Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #121
Mwanangu vitoto vya International vinajua kuunga hoja mpaka unakaa chini!
Kujiamini ndio kujua kujenga hoja?
Hata mtoto wako ukimfundisha kujiamini na kutumia akili yake mwenyewe Watu watamuona anaakili na anajua kujenga hoja