permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 12,484
- 15,297
Ukweli unapaswa kuwa objective na sio subjective.Comment moja ya mtu unaweza kutumia kama kipimo cha kujitambua kwa kwake ???
Anyway mimi nimeongea kutoka na kitu nilichopitia na nimekiona,kwahiyo nimetoa maoni according na true event pengine ukabila upo kwa kila kabila lakini kwa upande wangu nimeona ukabila ule ulio mkali kwa wachaga.
Kama wewe uliona kwa wanyakyusa na wahaya ni wewe according to your experience lil man.
Siku njema.
Hakuna jamii inanifurahisha kama wachaga na hao wameru,, wakiongea wanakosha sana,,Kaaya,Nnko Nassary naare ndu!
Long time sana kipande cha poli, nkoaranga, jua kali, esotho lefaaUmesahau kikatiti na Ngarenanyuki Kwa akina Ndawoo Chaliifrancisco
Wameru hatutaki "makabila" tutawafukuza wote. Hakuna hata kuwauzia kwenye maduka yetu.
Yes ni kweli ni wabinafsi sijui wana matatizo gani hawa!!!Sina chuki na wameru ila huwa naona watu wa kaskazini ni watu wabinafsi sana
Huu wimbo wa fid Q_sumu
Kuna verse inasema hivi
Wabongo wa majuu hamna upendo, mnajigawa
KWa maana hii ni kwamba jinsi utakavyokutana na mbongo mwenzio let's say Marekani akiwa anatokea kaskazini na ni kabila la uko kaskazini
Ni tofauti na utakavyokutana na mbongo mwenzio wa kabila nje ya kaskazini
Watu wa kaskazini ni watu watofauti sana,hujiona wao ni wao tu
Not really, acha kudanganya watu..waMeru wana roho mbaya sana ,chuki na ubinafsi,ila ukiwa unaongea nae kwa sura utaona ni mtu poa lakini hawafaiMimi nimesoma Makumira pale USA, na marafiki wengi Sana wa Kimeru jamaa ni watu poa Sana Sana mtoa mada utakua na tabia za hovyo hovyo Sana.
Kabisa mkuu usiwashirikishe mambo yako wana chuki na wivu mbaya sana wanataka wao wao tuNimewahi kuwa karibu na mmoja anayosema mtoa mada ni kweli ndivyo walivyo. Ni watu wazuri kuongea nao ila sio wa kushirikisha mipango yako
Not really, acha kudanganya watu..waMeru wana roho mbaya sana ,chuki na ubinafsi,ila ukiwa unaongea nae kwa sura utaona ni mtu poa lakini hawafai
Hiyo ni kwa upande wako mkuuNot really, acha kudanganya watu..waMeru wana roho mbaya sana ,chuki na ubinafsi,ila ukiwa unaongea nae kwa sura utaona ni mtu poa lakini hawafai
Sawa nenda kwenye kabila lenuuNakumbuka nilihamishwa kikazi kipindi fulani na kukaa katika wilaya ya Arumeru, halmashauri Meru, aloo sinawahi kukutana na sampuli la kabila hili la wameru aiseehawa jamaa kiboko!...
Yaani wameru ni kabila la hovyo yaani wana tabia zakifala sana kuishi nao hawa jamaa inahitaji ubabe na akili kubwa....
Kwanza wana ujinga wa ubabe wakifala yaani kila ugomvi utakuta mwanaume anakimbilia ndani kutafuta panga, kubabake kuna fala moja alitaka kunizoea akaniletea tabia zake za kimeru, si akawa naenda kufata panga, mimi nikakata mti aisee nilimcharaza bakora mpaka asahau njia ya kwenda kwao kufata panga...
Wameru ni wa hovyo sana yaani pia hawa watu ni wabinafsi mno na wachoyo yaani wao chao chao ila chako wanataka kiwe chao, nenda arusha uishi nao uone yaani hawastaarabiki kabisa yaaani mmeru wa seela, sing'isi awe wa tengeru au usa river au momela, maji ya chai wote vichwa vyao maji....ujinga mwingi....
Nimezunguka mikoa mingi ila hili kabila hapana nimewanyooshea mikono....kizuri chao ni mademu tu,
Aisee wanawake wa kimeru ni wazuri balaa ila tabia ngumu kama nguna ya dona.
TumepoaPole kwa mkasa uliokukuta
Mambo Mankayani mabinti wa kimeru wanajiskia hao, kuna shoga angu mmeru woii[emoji28]
Kuna mwana ni wanangu wawili mmoja Sarakikya mwingine Mbise ni watata watata sana. Huyo Mbise alikumbana na Mpare mkoja beef lao lilikua kali sana. Mimi Wameru hao wananikubali sana......japo wao hawajuani mimi tu ndio wananijua na nawajua wao. Ila wananikubalisana. Wameru jua tu namna ya kuishi nao.Kama huko ndiko anatoka Mgerasi Maghayo The Mongolian Savage basi naweza kukubaliana na mleta mada.
IKuna mwana ni wanangu wawili mmoja Sarakikya mwingine Mbise ni watata watata sana. Huyo Mbise alikumbana na Mpare mkoja beef lao lilikua kali sana. Mimi Wameru hao wananikubali sana......japo wao hawajuani mimi tu ndio wananijua na nawajua wao. Ila wananikubalisana. Wameru jua tu namna ya kuishi nao.
Umesahau kikatiti na Ngarenanyuki Kwa akina Ndawoo Chaliifrancisco
Wameru hatutaki "makabila" tutawafukuza wote. Hakuna hata kuwauzia kwenye maduka yetu.
hivi akyoo ni mmeru? niliwahi chomwa uma ya tumbo sina hamu.Umesahau kikatiti na Ngarenanyuki Kwa akina Ndawoo Chaliifrancisco
Wameru hatutaki "makabila" tutawafukuza wote. Hakuna hata kuwauzia kwenye maduka yetu.