani.

Ikitokea Ben au Azory wamerejea uraiani biashara ya kitabu chake itakuwa imekufa rasmi na yeye atakuwa mtu muongo kuwahi kutokea Tanzania.
Atakuwa shujaa kwani kitabu chake kinefanya watokee!
 
Hao wa kina beni saanane watakuwa walishafariki lakini kufariki kwao siyo kama alivyosema huyu muhuni na kibaraka wa wazungu kabendera kuwa amepigwa na mafufuli
ila walifariki vipi na nini chanzo cha vifo vyao? Naje makaburi yao yako wapi ili sisi wanafamilia tukaweke maua?
 
Erick Kabendera amejiamini sana kusema Ben Saanane na Azory Gwanda wamekufa, hapo ni kwamba ameweka biashara yake yote ya kitabu chake rehani, pia ameweka hadhi yake yote rehani.

Ikitokea Ben au Azory wamerejea uraiani biashara ya kitabu chake itakuwa imekufa rasmi na yeye atakuwa mtu muongo kuwahi kutokea Tanzania.
Mbona waliuawa? Hivi kumbe kuna watu mnaamini kuwa kina Ben Saanane na Azory wako hai? Hivi undani Kabendera kajiandikia kama tunavyoandika tu hapa JF?
 
Back
Top Bottom