Kabla hamjafuta somo la Uraia (Civics) naomba nijibiwe maswali haya

1: chama cha mapinduzi (CCM)tan ni chama cha ukombozi ndio muunganiko wa TANU kwa tanganyika na ASP kwa zanzibar

2:Tanganyika tunanufaika zaidi na muungano kiusaalma zaidi na nadhan ndolilikua lengo kuu la muasisi wa uo muungano kwa upande huu wa bara ukitoa madhumuni mengine

3: Mwenge =uhuru(9 december ) ,ni mojawapo ya vitu vinavopatikana kwenye nembo ya taifa hili ukitaka tuutoe mwenge maana yake tutoe na vitu vingine kwenye nembo ya taifa letu tukufu la TANZANIA

Alama zingine ni PEMBE ZA NDOVU,MWANAMKE NA MWANAUME,RANGI NYEUPE NA BULUU,RANGI NYEKUNDU,NGAO, ,MAJEMBE MAWILI pamoja na MKUKI.
 
Nikujibu kwenye suala.mwenge wa uhuru, mwenge wa uhuru ni kama alama tu unayobeba wajumbe ambao hupita kukagua miradi ya maendeleo na utelelezwaji wake kwa ujumla kwa pesa ambazo serikali imekuwa ikizitoa katika halmashauri mbali mbali hapa nchini

Kwaiyo baada ya ofisi ya mkaguzi mkuu wa serikali kupitia mafaile na vyombo vingine kupitia na kutoa data sehemu sahihi basi mwenge unakuja kufanya majumuisho.kwani tunajua katika halmashauri zetu tunaishi.kishikaji sana Mkurugenzi na mkuu wa mkoa au wilaya ni washikaji ukienda kwa afisa usalama mkoa au wilaya mshikaji ukienda takukuru ushijaki hivyo ni vyepesi kurob wakaguzi au kufumbia macho madudu katika halmashauri zao hivyo basi kikosi kazi cha mwenge huja kufanya ukaguzi huo kwa sababu ni kikosi kinachopita haraka kikiwa ni team iliyokamilika vigumu wa robu umeleewa chief wale wakimbiz.amwenye siyo wasanii eti wanakuja kucheza ngoma nakusikiliza MASHAURI hapana Wana kazi maalumu hivyo mwenge umekuwa kama alama tu ya ujumbe huo ndio maana wanaimba

" Mwenge ndio taa yetu Tanzania pote umulike tuyaepuke mabaya, ukimwi madawa ya kulevya rushwa nk ni hatari"

Wale jamaa wakifika eneo X wanakubwa na tarifa kutoka vyanzo mbali mbali mfano kutoka JF nk hivyo wanakubwa wanajua hapa Kuna moja mbili wao wanatarifa hizo kwaiyo wanakuja fanya finishing na kuvihakikishia vyombo usika uhalisia wake

Usidhani wale wakimbiza mwenge kazi yao kubeba mwenge kula kunywa na kulala Ile ni team usione wale watu sita ya ukajua hao hao ndio wanazunguka na mwenge bro ebu tuishie hapa

Nazani sasa hutosema mwenge wanini
 
Maswali ya mitego haya. Ili uyajue lazima uwe umesoma civics na history vzr. Kabla serekali haija yafuta haya masomo ni vema ikafanya tafakuri
 
Bado nauliza mwenge wa nini?
Kama timu ya mwenge ikifika sehemu wanakuwa na taarifa za miradi kwa nini taarifa zisipelekwe kwa vyombo husika kwa hatua stahiki.
 
Nikujibu kwenye suala.mwenge wa uhuru, mwenge wa uhuru ni kama alama tu unayobeba wajumbe ambao hupita kukagua miradi ya maendeleo na utelelezwaji wake kwa ujumla kwa pesa ambazo serikali imekuwa ikizitoa katika halmashauri mbali mbali hapa nchini

