Kabla hamjafuta somo la Uraia (Civics) naomba nijibiwe maswali haya

Ni hasara zipi watakazopata Uingereza kwa kujiondoa UK?

Mojawapo ya hasara kubwa ni kukosa mshirika wa kweli. Zanzibar ni ndugu kabisa na Tanzania ila Kenya ni rafiki tu.
Hata Zanzibar ni marafiki tu, ndio maana kule Unguja wabara wananyanyasika na kudharaulika sana hasa wakiwa Wakristo
 
Hiyo ni tabia ya mtu mmoja mmoja isichukuliwe ni tabia ya kila mtu. Kinachoangaliwa ni kilichopo kwenye kumbukumbu rasmi ambacho kinatambua undugu wetu.
 
Kwa uchache tu,

Muungano unatoa fursa za kiuchumi kwa Tanganyika na Zanzibar
1.kupanua masoko za bidhaa zake na huduma.
2. kuimarisha sekta za uzalishaji.
3. kuongeza ajira.
4.kuimarisha miundombinu na hivyo kujijenga kiushindani.
Hamna kitu umejibu
 
Na kwa taarifa tu, mwaka 2023 mbio za mwenge wa uhuru zitazinduliwa mkoa wa LINDI na kuhitimshwa mkoa wa MANYARA.
 
Kabla hamjafuta Civics nataka nijulishwe,
1. Chama Cha Mapinduzi kilimpindua nani?
2. Tanganyika tunafaidikaje na muungano?
3. Mwenge wa uhuru uko kwa ajili ya maslahi na faida ya nani? Na una faida gani kwa taifa? Kwanini usizimwe na kuhifadhiwa kwenye makumbusho ya Taifa?
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
4. Tanzania ilipata Uhuru lini?!
 
"Chama cha mapinduzi kilimpindua nani"😂😂 swali zuri
 
Kabla hamjafuta Civics nataka nijulishwe,
1. Chama Cha Mapinduzi kilimpindua nani?
2. Tanganyika tunafaidikaje na muungano?
3. Mwenge wa uhuru uko kwa ajili ya maslahi na faida ya nani? Na una faida gani kwa taifa? Kwanini usizimwe na kuhifadhiwa kwenye makumbusho ya Taifa?
Watakuita mchochezi wakati umeuliza mwaswali yenye logic
 
Back
Top Bottom