Kabendera hata kwa trilioni moja, kazi hii unayofanya nakuhakikishia unacheza na usiowajua

Kina kabendera nao waache kuwachokoza wazee wa kazi, ili wapate nafasi kutuibia tecnolojia huko nje
 
Hakuna cha ajabu Mungu kumuua Magufuli. Wewe utauwa na Shetani?
Suala la Kabudi kusema ilikuwa mbinu ya mazungumzo ni KICHAA pekee ataanza kuponda. Sasa mazungumzo si yalifanyika na Acacia haipo na makubaliano mapya yamefanyika?The Fact kwamba mbinu ilifanikiwa inatosha.

As for Samia, mie sijakataa yeye kuwa Rais. Nakuongelea wewe unayeshabikia vitu obvious utafikiri ni vipya. Magufuli alitwaliwa na Mungu just like anybody. Wewe mwenyewe ni marehemu mtarajiwa utatwaliwa na Mungu.

Magufuli kafanya aliyoyafanya, sasa hayupo, wewe bado ni maskini wa fikra na mali, Samia wako ndo huyo msubiri atakujaza mapesa na kukuletea mserereko. Magufuli kafanya yake makubwa ya kutosha, kwa kasi, kwa maumivu, kama ulitaka tofauti haikutokea na kwa taarifa yako haitakaa itokee tena.

Wewe jidanganye mara sijui Mungu kaingilia kati wakati huo wewe maskini mmoja tu mawazo zero mali zero. Magufuli mumchukie na kumuita majina yote lakini kama ni kuharibu malisho ya watu aliharibu na tumefurahi sana alivyofanya hivyo na hamtakuja kuyapata tena. Tutahakikisha hilo. Magufuli hayupo lakini mawazo yake yanaishi na tutayatumia sana. Meanwhile wewe chekelea hayupo wakati huo wewe mwenyewe bado ni mlalahoi mmoja tu huna mbele wala nyuma.
 
Kikubwa tu ni Kuwa "hata ujifanye mafia, sijui either Head of company, state,Kingdom etc bado mwisho wa siku ni chakula cha funza. Hii dunia Jiimbie wimbo wa ukuu wa Hekima, muumini wa Haki, mpenda kupatanisha watu,mpenda kuunganisha watu nk nk.Hivi ndivo vitakua stori njema kwa Vizazi na vizazi vyako..Mleta mada unatisha watu,! Hutaki wahubiri haki? Wewe ni mtu wa ajabu sana !!
 
Wewe, kabudu magu akili hamtofautiani
Kodi inachajiwa kwa mujibu wa sheria zilizotungwa na bunge.
Hamna Kodi ya hisia
Kodi inachajiwa kutoka kwa a) ajira b) uwekezaji c) biashara.
Hamna Kodi nje ya hayo matatu, hamna Kodi mbinu.
Ndiyo magu kafanya kwa speed mambo mengi kama kuuwa, kuleta udini, ukabila na wizi wa 1.5 trilioni ndani ya muda mfupi.
The man is dead, he will never walk again on the surface of this Tanzania.....
to the hell...he is just a rotten satanic icon
 
Chonde chonde msitoe uhai wa mtu kisa heshima za vyeo vya kidunia.
Hao wanao watumeni na wao hawataishi duniani milele.
 
 
Makonda Katibu mwenezi... Haya
Kumbe ni katibu wa NEC itikadi na uenezi tu? Nikajua labda ni Katibu mkuu.

Makonda anaongoza idara ndani ya chama ila Chongolo anaongoza chama sio idara
 
Wewe mwenye kazi ya kuhukumu na kusamehe.
 

akifa akiwa madarakani. Naomba usome kwa faida yako.

Japo unaweza kuendelea kutafuta ukweli wa huj ushauri na unabii ktk maisha yako. End.
I advise 😌
 
Correction...He won 2 terms ...he served fully the first term...and he passed on on his second... unless I am getting the timing all wrong.
Correction!! He won one term and stole (rigged) another term which he served for 120 days. Our Almighty God couldn't spare his satanic deeds
 
Kuna aliempoteza rafiki yake ambae ni Zito na kuna ambae baada ya kumshuhulikia aliishia kupoteza maisha yake yeye mwenyewe. Unajifunza nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…