Kabila la Wameru ni watu wabinafsi na wakorofi sana

Wewe bado hujitambui, hivi inajua ubinafsi wa Wanyakyusa? Hivi unajua taasisi zilizoja Wanyakyusa mpaka ikabidi Serikali iingilie kati? Uliwahi kuishi na Wahaya?. Isolated cases chache tena za kwako binafsi, hazitoi picha ya kabila love.
 
Wewe bado hujitambui, hivi inajua ubinafsi wa Wanyakyusa? Hivi unajua taasisi zilizoja Wanyakyusa mpaka ikabidi Serikali iingilie kati? Uliwahi kuishi na Wahaya?. Isolated cases chache tena za kwako binafsi, hazitoi picha ya kabila love
Comment moja ya mtu unaweza kutumia kama kipimo cha kujitambua kwa kwake ???

Anyway mimi nimeongea kutoka na kitu nilichopitia na nimekiona,kwahiyo nimetoa maoni according na true event pengine ukabila upo kwa kila kabila lakini kwa upande wangu nimeona ukabila ule ulio mkali kwa wachaga.

Kama wewe uliona kwa wanyakyusa na wahaya ni wewe according to your experience lil man.

Siku njema.
 
hao ni kawaida yao...

bahati mbaya hawajifunzi kwa makabila yanayowapokea bila kuwabagua...

sana sana ukiwakaribisha wanakuona huna akili...
 
Siukae nao mbali ,kwani ndio.kabila lilipo πŸ‡ΉπŸ‡Ώ yapo makabila 100 na ushee tafuta mengine au baki na wenzako wa kabila lako ,maisha ni yako kwanini ujitese kwani wewe ni jiwe.
 
vipi maeneo yetu pendwa mjini....wapo vizuri? yaliyomo yamo??
 
Sijawahi kusikia watu wakizungumzia kabila lolote kwa mazuri..
Ukweli ni kwamba inategemea na mtu binafsi, huwezi fahamu tabia za mtu kwa kujua kabiala lake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…