Dini kwa Allah ni moja tu. Uislam.Huwa najiuliza kabla Wakoloni kwa maana ya Wazungu na Waarabu kutuletea dini wakitumia wafanyabiashara, wamishenari na wapelelezi, (traders, missionaries and explorers), wazee wetu huku Afrika waliabudu katika dini gani? Je kwakuwa dini za kigeni hazikuwepo ina maana watu wote walioishi nyakati hizo walienda motoni kwa kuabudu miti, mizimu na wanyama. Je ipi ni dhambi machoni pa Mungu, kutokwenda kanisani na msikitini au kutenda mabaya!
Na Uislamu pamoja na Quran vinatambuwa na kukiri Yesu yupo mbinguni na Allah na Muhammad amezikwa Madina.Dini kwa Allah ni moja tu. Uislam.
Waliabudu hizo hizo dini,Huwa najiuliza kabla Wakoloni kwa maana ya Wazungu na Waarabu kutuletea dini wakitumia wafanyabiashara, wamishenari na wapelelezi, (traders, missionaries and explorers), wazee wetu huku Afrika waliabudu katika dini gani? Je kwakuwa dini za kigeni hazikuwepo ina maana watu wote walioishi nyakati hizo walienda motoni kwa kuabudu miti, mizimu na wanyama. Je ipi ni dhambi machoni pa Mungu, kutokwenda kanisani na msikitini au kutenda mabaya!
Mbingu according to Uisilamu na Mbingu according to Ukristo ni vitu viwili tofauti,Na Uislamu pamoja na Quran vinatambuwa na kukiri Yesu yupo mbinguni na Allah na Muhammad amezikwa Madina.
Dini kwa Allah ni moja tu. Uislam.
Naamini hiiHizo ni hadithi za Kale za Mashujaa kama sasa hivi Magufuli angewekwa.
Walimuabudu Mungu huyohuyo, isipokuwa kwa njia (dini/madhehebu) na mazingira (makanisa/misikiti/mahekalu) tofauti.Huwa najiuliza kabla Wakoloni kwa maana ya Wazungu na Waarabu kutuletea dini wakitumia wafanyabiashara, wamishenari na wapelelezi, (traders, missionaries and explorers), wazee wetu huku Afrika waliabudu katika dini gani? Je kwakuwa dini za kigeni hazikuwepo ina maana watu wote walioishi nyakati hizo walienda motoni kwa kuabudu miti, mizimu na wanyama. Je ipi ni dhambi machoni pa Mungu, kutokwenda kanisani na msikitini au kutenda mabaya!
Hakuna dini mpya iliyoletwa Afrika, zimeletwa imani za kikristo.Huwa najiuliza kabla Wakoloni kwa maana ya Wazungu na Waarabu kutuletea dini wakitumia wafanyabiashara, wamishenari na wapelelezi, (traders, missionaries and explorers), wazee wetu huku Afrika waliabudu katika dini gani? Je kwakuwa dini za kigeni hazikuwepo ina maana watu wote walioishi nyakati hizo walienda motoni kwa kuabudu miti, mizimu na wanyama. Je ipi ni dhambi machoni pa Mungu, kutokwenda kanisani na msikitini au kutenda mabaya!
Tulikuwa na taratibu zetu za ibada tena zilikuwa nzuri sana...kwa wachaga walikuwa na vitabu vyenye herufi zinazofanana na Amaric.....ambazo zilipigwa marufuku.....maombi yalikuwa yanajibiwa papo kwa papo mfano ugonjwa...huonyeshwa dawa kwenye ndoto.....ukiomba mvua ikichelewa ni siku 3 tu na si zaidi.Huwa najiuliza kabla Wakoloni kwa maana ya Wazungu na Waarabu kutuletea dini wakitumia wafanyabiashara, wamishenari na wapelelezi, (traders, missionaries and explorers), wazee wetu huku Afrika waliabudu katika dini gani? Je kwakuwa dini za kigeni hazikuwepo ina maana watu wote walioishi nyakati hizo walienda motoni kwa kuabudu miti, mizimu na wanyama. Je ipi ni dhambi machoni pa Mungu, kutokwenda kanisani na msikitini au kutenda mabaya!
Uislam wa kale ulikuwa wa UPENDO tofauti na huu wa sasa hata uchagani uislam ulikuwepo na ndio maana mpaka leo kanisa kwa kichaga ni msikiti.Hakuna dini mpya iliyoletwa Afrika, zimeletwa imani za kikristo.
Walikuta wazee Waislam na historia ipo wazi kwa hilo. Labda ujigfanye huelewi tu.