Kabila la kwanza hadi la mwisho nchini kwa ubora wa kiasili wa uzalishaji vyakula vyenye lishe nchini:

Kabila la kwanza hadi la mwisho nchini kwa ubora wa kiasili wa uzalishaji vyakula vyenye lishe nchini:

Nashukuru sana kwa kuangalia mbele. Ushauri wangu sitautoa sasa Hivi kwa sasa, nilivyotoa bado ni nusu ya kazi yenyewe. Ninatakiwa nifanyie kwanza namna genetics zetu pia zimechangia kutufanya tuwe jinsi tulivyo. Nikifikia stage hiyo Mimi na ninyi kwa hakika utakuwa ni rahisi kutengeneza mfumo ambao ni unbiased katika uendeshaji wa nchi yetu kuanzia kwenye siasa hadi uchumi. Tuvute subira kidogo ili niifanyie kazi DNA zetu, though it is something more controversial kutokana na ukweli kwamba sometimes huwa binadamu tunaogopa kuface ukweli hasa unapokuwa iko negative kwetu.
Kila la heri
 
IMG_0676.JPG


Ukiacha hali ya hewa na uwepo wa mito inayoleta virutubisho vya kustawisha planktons, kina cha Ziwa, mito ama bahari kina umuhimu mkubwa sana katika kutengeneza ladha ya samaki. Maziwa yenye kina kifupi kama Ziwa Victoria (mita 71 pekee), yamekuwa na samaki watamu kutokana na uwezo wa kupenyeza kwa urahisi mwanga na oksijeni hadi eneo la chini ndani ya maji tofauti na maziwa yenye kila kirefu kama Tanganyika (zaidi ya Mira 700) na Nyasa (zaidi ya Mira 400) ambako ni vigumu mwanga kupenya kina kirefu hivyo samaki wengi wanakosa baadhi ya madini kutokana na kukosa mwanga wa kutosha, joto na hewa ya oksijeni.
Vilevile, maeneo ya baharini yanayozungukwa na Miamba ya matumbawe (coral reefs) vikiwemo visiwa vya Unguja na Pemba, yanafaidika na kuwa na samaki watamu kulinganisha na maeneo ya bahari yasiyo na miamba hiyo. Pia, maeneo ya bahari yanayozungukwa na visiwa na delta na mito yakiwemo ya Rufiji na miji ya Kilwa, Mtwara, Tanga na Mafia yana kina kifupi, hivyo samaki wanakuwa pia watamu kulinganisha na maeneo mengine.
 
Nashukuru sana kwa kufuatilia vyema. Changamoto niliyoipata ni kuelewa kama Ziwa dogo kama hilo limekuwa na samaki so nitaiconsider kwenye taarifa mpya.
Hata hivyo kwenye uzalishaji wa vyakula, nimewapa Wanyilamba D kwa sababu wana alternative ndogo sana ya kuliwa mazao ya vyakula kutokana na kuwa na mzima mfupi wa kilimo. Kwa kuwa eneo hilo linapata mvua chache (chini ya mm 850), limekuwa na rainfall unreliability, hivyo wanaweza kuzalisha vyakula kwa wingi but still njaa imekuwa ya mara kwa mara kulinganisha na maeneo yenye misimu mirefu ya mvua.
Mfano: mwezi unaopata mvua chini ya mm 60 kwa mwezi basi ni mwezi wenye ukame na ikiwa ni mm 30 ni ukame mkubwa, so angalia nimechukua eneo bora la Kionboi but still wana miezi sita pekee ya mvua isiyo ya ukame. Huwezi kulinganisha na maeneo yenye bi-modal.

Acheni roho mbaya dhidi ya mkoa wetu Singida-Google inatambua Singida kuna Ziwa Kitangiri_Iramba, Ziwa Singidani na kindai-Singida manispaa. Nyie mnaokuja na tafiti fikirika kama hizi mnadai eti hukudhani.
Na sasa inaonyesha ukuaji bado kuna watu wanachukia.
 
