Kabla hujakubali kuolewa ama kumuoa mtu, fanya naye maongezi marefu mjadiliane mambo ya msingi Kuhusu Maisha

Kiongozi ulitaka jukumu la wanaume liwe lipi
Siwezi kupanga mimi muislam nafuata miongozo ya Dini yangu, ila nachomaanisha hili jukumu gumu sana hasa kwa Dunia ya leo maanayake ukizungumzia BILLS unazungumzia pesa na maisha ya sasa pesa imekuwa ngumu na kitu ambacho unauhakika kabisa kukipata kwasababu AJIRA HAKUNA, KUPATA AJIRA NGUMU, Ajira zilizopo hazina uhakika unakuta unapata ajira leo inakushinda mwezi mmoja tu....Kiujumla jukumu kilasiku lazima utoe pesa ya matumizi na maisha hayana uhakika kuwa utapata hio pesa CONFUSED.

Ila majukumu ya mwanamke rahisi, most ni natural yapo in biological form na yapo vilevile tangu dunia kuanza.
 
Ndio maana nikauliza kwahiyo jukumu la wanaume linatakiwa liwe lipi, inashangaza kuona jinsia ambayo toka enzi imejipa mamlaka juu ya familia inalialia kuhusu jukumu lake juu ya hiyo familia yake, sasa kama hilo jukumu limewashinda hayo mamlaka ya kutawala mnayataka ya nini

Kwamba unataka kusema majukumu ya mwanamke ya kufanya kazi za ndani, kubeba ujauzito, kuzaa, kunyonyesha, kulea na kutii mume ni rahisi, kama ni rahisi mbona mkiambiwa mfanye kazi za ndani hamtaki na hamzipendi, sasa ninyi wanaume mnataka mfanye jukumu gani

Jukumu kuwepo tangu dunia kuanza haimaanishi kuwa limekuwa rahisi ila wanaume mnatafuta sababu tu, dunia ya leo mbona wanawake wengi wanatafuta pesa na wanatimiza majukumu yao vizuri tu ila hawalalamiki, kama majukumu ya mwanamke ni rahisi vipi leo hii wewe ungeambiwa uwe mwanamke ungekubali
 
Kwangu ya muhimu ni;
1. Unatamani kuwa watoto wangapi Mungu akikujaalia? (hapo namwambia idadi ya watoto ninayotamani)
2. Unapendelea kuishi maeneo/mikoa gani(hapo namwambia mikoa ningependelea kuishi), tusije kuingia kwa ndoa na kuleta sintofahamu.
3. Mambo ya elimu, level yake ya elimu na kama ana mpango wa kujiendeleza(ili nijue kama uwezekano upo kusoma sanjari na kuendeleza familia)
 
  • Namba 5. Imani za kidini ndio muhimu, hayo mengine ni kupoteza tu muda. Kama mtu haamini atembee na hii Insha kama ilivyo, na baadaye alete mrejesho.
  • Binadamu ni kiumbe mtata na hatari kuliko wote juu ya uso wa dunia.
 
Talking ugumu ujaambia limemshinda mtu, kitu kukifanya haimaanishi kuwa kirahisi na kitu kuwa kigumu haimaanishi kuwa kikushinde.....Duniani tupo kwa mitihani sio peponi hapa but talking hio mitihani na majukumu wanaume wameoewa majukumu heavy akijia mwizi usiku men utauana nae nk
Sasa haya majukumu, some stuffs ambazo zipo automatic kunyonyesha kuna sehemu unaenda some na kufanya interview kupata maziwa ya kunyonyesha, Katie Mume eti, kufagia ndanj serious, kuzaa eti, kubeba ujauzito what.

Simaanushi kuwa hayo si majukumu nayaelewa kama majuku ila yapo very automatic, yana flow tu hakuna kitu kinazoua, most of them more biologic huwezi linganisha na ECONOMIC THING ambalo ndio jukumu la mwanaume.

ECONOMIC STUFFS not automatic things, not biological thing, it become hard time to time as a say muda huu kuna wanaume kibao mfukoni hana kitu leo na familia inahitaji ile, Wengine hawana ajira na familia haielewi inachojua intake kula.....Don't put those soft sentences here.
Mwanamke kutafuta na kuwa na pesa ni OPTION, mwanaume kutafuta na kuwa na pesa MUST.....Jifunze hio tofauti kwanza.

