Kila la heriNashukuru sana kwa kuangalia mbele. Ushauri wangu sitautoa sasa Hivi kwa sasa, nilivyotoa bado ni nusu ya kazi yenyewe. Ninatakiwa nifanyie kwanza namna genetics zetu pia zimechangia kutufanya tuwe jinsi tulivyo. Nikifikia stage hiyo Mimi na ninyi kwa hakika utakuwa ni rahisi kutengeneza mfumo ambao ni unbiased katika uendeshaji wa nchi yetu kuanzia kwenye siasa hadi uchumi. Tuvute subira kidogo ili niifanyie kazi DNA zetu, though it is something more controversial kutokana na ukweli kwamba sometimes huwa binadamu tunaogopa kuface ukweli hasa unapokuwa iko negative kwetu.
Nashukuru sana kwa kufuatilia vyema. Changamoto niliyoipata ni kuelewa kama Ziwa dogo kama hilo limekuwa na samaki so nitaiconsider kwenye taarifa mpya.
Hata hivyo kwenye uzalishaji wa vyakula, nimewapa Wanyilamba D kwa sababu wana alternative ndogo sana ya kuliwa mazao ya vyakula kutokana na kuwa na mzima mfupi wa kilimo. Kwa kuwa eneo hilo linapata mvua chache (chini ya mm 850), limekuwa na rainfall unreliability, hivyo wanaweza kuzalisha vyakula kwa wingi but still njaa imekuwa ya mara kwa mara kulinganisha na maeneo yenye misimu mirefu ya mvua.
Mfano: mwezi unaopata mvua chini ya mm 60 kwa mwezi basi ni mwezi wenye ukame na ikiwa ni mm 30 ni ukame mkubwa, so angalia nimechukua eneo bora la Kionboi but still wana miezi sita pekee ya mvua isiyo ya ukame. Huwezi kulinganisha na maeneo yenye bi-modal.
Ndugu, hasira za nini? Kuwepo kwa hayo maziwa siyo kitu kigeni kwangu ila kilichokuwa kinanitatizo juu ya maziwa hayo ni ama kama ni natural ama artifial. Kama ni natural ndiyo maana nilisema Nita-revise but kama ni artificial itabakia hiyo hiyo kwani utafiti huu hauhusishi masuala ya man made infrastructure.Acheni roho mbaya dhidi ya mkoa wetu Singida-Google inatambua Singida kuna Ziwa Kitangiri_Iramba, Ziwa Singidani na kindai-Singida manispaa. Nyie mnaokuja na tafiti fikirika kama hizi mnadai eti hukudhani.
Na sasa inaonyesha ukuaji bado kuna watu wanachukia.
Ndugu usiseme nimeonea Kabila fulani dhidi ya jingine labda nitolee mfano wa kabila unalohisi nimelipendelea. Ukiona kuna vitu muhimu sikuviweka basi ujue ndo uwezo wangu ulipokuwa umeishia kwa wakati huo na nilisema tangu awali kuwa nakaribisha ukosoaji hasa katika eneo nililoteua kuwakilisha kabila ili kuangalia uhalisia na kama kuna room ya kufanya mabadiliko. La muhimu ni kuwa, utafiti huu haukulenga Wanyilamba pekee bali zaidi ya makabila 100 ya Tanzania, yakiwemo madogo ambayo sikuyaorodhesha kwenye taarifa hii.Acheni roho mbaya dhidi ya mkoa wetu Singida-Google inatambua Singida kuna Ziwa Kitangiri_Iramba, Ziwa Singidani na kindai-Singida manispaa. Nyie mnaokuja na tafiti fikirika kama hizi mnadai eti hukudhani.
Na sasa inaonyesha ukuaji bado kuna watu wanachukia.
Unamlaumu tu mleta mada kafanya kwa nafasi yakeAcheni roho mbaya dhidi ya mkoa wetu Singida-Google inatambua Singida kuna Ziwa Kitangiri_Iramba, Ziwa Singidani na kindai-Singida manispaa. Nyie mnaokuja na tafiti fikirika kama hizi mnadai eti hukudhani.
Na sasa inaonyesha ukuaji bado kuna watu wanachukia.
Sasa, ndugu zangu wapemba na wazaramo wanakula vibua. Hawawezi kuwa na akili kwa mtindo huuuView attachment 656780
View attachment 656779
View attachment 656778
View attachment 656777
Ninaposema umuhimu wa vyakula ndio huu. Kila chakula hata kama kiasili ni kitamu, kitazidiana utamu na ubora wake kutoka sehemu moja hadi nyingine.
Hebu chekini hao samaki mseme kila kundi wanaweza kuwa wamevuliwa eneo (kabila) gani la Ziwa ama kwenye maji ya aina (yenye virutubisho vingi/vichache) gani? Ni kundi lipi la samaki katika picha hiyo ndio watamu zaidi na why?
Dah!! Nahisi madogo hayo mzee.Jedwali tu lilivyo imebidi nikupe like kabla sijasoma Uzi.
Naenda sasa kusoma Uzi huu rasmi.
Sure, vibua siyo wazuri kama samaki wengine. Ila ukiacha ubora wa samaki, nilikuwa nikiangalia sana aina ya ufukwe wa bahari ama Ziwa ulivyo. Kadri mwambao huo ulivyokua na ghuba ndogo ndogo, pamoja na visiwa vingi ndivyo ulivyokua ukipata alama za juu kwa kuwa kuna samaki wengi halafu mawimbi siyo makubwa kuathiri utegaji samaki kwa njia za asili.Sasa, ndugu zangu wapemba na wazaramo wanakula vibua. Hawawezi kuwa na akili kwa mtindo huuu
Yes, kuna kabila la Wakara kwenye Ziwa Victoria, Wilaya ya Ukerewe, wana mazingira yanayofanana sana na ya Ukerewe kwa karibia kila kitu. Naambiwa walikuwa na msongamano mkubwa wa watu tangu miaka ya 1970s kiasi cha kulima hadi kwenye maws. Inasemekana Rais wa wakati huo, Nyerere alivyoenda huko kipindi hicho, wakamwonyesha how bravery they were katika utunzaji wa mashamba yao, akaamua kuwahamishia baadhi yao katika eneo la Uzinza (Geita).Wakara?
Sio hari ya hewa.Ni hali ya hewa.Hapo kwa Waluguru ni Sahihi, Uluguruni Morogoro Milimani ni kuzuri kwa Chakula na hari ya hewa.
NotedNime subscribe
Sure, they are incredibly hard workers but still bandiko hili halija-focus kwenye kujituma kwa watu katika uzalishaji mazao ya chakula tangu zamani bali ubora wa mazingira ya kuzalisha vyakula vya aina nyingi. Ni bahati kuwa kabila kama Wabena lina hali nzuri ya hewa ya kuivisha mazao mengi, maana baadhi wana mazingira magumu sana na hao wakikwambia ni wachapa kazi huwezi kubishi. Fikiria ugumu anaokumbana nao Masai kulisha mifugo yake ina lazima kuhamahama katika maisha yake yote ya kuwepo duniani. Kuna makabila kama Wambugwe, Wakimbu, Wasandawe, Waburunge na Waalagwa, wana maeneo yasiyo mazuri kwa uzalishaji chakula so huwa wana-toil ile mbaya kuweka mkate mezani kwao.Wafipa
Wabena
Hardworking
Peolpe