Acheni roho mbaya dhidi ya mkoa wetu Singida-Google inatambua Singida kuna Ziwa Kitangiri_Iramba, Ziwa Singidani na kindai-Singida manispaa. Nyie mnaokuja na tafiti fikirika kama hizi mnadai eti hukudhani.
Na sasa inaonyesha ukuaji bado kuna watu wanachukia.
Ndugu, hasira za nini? Kuwepo kwa hayo maziwa siyo kitu kigeni kwangu ila kilichokuwa kinanitatizo juu ya maziwa hayo ni ama kama ni natural ama artifial. Kama ni natural ndiyo maana nilisema Nita-revise but kama ni artificial itabakia hiyo hiyo kwani utafiti huu hauhusishi masuala ya man made infrastructure.
So nisaidie tu kuthibitisha juu ya maziwa hayo wala hakuna shida. Halafu usikimbilie kulaumu ukadhani siyafahamu, kuna maziwa mengine mbali mbali nchini yakiwemo Eyasi, Natron na Manyara, nilikuwa na-penalise endapo zamani hakukuwepo makazi ya uvuvi so. Ndiyo maana Wamasai sijawapa licha ya kuwepo Natron na Manyara, huku Wa-Iraq nao siku wala points kwa Ziwa Eyasi.
 
Acheni roho mbaya dhidi ya mkoa wetu Singida-Google inatambua Singida kuna Ziwa Kitangiri_Iramba, Ziwa Singidani na kindai-Singida manispaa. Nyie mnaokuja na tafiti fikirika kama hizi mnadai eti hukudhani.
Na sasa inaonyesha ukuaji bado kuna watu wanachukia.
Ndugu usiseme nimeonea Kabila fulani dhidi ya jingine labda nitolee mfano wa kabila unalohisi nimelipendelea. Ukiona kuna vitu muhimu sikuviweka basi ujue ndo uwezo wangu ulipokuwa umeishia kwa wakati huo na nilisema tangu awali kuwa nakaribisha ukosoaji hasa katika eneo nililoteua kuwakilisha kabila ili kuangalia uhalisia na kama kuna room ya kufanya mabadiliko. La muhimu ni kuwa, utafiti huu haukulenga Wanyilamba pekee bali zaidi ya makabila 100 ya Tanzania, yakiwemo madogo ambayo sikuyaorodhesha kwenye taarifa hii.
 
Acheni roho mbaya dhidi ya mkoa wetu Singida-Google inatambua Singida kuna Ziwa Kitangiri_Iramba, Ziwa Singidani na kindai-Singida manispaa. Nyie mnaokuja na tafiti fikirika kama hizi mnadai eti hukudhani.
Na sasa inaonyesha ukuaji bado kuna watu wanachukia.
Unamlaumu tu mleta mada kafanya kwa nafasi yake
 
Then ndugu, inasikitisha mtu akinilaumu kwa hisia za kulinganisha Kabila moja moja. Hata ningefuatilia vyanzo vya taarifa kwa kiwango gani, kamwe haitatokea nikaelewa jamii yoyote kwa ubora kama wakazi wa maeneo hayo ndio maana baada ya kumaliza kuwasilisha mada, niliomba wadau kama kuna sehemu sijaweka vigezo kwa ubora wanirekebishe.
Mimi Kabila langu tu nastruggle kulifahamu, je ya wengine itakuwaje?
 
Sooner nawaletea bandiko linalohusu makabila yote makubwa zaidi ya 60 ya Afrika Mashariki, yenye wakazi angalao kuanzia 500,000 (2017), Lengo lake ni kutupa nafasi ya kutafakari kwa kina juu ya bandiko hili linalotuhusu hasa Watanzania na ili itupe fursa nzuri ya kujiandaa dhidi ya majirani zetu wa Afrika Mashariki, hasa katika mikakati ya kuiunganisha East Africa katika EAC.
"Kumfahamu adui yako, ni njia rahisi ya kumshinda." Meet there soon guys.
 
View attachment 656780


View attachment 656779


View attachment 656778


View attachment 656777
Ninaposema umuhimu wa vyakula ndio huu. Kila chakula hata kama kiasili ni kitamu, kitazidiana utamu na ubora wake kutoka sehemu moja hadi nyingine.

