Nakuona nikijana nakuona bado una nafasi kulisaidia Taifa ila kama ilivyo kawaida ya sisi Mungu katupa ona kesho nataka kukwambia huyo Hayati Magufuli alisha lala either story yako yaweza kuwa na ukweli au uwongo nataka kuuthibitishia hata kama ni kwa malipo ya 1 trillion kufanya kazi unafanya my dear Brother your playing with unknown and just think what will happen?
Mwili wake bado haujapumzika acha kuingia kwenye jambo litakusumbuwa wewe na uzao wako.
Siwezi andika zaidi japo nakushauri haya mambo yanahusu head of state yaache baadae utanielewa na uwenda utarudi kunishukuru.
Niliwahi andika makala fulani juu ya what happen after head of state akifa akiwa madarakani. Naomba usome kwa faida yako.
Japo unaweza kuendelea kutafuta ukweli wa huj ushauri na unabii ktk maisha yako. End.

Binamu yangu alikuwa anafuatilia mjadala huu ulipoanzishwa. Wakati tunajadiliana, akaniambia anamfahamu Kabendera kwa jina jingine na kuwa walikuwa in-take moja commando course Ngerengere. Kabla ya kumaliza, akatoweka ghafla na hakumsikia tena kwa miaka mingi mpaka alipomuona kwenye TV akijiita Erick kabendera. Aliniambia aliwahi kupigwa risasi kwenye goti akajifanyia operesheni mwenyewe porini kabla msaada haujafika. Akaniambia pia dama alikuwa na shabaha sana na alikuwa anapigana ngumi za kufa Mtu. Kwahiyo nyie wauaji wa serikali mtapambana na muuaji mwenzenu. Yetu macho.