Kabla haujakopa milioni nne kwaajili ya Ada ya mwanao, tuliosoma Cuba tuna ujumbe wako hapa


Unapoteza muda wako kumuelezea MTU kitu rahisi ambacho hata mwanafunzi wa shule ya msingi angeelewa
 

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hapo angechukua mkopo awape mitaji Watoto wala asingepungukiwa
 

Ungekuwa umefaulu vizuri usingeshindwa Kupata ujumbe wa andiko fupi kama hili.
Kuna wenzako hata kidato cha nne hawajafika lakini wameelewa ninachozungumzia.

Na hapo ndipo inapodhihirisha kusoma sio kuwa na Akili πŸ˜‚πŸ˜‚
Ku
 
Kweli bro.... Mimi nimeipata hiyo division 1.7 nimesoma shule ya gharama ila sioni muelekeo...[emoji23]

Wazazi wasomeshe kulingana na uwezo wao.....
 
Kweli bro.... Mimi nimeipata hiyo division 1.7 nimesoma shule ya gharama ila sioni muelekeo...[emoji23]

Wazazi wasomeshe kulingana na uwezo wao.....

Mzazi kauza viwanja, mashamba, na katoa damu za kutosha ili usome alafu mwisho wa siku haoni tofauti yoyote Baada ya wewe kumaliza chuo. Ukisikia kupeana laan ndio Huko sasa
 
Sidhani kama kuna mzazi anapeleka mtoto shule ya private ili apate division one, ingekua hivyo basi watoto wanaotoka private wote wangekimbilia shule za serikali maana huwa wana ufaulu mzuri na bado wanaendelea huko huko private hata kama wamepangiwa shule za serikali

Kuna mambo machache
Sio kila mzazi anapenda mtoto wake akahangaike na huduma duni, mazingira mabovu, waalimu wenye stress ambapo haya yote utayapata kayumba

Wengine wanapeleka watoto private ili atlist kuondoa usumbufu, kumpa mtoto exposure, kumfanya mtoto asome kwenye mazingira rafiki na pia kupata elimu bora ambayo hata bila division one bado maisha yataendelea na wengi huwa wanapata madaraja mazuri na wanakua na uelewa wa mambo mengi tofauti hawa kayumbaz

Mwisho, tunapelek watoto shule ili wapate maarifa na sio division one, kila mzazi ana malengo na ana ndoto kwa mtoto wake, haijalishi atatumia kiasi gani kutimiza malengo aliyonayo kwa mtoto wake kwa hiyo sio visuri kuwapangia watu mkuu, waache, mtu mpaka anaitwa mzazi maana yake yeye anajua kilicho bora kwa mtoto wake kuliko wewe

Ukisema kusomesha shule ya milioni nne ni stress kwako, kuna wanaosomesha kwa milioni 60 na sio stress kwao, kwa hiyo tukae kwa kutulia tu, kila mtu afanye kilicho ndani ya uwezo wake unless kamq kuna mtu amekulaamikia kwamba adq imemshindq, unaweza ukamshauri private kwamba aachane na mikopo, ila kama hajakulalamikia mwache atimize wajibu wake kwa mtoto wake wewe endelea huko panapokufaa
 
Sijakusoma vyedi mkuu ni kama hukua umelenga kuni quote mimi kwenye hii reply yako chief..sijaielewa sana
 
Huko Ulaya labda ni ili akimaliza atokomee hukohuko afanye kazi na kutafuta Pesa HUKOHUKO.
Lakini wapo wamesoma Ulaya kuanzia SEKONDARI mpaka chuo na tupo NAO hapa mjini na Hawana maajabu
Hayo ndio malengo yangu akishapat urai tu basi he will be free to move and ni guarantee ya maisha Bora
 
Dogo kuna vitu vingi hujui, kaa kimya tu, ishia hapo hapo unahisi unajua.
 
Mwanangu vitoto vya International vinajua kuunga hoja mpaka unakaa chini!
 
Kama unaona Elimu Gharama basi jaribu UjingA @ Banza Stone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…