Kwaiyo baada ya ofisi ya mkaguzi mkuu wa serikali kupitia mafaile na vyombo vingine kupitia na kutoa data sehemu sahihi basi mwenge unakuja kufanya majumuisho.kwani tunajua katika halmashauri zetu tunaishi.kishikaji sana Mkurugenzi na mkuu wa mkoa au wilaya ni washikaji ukienda kwa afisa usalama mkoa au wilaya mshikaji ukienda takukuru ushijaki hivyo ni vyepesi kurob wakaguzi au kufumbia macho madudu katika halmashauri zao hivyo basi kikosi kazi cha mwenge huja kufanya ukaguzi huo kwa sababu ni kikosi kinachopita haraka kikiwa ni team iliyokamilika vigumu wa robu umeleewa chief wale wakimbiz.amwenye siyo wasanii eti wanakuja kucheza ngoma nakusikiliza MASHAURI hapana Wana kazi maalumu hivyo mwenge umekuwa kama alama tu ya ujumbe huo ndio maana wanaimba

" Mwenge ndio taa yetu Tanzania pote umulike tuyaepuke mabaya, ukimwi madawa ya kulevya rushwa nk ni hatari"

Wale jamaa wakifika eneo X wanakubwa na tarifa kutoka vyanzo mbali mbali mfano kutoka JF nk hivyo wanakubwa wanajua hapa Kuna moja mbili wao wanatarifa hizo kwaiyo wanakuja fanya finishing na kuvihakikishia vyombo usika uhalisia wake

Usidhani wale wakimbiza mwenge kazi yao kubeba mwenge kula kunywa na kulala Ile ni team usione wale watu sita ya ukajua hao hao ndio wanazunguka na mwenge bro ebu tuishie hapa

Nazani sasa hutosema mwenge wanini
Ni nani mwenye jukumu la kukagua hiyo miradi?
 
Still mwenge hauna kazi, tunaweza kufanya vyema zaidi bila mwenge. Mwenge umekuwa ukifanya kazi ya kuzindua matundu ya vyoo, huu ni upumbavu.
 
1:chama cha mapinduzi (CCM)tan ni chama cha ukombozi ndio muunganiko wa TANU kwa tanganyika na ASP kwa zanzibar
2:Tanganyika tunanufaika zaidi na muungano kiusaalma zaidi na nadhan ndolilikua lengo kuu la muasisi wa uo muungano kwa upande huu wa bara ukitoa madhumuni mengine
3:Mwenge =uhuru(9 december ) ,ni mojawapo ya vitu vinavopatikana kwenye nembo ya taifa hili ukitaka tuutoe mwenge maana yake tutoe na vitu vingine kwenye nembo ya taifa letu tukufu la TANZANIA
Alama zingine ni PEMBE ZA NDOVU,MWANAMKE NA MWANAUME,RANGI NYEUPE NA BULUU,RANGI NYEKUNDU,NGAO, ,MAJEMBE MAWILI pamoja na MKUKI.
Hakuna mwenye shida na huo mwenge kuwa moja ya nembo za taifa ila shida ni gharama za kuutembeza nchi nzima kila mwaka. Kwanini hatutembezi jembe ambalo nalo lipo kwenye nembo ya Taifa!? Ni upuuzi mtupu kutumia gharama kubwa kutembeza kitu kisicho na faida! Hiyo miradi inaweza kuzinduliwa na mawaziri au wakuu wa mikoa.
Mwenge ni kichaka cha mafisadi.
 
Nikujibu kwenye suala.mwenge wa uhuru, mwenge wa uhuru ni kama alama tu unayobeba wajumbe ambao hupita kukagua miradi ya maendeleo na utelelezwaji wake kwa ujumla kwa pesa ambazo serikali imekuwa ikizitoa katika halmashauri mbali mbali hapa nchini

Kwaiyo baada ya ofisi ya mkaguzi mkuu wa serikali kupitia mafaile na vyombo vingine kupitia na kutoa data sehemu sahihi basi mwenge unakuja kufanya majumuisho.kwani tunajua katika halmashauri zetu tunaishi.kishikaji sana Mkurugenzi na mkuu wa mkoa au wilaya ni washikaji ukienda kwa afisa usalama mkoa au wilaya mshikaji ukienda takukuru ushijaki hivyo ni vyepesi kurob wakaguzi au kufumbia macho madudu katika halmashauri zao hivyo basi kikosi kazi cha mwenge huja kufanya ukaguzi huo kwa sababu ni kikosi kinachopita haraka kikiwa ni team iliyokamilika vigumu wa robu umeleewa chief wale wakimbiz.amwenye siyo wasanii eti wanakuja kucheza ngoma nakusikiliza MASHAURI hapana Wana kazi maalumu hivyo mwenge umekuwa kama alama tu ya ujumbe huo ndio maana wanaimba

