Kabendera, unakoseaje kwenye kitabu mwaka aliofariki Sokoine, tena mara mbili kwa mpigo?

Nadhani screening haikufanyika kabla hajakitoa kitabu
Jana Absalom Kibanda alikuwa anaomba radhi akisema alitumiwa kitabu kukifanyia proofreading akakaa nacho kwa muda mfupi hakufanya ilivyotakiwa, kitabu kina makosa, yatasahihishwa kwenye second edition.

Napenda kuweka balance kuwa kitabu kinaweza kuwa na makosa bila kuathiri validity ya the larger narrative.

Napenda waandishi wetu waandike kwa umakini zaidi ili hoja zao muhimu zisipuuzwe kisiasa kwa makosa kama haya.
 
J Jamaa kwa chuki naona ameandika umbeya na utumbo mwingi usiomithilika. "Chuki huziba fahamu kadhaa zenye kuushikilia UKWELI" !
 
Ngoja tusubiri hilo toleo la pili
 
Alienda kwa Samia nyumbani? Mumewe Samia alikuwa wapi akitaka kumbaka au ilo tukio lilitokea mazingira gani?
 
Kitabu cha sokoine kilichoandikwa kina mauza uza mengi tu na uwongo mwingi

Ova
 
Watu wote wanaonusuruka kifo huwa na matatizo ya kisaikolojia baada ya hapo.
 
Naunga mkono hoja, sometimes, even the greatest magicians runs out of tricks!, kwa level ya ubobezi wa EK, no proof reader would have doubted the dates!.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…