Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Quran imecopy na kuedit na kupaste Torati, zaburi na injiri, kwahiyo reference sahihi ni Biblia.Uislamu unatambua kuwa Yesu alikuwa mtume kama ilivyoandika Biblia . Pia Yesu hakusulubiwa na wala hakufa kama ilivyoandika biblia
Quran imecopy na kuedit na kupaste Torati, zaburi na injiri, kwahiyo reference sahihi ni Biblia.
Waandishi wa Quran wanajuwa wenyewe sababu ya kuchakachuwa vitabu walivyocopy kwenye Biblia.
Kimsingi unakubali Yesu hakufa na yuko mbinguni na Allah ila Muhammad amekufa na kaburi kake liko madina.
Sasa kama una akili timamu kati ya Muhammad na Yesu ni yupi wa kumfuata?
Go ,learn African religion,,Kitabu kipi hicho cha kiafrika kilichoandika God is not a man, au wewe uliishi toka enzi hizo unaelewa??
Hicho ndicho kitabu cha kiafrika ??Go ,learn African religion,,
Tafuta maarifa,naona wew n mtumwa wa itikad tena roho ya usaliti inakutawala,je waafrika kabla ya hizo dini zenu pendwa walikuwa hawana dini?Hicho ndicho kitabu cha kiafrika ??
Hakuna specific kitabu ch kidini,lakn Kuna marejeo ya vitabu vinavyoelezea African religion unaweza google hata Sasa hivHicho ndicho kitabu cha kiafrika ??
Hivyo vitabu si vimeandikwa karne hii ?? Nani aliishi karne hizo za nyuma mpaka leo akaandika kitabu ??Hakuna specific kitabu ch kidini,lakn Kuna marejeo ya vitabu vinavyoelezea African religion unaweza google hata Sasa hiv
Kuna watu bado wanafuata taratibu zao ambazo wamerithishwa na wazaz wao ,na kupitia Kam hao ndio tunapata kujua ,alafu Kuna vitabu vipo,na hata ukisoma vizur maandiko unaona imani za kiafrika vizur sana,God-spirits-ancestors-humanbeings,rejea agano la kaleHivyo vitabu si vimeandikwa karne hii ?? Nani aliishi karne hizo za nyuma mpaka leo akaandika kitabu ??
Umeahidiwa pepo?Dini kwa Allah ni moja tu. Uislam.
Mohamed anasema nmeamrishwa nimuabudu Mola wa mji huu (Mecca),,so na wew Mdengeleko wa Kisarawe unamfuata muungu wa mji wa Mecca?Naam, kamabkwa "pepo" unamaanisha Jannat.
You are brainwashed,na hayo n matokeo ya Hellenistic philosophy , HAKUNA PEPO,acheni falsafa ya kujifarijiNaam, kamabkwa "pepo" unamaanisha Jannat.