zwangandaba
JF-Expert Member
- Jan 31, 2023
- 747
- 1,404
Shule zanserikali ni kwanajilinya maskini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyie mnaoponda elimu sijui mkiwa mnaandika Huwa mnazingatia vitu gani, Nani aliyekuambia ukisoma lazima UWE tajiri. Lengo la elimu siyo kutajirisha watu Bali inawezesha kupambana na mazingira Yetu.
Binafsi MTU yeyote nayeponda elimu namwoma kamatahira , MTU aliyechanganyikiwa na kukata tamaa. Dunia ya leo unaanzaje kuponda elimu Bora, exposure utapataje..
Kama fikra zako ni kuishi na kuinterract na watu wa tandale na mpanda Sawa, lakini Dunia ya leo ni kijiji huwezi ku undermine elimu Bora Hata kidogo
Angalia wakenya wanatupiga gape kubwa sana Kwa sababu elimu Yao ni Bora kuliko Sisi. Ivi mnaosema mtoto wako ajue na kuandika tu.
1. Madaktari watapatika wapi.
2. Engineers watapatikana wapi.
3. Wachumi na wanasheria watapatikana wapi.
4. IT guys tutawapata wapi.
Etc etc.
Kutokujali elimu ni kukubali utumwa. Tumetawaliwa Kwa sababu tu wajinga. Ulitakiwa ulete suluhisho nini kifanyike ili elimu yetu iwasaidie vijana lakini siyo kusema wajue kusoma na kuandika tu .
Kama MTU Hana uwezo wakusomesha shule nzuri atumie MDA WA ziada kuhakikisha watoto wake wanakuwa na uelewa mzuri WA mambo la sivyo tutaendelea kudanganyana eti watoto Bora wawe wafanya biashara.
Huwezi kuwa na matajiri wajinga wajinga wachuuzi afu nchi ikasonga mbele. Lazima uwe na matajiri wenye akili pevu wanaoweza kuwekeza Katika viwanda na technology
Najiuliza mara mbili mbili u great thinkers baadhi ya watu hapa ndani elimu Bora ni muhimu kuliko kitu chochote hapa Duniani acha kudanganya watu..
Shule Za kayumba za Sasa si sawa na Za miaka ya 80 utatesa watoto bure
THINK TWICE BRO
Shule zanserikali ni kwanajilinya maskini
Mmmhh naomba wanaosomeshai wasikutane na huu uzi maana wanaweza kusitisha kutuma ada na hela ya kodi
GoodWasomeshe Kwa uwezo wao.
Lakini Kujiminya na kujitesa, kujiingiza kwenye madeni kisa Elimu. Ni dalili ya kukosa maarifa
Ww mbona umesoma? Acha upotoshaji kama wewe umesoma na kuishi bila kaz bac aiko ivyo kila mtu na bahat yake
Mimi uzuri mtoto wangu anajua kusoma, kuandika, kuhesabu atasoma shule yoyote tu.
SIku hizi karibu kila kitu ni kama Kalyinda tuu😀😀Watakuelewa wachache sana,lakini wewe umeshanawa kama pirato👊
BalaaSIku hizi karibu kila kitu ni kama Kalyinda tuu😀😀
Na uunga hoja mkono, ila na elimu ya serikali ni mbovu.
Kusoma siyo vibaya, ila ushauri huu nao uangaliwe kwa ukaribu.
Mi mtoto wangu hawezi chagua chochote ile iwe chakula au nguo.Nataka unisomeshe shule kubwa dingilai
Mi mtoto wangu hawezi chagua chochote ile iwe chakula au nguo.
Huwa namwambia akitapika atakula matapishi na huwa sitanii
Watoto wanadeka kwa mama zao[emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo toto haliwezi kudeka.
Safi Sana
The mother she is goingBora usomeshe primary kulipia na sekondari za kayumba ili apate msingi wa english na achane na zile za “Ze faza iz in ze house”