othuman dan fodio
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 6,850
- 11,033
Ac
Sijasema kitabu hakina tija.
Kwa nini tunapenda kufanya "all or nothing at all" false dichotomy fallacy?
Kwani kitabu hakiwezi kuwa na tija ya kusomwa, halafu pia Kabendera akawa kuna vitu kakosea, ka rush kuchapisha kitabu bila ku proofread vizuri?
Typing error inakuwa sehemu moja, hairudiwi.
Kabendera karudia kosa la kuandika mwaka 1983 badala ya 1984 mara mbili, ukurasa wa 108 na 109.
Hii si typing error, hii ni timeline error, lack of editing, lack of proofreading na kuna wengine wameingiza mpaka lack of credibility.
Acha unaa soma kitabu kielewe endelea na mambo mengine mkuu, kama kitabu chote hicho umeona palipokosewa ni hapo kwenye mwaka tu mpongezeJamaa alitaka kuuza kitabu kwa umaarufu mwingi nankiki nyingi. Au, kwa makusudi amepotoshwa ili kitabu kizima kionekane fake news. Au alishauriwa akakaza shingo kwa sababu hao aliowapelekea wamefanya kazi ngapi za vitabu. Mbona watu vyuoni wanapitia thesis zinapahe 500 + ila unakuwa na editors wa2 au 3 inachukua miezi kadhaa lakini unapata kitu bora.
Nilisoma kazi ya Ben Carson, katk shukrani nyingi alizotoa ilikuwa ni editor wake mama mmoja hivi yaani alimsifu sana. Maana yake ni kuwa ktk publishing editor ndiye kiungo wa kila kitu. Anaibeba na kuibomoa kazi.