Hebu chekini hao samaki mseme kila kundi wanaweza kuwa wamevuliwa eneo (kabila) gani la Ziwa ama kwenye maji ya aina (yenye virutubisho vingi/vichache) gani? Ni kundi lipi la samaki katika picha hiyo ndio watamu zaidi na why?
Sasa, ndugu zangu wapemba na wazaramo wanakula vibua. Hawawezi kuwa na akili kwa mtindo huuu
 
Sasa, ndugu zangu wapemba na wazaramo wanakula vibua. Hawawezi kuwa na akili kwa mtindo huuu
Sure, vibua siyo wazuri kama samaki wengine. Ila ukiacha ubora wa samaki, nilikuwa nikiangalia sana aina ya ufukwe wa bahari ama Ziwa ulivyo. Kadri mwambao huo ulivyokua na ghuba ndogo ndogo, pamoja na visiwa vingi ndivyo ulivyokua ukipata alama za juu kwa kuwa kuna samaki wengi halafu mawimbi siyo makubwa kuathiri utegaji samaki kwa njia za asili.
Siangalii uvuvi wa sasa wa kisasa, na angalia zaidi jinsi njia za asili za utegaji samaki zilivyokuwa zimeendelezwa. Hivyo ni wazi makabila yaliyosambaa kwenye mwambao was bahari usio na ghuba ama visiwa vingi, mfano Wazaramo, Wakwere, Wadoe, Wazigua na Wandengereko, hawakuwa na mazingira mazuri ya uvuvi kama ilivyo kwa Wasegeju, Wamwera na Warufiji. Vilevile, uwepo wa miamba ya matumbawe (coral reefs) umesaidia sana uvuvi visiwa vya Pemba na Unguja.
Hata uvuvi wa Ziwa Tanganyika na Nyasia, huko developed sana tangu kiasili kutokana na kuwa na kina kirefu halafu bila ghuba ama visiwa vingi. Hii ni tofauti na hali ya Ziwa Victoria lenye kina kifupi na ghuba nyingi hasa Wilaya za Chato, Geita na Musoma, pamoja na Visiwa vingi hasa Wilaya za Ukerewe na Sengerema.
Vilevile, maeneo ambayo mito insingia Ziwa ni ama baharini yana utajiri wa samaki kutokana na vyakula vya samaki (planktons) kuleta kwa wingi na mito hiyo.
 
Yes, kuna kabila la Wakara kwenye Ziwa Victoria, Wilaya ya Ukerewe, wana mazingira yanayofanana sana na ya Ukerewe kwa karibia kila kitu. Naambiwa walikuwa na msongamano mkubwa wa watu tangu miaka ya 1970s kiasi cha kulima hadi kwenye maws. Inasemekana Rais wa wakati huo, Nyerere alivyoenda huko kipindi hicho, wakamwonyesha how bravery they were katika utunzaji wa mashamba yao, akaamua kuwahamishia baadhi yao katika eneo la Uzinza (Geita).
 
Wafipa

Wabena

Hardworking

Peolpe
Sure, they are incredibly hard workers but still bandiko hili halija-focus kwenye kujituma kwa watu katika uzalishaji mazao ya chakula tangu zamani bali ubora wa mazingira ya kuzalisha vyakula vya aina nyingi. Ni bahati kuwa kabila kama Wabena lina hali nzuri ya hewa ya kuivisha mazao mengi, maana baadhi wana mazingira magumu sana na hao wakikwambia ni wachapa kazi huwezi kubishi. Fikiria ugumu anaokumbana nao Masai kulisha mifugo yake ina lazima kuhamahama katika maisha yake yote ya kuwepo duniani. Kuna makabila kama Wambugwe, Wakimbu, Wasandawe, Waburunge na Waalagwa, wana maeneo yasiyo mazuri kwa uzalishaji chakula so huwa wana-toil ile mbaya kuweka mkate mezani kwao.
Hata hivyo baadhi ya Makabila ya Pwani wakiwemo Wazaramo na Wadengereko wana maeneo yenye rutuba kubwa hapa nchini hasa yanayozunguka Tarafa ya Maneromango (Wazaramo) na Kibiti (Wadengereko) but yalikuwa hayatumiki ipasavyo tofauti na sasa ambako yamevamiwa na watu wa Bara.
 
Back
Top Bottom