Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Kutokuamini Mungu sio kigezo cha kuhusianisha jamii mbili zenye utofautiOk tumekubaliana kwamba wote hawaamini Mungu, sasa hebu niambie hiyo tofauti unayoikusudia?
Mimi nimehusianisha muislam na mkristo kwakua wote hawa sio kwasababu wana amini Mungu tu bali wapo kwenye kundi moja la Theism.
Tukisema tujadili kwa concept hiyo utagundua kuwa hata mkristo haamini Mungu wako, kwa hiyo unaposema atheist haamini Mungu wako unakuwa huongelei upande wa pili wa mkristo ambaye naye pia hamuamini Mungu wako.
Atheism ni tofauti na Agnoticism na ndio wako separated hawako organized kwenye kundi moja
Sasa kusema hata sisi tusio amini mungu tunatofautiana ili u sound logically and reasonable ulipaswa uweke mfano wa watu wanaotoka kundi moja kama ambavyo mimi nimefanya