Mwanamke awe na pesa aside na pesa, awe na ajira aside nayo still anaweza kuolewa/anyone sifa za kuolewa na ku sustain kwenye suala zima la mahusiano.....OPTION.

Mwanaume only two side, uwe na pesa ndio uwe na mustakabari wa mahusiano na ndoa mbali na hapo huna sifa....MUST

Wewe kusema hata wanawake wanatafuta pesa haina mantiki naweza kusema wanatafuta JUST FOR FUN, Mwanaume Not Fun ni MUST....usifananishe hivi hits never Be a man uwelewe naongea nini hapa.

Mwanaume na mwanamke wanafanya kazi sehemu wote wakafukuzwa kazi, hapa msamiati wa KUFUKUZWA KAZI una deserve kwa mwanaume tu sio huyo SHE, She yeye alikuwa pale kazini FOR FUN simaanishi kuwa hana matumizi na pesa au hana majukumu nachomaanisha kivyovyote huo uhitaji wake wa pesa ukilinganisha na mwanaume mimi naupa jina FOR FUN/KIND OF COMEDIC THING.
 
Kiongozi ulitaka jukumu la wanaume liwe lipi
Wewe juzi si ulisema mahusiano yaende 50 -50 na uzi ukaandika. Ila leo unauliza majukumu ya mwanaume,jibu si unalo 50-50.
 
Yani unavyoongelea hilo la mwizi kuvamia nyumbani utasema ni tukio ambalo linaweza kutokea kila siku kwenye kila nyumba, hapa tunaongelea majukumu ya kila siku siyo hayo majukumu ya mchongo ambayo kuna watu wengi tangu wanazaliwa hadi wanakufa hawajawahi kukutana nayo by the way ni wanaume wangapi wezi wakivamia majumbani mwao huwa wanapigana nao, mbona matukio mengi tunayosikia ni wezi kuvamia nyumba na kuwaweka chini familia nzima kisha wanasomba mali au pesa na kuondoka au wengine wanavamia nyumba na kumcharanga mapanga baba kisha mama anabakwa na hakuna mtu anayewafanya chochote hao wezi

Mkuu ugumu wa majukumu unapimwa kwa time na energy ambayo mtu anatumia kuyafanya majukumu husika na siyo kusema eti hili ni automatic na lingine ni economic, kuna watu wengine wanaingiza pesa bila kutumia efforts nyingi hao nao utasema wana jukumu zito kisa tu bado sijaona hoja ya kusema majukumu ya mwanamke ni rahisi zaidi ya blah blah tu, majukumu ya mwanamke nayo ni magumu since yanakula muda na nguvu na wakati mwingine yanaweza hata kugharamu afya na uhai wa mwanamke na hujanijibu swali langu kwamba kama majukumu ya mwanamke ni rahisi mbona hamyapendi

Umetumia vigezo gani kusema mwanaume kutafuta pesa ni 'must' na mwanamke kutafuta pesa ni 'for fun' sasa kama ni hivyo mbona wanawake wakihitaji kuhudumiwa mnawaita majina ya ajabu ajabu mara ombaomba mara magolikipa, na kama mnajua mwanamke kutafuta kwake siyo must mbona umelalamika kuhusu jukumu la kuhudumia familia kuwa la mwanaume ni kipi kilichokufanya ulalamike in the first place, yani hadi sasa hueleweki hoja yako ni ipi naona kama unajicontradict tu kuwa muwazi unataka jukumu la mwanaume liwe lipi na la mwanamke liwe lipi fafanua hapo
 
Wewe juzi si ulisema mahusiano yaende 50 -50 na uzi ukaandika. Ila leo unauliza majukumu ya mwanaume,jibu si unalo 50-50.
We jamaa nahisi walimu wako walipata shida sana wakati unasoma yani ufafanuzi wote ule niliokupa nikajua ulielewa kumbe ulitoka kapa, nilisema hivi kama wanaume mnataka 50/50 basi mkubali kugawana na majukumu ya nyumbani na siyo yenu tu yani mkubali kusaidiana kazi za nyumbani na wake zenu na pia mume asimtawale mke wake, kama mkikubali hayo basi wanawake nao itabidi wafanye majukumu yenu ila kama hamtaki hayo basi msilazimishe 50/50 endeleeni na jukumu lenu la kutafuta pesa na kuhudumia familia peke yenu
 
Leo tenawanaume tunataka? Ushabadilisha magoli.Naona hata memory ya unacho kizungumza hauna


Ngojea na kuletea comment, zako nilijua kuna siku utajikanyaga,leo ndio umejikanyaga.
 
