Kabila la kwanza hadi la mwisho nchini kwa ubora wa kiasili wa uzalishaji vyakula vyenye lishe nchini:

Hapa nilipo nipo njiani narudi kutokea Kilindi, sehemu inaitwa Kibirashi na Gombelo, kwakweli wasambaa ardhi yao ina rutuba safi na maji nimekunywa ya kisima ni kama Kilimanjaro water. Hakuna mbu, kwahiyo malaria sahau yani. Wapo vizuri sana Ukanda wa Handeni /Kilindi huko plus Lushoto.
 
Asante kwa uchambuzi wako maana lengo la kusifia sehemu ulizohitaji ndio sasa unatimiza kwa kivuli cha eti umetembea maeneo hayo
 
Mporoto Igoma ndo kwa wasafwa haswa. Na kama ulivyosema hakuna mgomba kule na baridi ni kali hadi watoto wanawabebea mgongoni viblanketi badala ya vitenge.
 
Bila shaka utakuwa mwalimu wewe maana sio kwa mwandiko huo
 
Kwa wajita hakuna mvua ya kutosha. Wanalima mihogo na viazi vitamu. Sehemu kubwa mawe. Bila hao samaki hali ingekuwa mbaya. Miaka ya karibuni wilaya yao imekuwa ikiwa kwenye list za wasaidiwa chakula.
 
Utafiti mzuri. Kwa waliotembea Tanzania hii watakubaliana na wewe kwa sehemu kubwa.
Nikupongeze kwa ubobezi na kuwa na ari ya kujibu maswali na nadharia kiutafiti. Miaka 10 si mchezo.
Nadhani kwa picha hiyo pamoja na kwa kuna jibu la swali lako, Jr unaweza ukatoa mapendekezo ya tutokeje sasa nyakati ambapo kuna mwingiliano na kuna ukweli sehemu nyingine wanakimbia wakati wengine wanatembea kimaendeleo?
 
Ahsante kwa utafiti. Hivi Wahaya waliwakosea nini baadhi ya wachangiaji. Mfano Mapuma Miyoga. Namwalika afike Bukoba aone Wahaya wanavyoishi na Kilimo chao cha mazao mbalimbali.

Mod piga ban watu wachangiaji aina ya Mapuma Miyoga.

TAFITI HII NI KAZI NZURI INAPASWA KUSAMBAZWA ILI ILETE HOJA ZA MSINGI KWENYE MIDAHALO KATI YA MAKUNDI MBALIMBALI.
 
mkuu haugopi mapovu ya wanaume wa dar?
 
"Chifu Burito kwa kuwa alikuwa na wake wengi wala hakujua", lakini wewe ulijua yote hayo. Hongera sana.
Nadhani ungetengeneza thread ya peke yake.
 
"Chifu Burito kwa kuwa alikuwa na wake wengi wala hakujua", lakini wewe ulijua yote hayo. Hongera sana.
Nadhani ungetengeneza thread ya peke yake.
Tofauti moja ya wanyama wengine na watu ni wanyama kukosa uwezo wa kuelewa hypotheticals.

Weee ni mtu lakini ubongo wako uko kule kwa wanyama wengine ambao hawajaelewa hypotheticals.
 
Tofauti moja ya wanyama wengine na watu ni wanyama kukosa uwezo wa kuelewa hypotheticals.

Weee ni mtu lakini ubongo wako uko kule kwa wanyama wengine ambao hawajaelewa hypotheticals.
Na wewe baba yako ni nani? Ilikuwaje uliyeambiwa kuwa ni baba yako aka kukubali? Naye alikua na wake wengi? au alikua anatafuta mtoto hata wa kusingiziwa?
 
Yap yap, natumai umesafiri salama. Nashukuru kwa feedback.
 
Asante kwa uchambuzi wako maana lengo la kusifia sehemu ulizohitaji ndio sasa unatimiza kwa kivuli cha eti umetembea maeneo hayo
Sijakuelewa, nimeyasifiaje ndugu? Mbona Zanzibar, Ileje, Nyasa, Mbinga, Kigoma na Kagera sijafika, suala la kusifia limetoka wapi ndugu? Ama wewe umeona kote nilikowahi kufika wameperform sana?
 
Mporoto Igoma ndo kwa wasafwa haswa. Na kama ulivyosema hakuna mgomba kule na baridi ni kali hadi watoto wanawabebea mgongoni viblanketi badala ya vitenge.
Dah!! Asante sana mdau for vivid example.
 
Kwa wajita hakuna mvua ya kutosha. Wanalima mihogo na viazi vitamu. Sehemu kubwa mawe. Bila hao samaki hali ingekuwa mbaya. Miaka ya karibuni wilaya yao imekuwa ikiwa kwenye list za wasaidiwa chakula.
Umeona? Nashukuru kwa ushahidi wako. Ni kama nilivyosema awali, baadhi ya makabila ya mashariki ya Ziwa Victoria kama Wajita, Waruri na Wasuba, wanapata mvua kidogo so uwezo wao kwa kiwango fulani ulisaidiwa na ulaji wa samaki tofauti na makabila yenye ukame eneo hilo hasa Waikizu.
 
Nashukuru sana kwa kuangalia mbele. Ushauri wangu sitautoa sasa Hivi kwa sasa, nilivyotoa bado ni nusu ya kazi yenyewe. Ninatakiwa nifanyie kwanza namna genetics zetu pia zimechangia kutufanya tuwe jinsi tulivyo. Nikifikia stage hiyo Mimi na ninyi kwa hakika utakuwa ni rahisi kutengeneza mfumo ambao ni unbiased katika uendeshaji wa nchi yetu kuanzia kwenye siasa hadi uchumi. Tuvute subira kidogo ili niifanyie kazi DNA zetu, though it is something more controversial kutokana na ukweli kwamba sometimes huwa binadamu tunaogopa kuface ukweli hasa unapokuwa iko negative kwetu.
 
Thenx man, it is upon us to change the society's old perspective on such pressing issues like this one.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…