Kabla hatuja wafundisha "Wasiomini Mungu" juu ya uwepo wake, basi inafaa sisi "Tunaoamini Mungu" tumalize tofauti zetu

Ila kiukweli mafundisho ya dini Yana uwalikini fulani ambao dah... Sijui nisemeje.

#YNWA
 
NENO DHEHEBU NI HEKALU LA SHETANI ...na yesu alisema ufalme uliofarakana hauta simama hivyo nilazima madhehebu yafarakane maana ni ufalme wa ibilisi ....ukristo wa kweli hauna madhehebu ....maana Yesu siyo mkatoriki wala msabato wala mlokole wala mpentekost wala mlutheri
 
Na waislamu una waambia nini?
Cheki "Main point ya mada yangu"

#YNWA
 
Mkuu kikao hicho kifanyike wapi na Mungu atakuja kwa njia gani au tunafanya wewenye tu?
 
anza wewe kwanza kufuata yale aliyoyaamini Martin Luther ,yaani zile thesis 95
 
Na waislamu una waambia nini?
Cheki "Main point ya mada yangu"

#YNWA
Mbona ninasema siku zote ...hata mudi siyo mshia wala msuni ....chimbuko la madhehebu ni ushabiki wa dini na ushabiki wa dini ni dhambi tu
 
Mfano Hadithi ya sensa ile ilikuwa kwa ajili ya tukio maalumu katika masuala ya vita, ili kuwajua nani wa kuwaua na nani wakuwaacha.
Duuuh hizi dini zilizoletwa na ngozi nyeupe ni zaidi ya tatizo 🤣🤣🤣🤣
 
Mlisikia ya kwamba mimi naliwaambia, Naenda zangu, tena naja kwenu. Kama mngalinipenda, mngalifurahi kwa sababu naenda kwa Baba, kwa maana Baba ni mkuu kuliko mimi.

Yohana 14:28
Na waislamu WANASEMAJE?

#YNWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…