Leo tenawanaume tunataka? Ushabadilisha magoli.

Ngojea na kuletea comment, zako nilijua kuna siku utajikanyaga,leo ndio umejikanyaga.
Wanawake wanataka 50/50 under those conditions i have mentioned acha kujifanya kichwa ngumu, nilishakuambia wanawake hawawezi kuendelea na 50/50 ikiwa ninyi bado mnataka mfumo dume, ili wanawake waendelee na agenda yao inabidi wanaume muachane na mfumo dume simple tu
 
Ngoja nikukumbusha naona memory yako ujazo wa kisoda.

Tatizo lako hujihelewi unakaza fuvu kama sanamu la Posta. Leo ndio unajua mwanaume hatakiwi kudiscuss maswala ya bili na mwanamke. Ila kwenye uzi wako umeandika tofauti.

Leo eti unataka kujua jukumu la mwanaume ni lipi wakati juzi umekazania 50-50.Husikiongee kile husicho weza kukiishi hawa ww mwenyewe, kwani huna tofauti na mnafiki.
 
Hizo listi ni kudanganyana tu.

Siri ya ndoa ni kutokubali kuoa au kuolewa.

Ni kuoana tu.
 
Hata ukiandika ukajaza vitabu elfu huwezi kuweka uwiano wa makubaliano kati ya mme na mke. Ndo maana kibiblia (kwa wakristo), mme ni kichwa na mke ni kiwiliwili. Sasa tangu lini kichwa kikakaa na kujadili mustakabali wa familia na kiuno au mguu au kinyeo, au kikojoleo? Mwanaume anatakiwa awe na supreme power juu ya mke na mke kazi yake ni kutii! Sasa wanaume wa siku hizi wamepoteza ummiliki wa wake zao (mimi najiondoa kwasababu wangu nammudu na anatii pamoja na kwamba ni graduate)
 
Aghalabu mtu mwenye kukidhi vigezo tajwa huja mara moja kwenye maisha yako. Tena huja mapema during teenage, wengi tunapoteza hapa. Ikishafika 30's of age, daily malalamiko jukwaani MMU.
Teenager age vijana wengi wanakuwa wamepugwa na maisha ile mbaya sio kama enzi hizo umemaliza chuo na kazi unayo na mademu kuwa nao huku unajitafuta ni msala
 
Huyo graduate tayari ana chanzo Cha kipato?
 
Yani umehangaika kuenda kutafuta mada ambayo niliyeiandika najua nilichokiandika ila wewe ndiye ambaye umeshindwa kukielewa halafu unasema nimejikanyaga, msimamo wangu ni ule ule wala sijabadili maneno na wala hakuna sehemu niliyojikanyaga, ila wewe ni either umeamua kujitoa ufahamu au una kichwa kigumu

Huyo niliyemquote anaonesha wazi yeye ni wale wa mfumo dume na kwenye mfumo dume siku zote ni jukumu la mwanaume kutafuta pesa na kuhudumia familia, lakini cha ajabu analalamikia hilo jukumu ndio maana nikamuuliza alitaka jukumu la mwanaume liwe lipi, kwenye 50/50 tu ndio inatakiwa wanaume na wanawake wasaidiane kwenye majukumu yote

Sasa wewe umetoka from nowhere umevamia mada kwa ujasiri wote nikajua utakuwa na la maana la kuandika, kumbe unarudia tena ambayo nilishakufafanulia hoja ni kwamba kama unataka mfumo dume basi tafuta pesa hudumia familia, kama unataka 50/50 saidiana majukumu yote na mkeo ikiwemo kazi za ndani na usidai mamlaka ya kumtawala mkeo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…