Kabendera, unakoseaje kwenye kitabu mwaka aliofariki Sokoine, tena mara mbili kwa mpigo?

Kabendera, unakoseaje kwenye kitabu mwaka aliofariki Sokoine, tena mara mbili kwa mpigo?

Unajibu hoja ukiwa umejitoa akili kwa vile ulimchukulia Magufuli kama mungu wako, kumbe ulikuwa unamuabudu muuaji na mbakaji.

Unatumia mihemko sana katika hoja zako. Mbona unapenda kuvivua nguo vyombo vyetu kwa uongo wako. Wee unafikiri ingekuwa kweli vyombo vyetu vingeruhusu afikie hatua ile ya uongozi?
 
Kama EK ndie top notch wetu, unategemea nini kwa sisi akina kajamba nani?.
P
Nasikia na wewe umepewa tender ya ku proof hiki kitabu ukatuangusha mkuu, kweli?

Ila Wabongo bado sana, nime subscribe website moja ya Academia inanipa academic papers, kuna paper moja ya University of Iringa, Faculty of Law, mwanafunzi wa LLB III First year law student, paper inaitwa:

"Does The Immunity From Criminal Liability To President During His Leadership Defeats The Principle of Rule Of Law?"

Topic nzuri sana, inawezekana paper ina point nzuri sana, lakini hicho Kiingereza sasa, mziiigooo.
 
"Nimemsikia pia Zitto Kabwe akisema kuwa kuna tatizo la timeline katika narrative ya tukio fulani"

Kwani hadithi za kubuni?
 
"Nimemsikia pia Zitto Kabwe akisema kuwa kuna tatizo la timeline katika narrative ya tukio fulani"

Kwani hadithi za kubuni?
Hapana, narrative si lazima iwe hadithi ya kubuni, hata jambo la ukweli unavyolisimulia ni narrative.

Kuna sehemu Kabendera alieleza jinsi Zitto alivyovamia ofisi ya Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa na kulazimisha aonane naye.

Zitto mwenyewe akaja Clubhouse kurekebisha maneno kuwa ilitokea hivi, si kama ilivyoandikwa hapo.
 
No sii kweli, mimi kizungu changu cha upe, nisingeweza.

Ila baada ya mimi kusingiziwa kuwa nili m snitch EK, nikiwa UK, nilimtafuta, akaniambia ni kweli na alikuwa anapelekewa threads zangu za jf. We settled.
P
That's what's up. That's what matters.
 
Na vipi kuhusu kitabu cha Kabendera zile Error ambazo zimeonekana mpaka sasa siyo kali na nusu?
Sijui ukweli ni upi lakini mimi nampenda sana JPM kiasi kwamba hata mtu aseme baya gani mimi linaingia sikio la kushoto linatokea sikio la kulia
 
Sijui ukweli ni upi lakini mimi nampenda sana JPM kiasi kwamba hata mtu aseme baya gani mimi linaingia sikio la kushoto linatokea sikio la kulia
Naelewa mkuu.
Mapenzi yako kwa Jiwe hayajifichi. 🤣
 
Mwaka wa Sokoine unajulikana publicly.
Ni rahisi kunyoosha mstari.

Hayo ya HIV hayajulikani publicly.
Si rahisi kunyoosha mstari.
Kama ya wazi tu hajui, je yaliyojificha???

Msiwe kama mnafikiria kwa kutumia kitu tofauti na kichwa

Hivi mtu 1+1 hajui, je 1637373838 mara 26373737387473 atajulia wapi

Hizi ni hadithi za abunuwasi
 
Kama ya wazi tu hajui, je yaliyojificha???

Msiwe kama mnafikiria kwa kutumia kitu tofauti na kichwa

Hivi mtu 1+1 hajui, je 1637373838 mara 26373737387473 atajulia wapi

Hizi ni hadithi za abunuwasi
Mkuu,

Hapa kuna logical non sequitur fallacy.

Inawezekana Kabendera akawa kapatia mengi yenye nuance halafu akajisahau kwenye kitu simple ku proofread tu.

Yule ni mtu si mashine. Hata mashine yenyewe inakosea saa nyingine.

Nimeibua hili kufanya immanent critique, kuonesha Kabendera anaweza kuboresha uandishi, editing, proofreading, tusifanye Kabendera hawezi kukosea, lakini kukosea kwa Kabendera hakumaanishi alichoandika chote kiwe dismissed.

Nuance please.
 
Back
Top Bottom