" Mwenge ndio taa yetu Tanzania pote umulike tuyaepuke mabaya, ukimwi madawa ya kulevya rushwa nk ni hatari"

Wale jamaa wakifika eneo X wanakubwa na tarifa kutoka vyanzo mbali mbali mfano kutoka JF nk hivyo wanakubwa wanajua hapa Kuna moja mbili wao wanatarifa hizo kwaiyo wanakuja fanya finishing na kuvihakikishia vyombo usika uhalisia wake

Usidhani wale wakimbiza mwenge kazi yao kubeba mwenge kula kunywa na kulala Ile ni team usione wale watu sita ya ukajua hao hao ndio wanazunguka na mwenge bro ebu tuishie hapa

Nazani sasa hutosema mwenge wanini
Una uhakika na ulichoandika!!?? Kama kuna wakaguzi wa miradi kwanini wasije bila misafara mirefu ya magari na msululu wa viongozi wasio na kazi yoyote katika huo ukaguzi!? Vipi kuhusu gharama za kuulinda na kuuhudumia huo mwenge huoni kama ni mzigo kwa walipa kodi?
 
Mwalimu, tuseme swali hilo ndio unaulizwa na wanafunzi wako darasani ungejibu nini? (Ukiondoa itikadi,mtazamo,maomo,ushabiki wako na mapenzi yako kwa ChaDemA)
 
1. Kuhusu swali la Kwanza ni vema tukaielewa kwanza historia. CCM ni matokeo ya muungano wa TANU(Tanzania bara) na ASP(Tanzania Zanzibar). Katika kuyaenzi na kuyalinda mapinduzi matukufu na kwa heshima kwa Mzee Abeid Karume Chama Chama Cha Mapinduzi kikaanzishwa. Sio lazima muungano wa vitu utoe jina linalofanana na majina yaliyounganishwa.

Dhima kubwa ya kuanzishwa lilikuwa ni kwa ajili ya kuyalinda na kuyaenzi mapinduzi na kudumisha muungano kitu ambacho mpaka leo imefanikisha. Sasa leo hii Chama Cha Mapinduzi kimebeba taswira ya Mapinduzi ya kiuchumi. Na kwa kuangalia ubunifu unaofanywa na CCM utagundua kabisa Chama hiki kilianzishwa mahususi kwa ajili ya Mapinduzi .niishie hapa maana kuna mengi ya kusema na sitaweza kumaliza.

2. Muungano una faida nyingi sana kwa kila upande na ndio maana wahenga walisema kidole kimoja havivunji chawa. Hata CHADEMA ilipoungana na NCCR Chini ya mwamvuli wa UKAWA,CHADEMA ikafaidika sana licha ya udogo wa NCCR.

3.Mwenge wa Uhuru ni moja ya nembo na utambulisho muhimu wa taifa hili hivyo kuuzima bila kuacha umulike mambo mengi yatakuwa gizani. Tumeona kumulika kwa mwenge kunasasidia kumulikwa ufisadi ,rushwa na mambo mengine kadha wa kadha.

Katika suala hili la mwenge kubaliana na wote wanaosema uzimwe na kwa sababu za kiimani maana Biblia katika kitabu Cha Isa 50:11 inasema "Tazama, ninyi nyote mwashao moto, mjifungiao hiyo mienge; endeni ninyi katika mwali wa moto wenu, na katikati ya mienge mliyoiwasha. Mtayapata haya kwa mkono wangu; mtalala kwa huzuni" .
 
Kwenye mikesha ya mwenge ndiko kwenye ngono zembe, ushoga, madawa ya kulevya, ulevi wa kila namna na kila kitu kibaya.
...bila kusahau gharama kubwa za mabilioni ya shilingi za walipa kodi maskini zinazotumika kukimbiza huo moto kila mwaka.
 
Taja faida za muungano wa Tanganyika na Zanzibar
 
Kwenye mikesha ya mwenge ndiko kwenye ngono zembe, ushoga, madawa ya kulevya, ulevi wa kila namna na kila kitu kibaya.
Achana na hoja za kitoto hizi kuhusu mwenge haya mambo kwenye jamii yetu yanafanyika Kila siku siyo kwenye mwenge tu so tusisizane katika malezi
 
Back
Top Bottom