Kabendera, unakoseaje kwenye kitabu mwaka aliofariki Sokoine, tena mara mbili kwa mpigo?



I was giving Kabendera the benefit of the doubt ila kwa hili siwezi.
 
Unajibu hoja ukiwa umejitoa akili kwa vile ulimchukulia Magufuli kama mungu wako, kumbe ulikuwa unamuabudu muuaji na mbakaji.
Halafu lilikuwa linasimama madhabahuni kama mtu wa Mungu, kumbe linamdhihaki Mwenyezi Mungu na waumini. Eti "Msemakweli ni mpenzi wa Mungu" na bla blaah nyingine. Hovyo kabisa! 🙆
 
Hiko kitabu kina personal issues nyingi kuliko kuelezea yale ya muhimu kwa Taifa letu na mustakabali wake kwa miaka mingi ijayo.

Kama nia ni kutibu, basi maandishi lazima yawe balanced. Ukiandika kama unaandika udaku, ina maana credibility nzima ya kusudio lake inapotea.

Kabendera ana maumivu makubwa na amesahau kuacha nyuma emotions zake. Ameziweka zote ndani ya kitabu, na kama ulivyosema, kinakosa nguvu ya moja kwa moja ya watu kuamini kama anayosema ni kweli
 
Hiyo ndiyo maana ya uandishi. Hilo kosa kidogo halibatilishi kwamba Sokoine alikufa. Tubaki kwenye reli,

Tanzania ilitawaliwa na Kichaa kuanzia mwaka 2015 hadi 2021. Asante Mungu kwa kumtupa Magufuli jehanam

Uandishi unatakiwa kuwa na balance. Unadishi wa Kabendera umejaa maumivu na hisia kuliko uhalisia
 
Hii inahusiana vipi na hoja ya mleta uzi?
 
Mkuu,

Umesoma kitabu?
 
Zinaweza kupigwa burn copy zote zilizokuwa printed na kikachapway upya, hii iliwahi mtikea Maundu katika kitabu chake cha "FUMBO", baada ya kugundua makosa alilazimika kuzikusanya copy zote toka kwa wanasambazaji na kiziwasha moto
 
Zinaweza kupigwa burn copy zote zilizokuwa printed na kikachapway upya,hii iliwahi mtikea Maundu katika kitabu chake cha "FUMBO",baada ya kugundua makosa alilazimika kuzikusanya copy zote toka kwa wanasambazaji na kiziwasha moto
Copy tushanunua tayari zipo kwa watu, atazikusanya vipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…