Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiongozi ulitaka jukumu la wanaume liwe lipiIla hili jukumu la Bill kuwa la mwanaume basi tu
Siwezi kupanga mimi muislam nafuata miongozo ya Dini yangu, ila nachomaanisha hili jukumu gumu sana hasa kwa Dunia ya leo maanayake ukizungumzia BILLS unazungumzia pesa na maisha ya sasa pesa imekuwa ngumu na kitu ambacho unauhakika kabisa kukipata kwasababu AJIRA HAKUNA, KUPATA AJIRA NGUMU, Ajira zilizopo hazina uhakika unakuta unapata ajira leo inakushinda mwezi mmoja tu....Kiujumla jukumu kilasiku lazima utoe pesa ya matumizi na maisha hayana uhakika kuwa utapata hio pesa CONFUSED.Kiongozi ulitaka jukumu la wanaume liwe lipi
Ndio maana nikauliza kwahiyo jukumu la wanaume linatakiwa liwe lipi, inashangaza kuona jinsia ambayo toka enzi imejipa mamlaka juu ya familia inalialia kuhusu jukumu lake juu ya hiyo familia yake, sasa kama hilo jukumu limewashinda hayo mamlaka ya kutawala mnayataka ya niniSiwezi kupanga mimi muislam nafuata miongozo ya Dini yangu, ila nachomaanisha hili jukumu gumu sana hasa kwa Dunia ya leo maanayake ukizungumzia BILLS unazungumzia pesa na maisha ya sasa pesa imekuwa ngumu na kitu ambacho unauhakika kabisa kukipata kwasababu AJIRA HAKUNA, KUPATA AJIRA NGUMU, Ajira zilizopo hazina uhakika unakuta unapata ajira leo inakushinda mwezi mmoja tu....Kiujumla jukumu kilasiku lazima utoe pesa ya matumizi na maisha hayana uhakika kuwa utapata hio pesa CONFUSED.
Ila majukumu ya mwanamke rahisi, most ni natural yapo in biological form na yapo vilevile tangu dunia kuanza.
Talking ugumu ujaambia limemshinda mtu, kitu kukifanya haimaanishi kuwa kirahisi na kitu kuwa kigumu haimaanishi kuwa kikushinde.....Duniani tupo kwa mitihani sio peponi hapa but talking hio mitihani na majukumu wanaume wameoewa majukumu heavy akijia mwizi usiku men utauana nae nkNdio maana nikauliza kwahiyo jukumu la wanaume linatakiwa liwe lipi, inashangaza kuona jinsia ambayo toka enzi imejipa mamlaka juu ya familia inalialia kuhusu jukumu lake juu ya hiyo familia yake, sasa kama hilo jukumu limewashinda hayo mamlaka ya kutawala mnayataka ya nini
Sasa haya majukumu, some stuffs ambazo zipo automatic kunyonyesha kuna sehemu unaenda some na kufanya interview kupata maziwa ya kunyonyesha, Katie Mume eti, kufagia ndanj serious, kuzaa eti, kubeba ujauzito what.Kwamba unataka kusema majukumu ya mwanamke ya kufanya kazi za ndani, kubeba ujauzito, kuzaa, kunyonyesha, kulea na kutii mume ni rahisi, kama ni rahisi mbona mkiambiwa mfanye kazi za ndani hamtaki na hamzipendi, sasa ninyi wanaume mnataka mfanye jukumu gani
Mwanamke kutafuta na kuwa na pesa ni OPTION, mwanaume kutafuta na kuwa na pesa MUST.....Jifunze hio tofauti kwanza.Jukumu kuwepo tangu dunia kuanza haimaanishi kuwa limekuwa rahisi ila wanaume mnatafuta sababu tu, dunia ya leo mbona wanawake wengi wanatafuta pesa na wanatimiza majukumu yao vizuri tu ila hawalalamiki, kama majukumu ya mwanamke ni rahisi vipi leo hii wewe ungeambiwa uwe mwanamke ungekubali
Wewe juzi si ulisema mahusiano yaende 50 -50 na uzi ukaandika. Ila leo unauliza majukumu ya mwanaume,jibu si unalo 50-50.Kiongozi ulitaka jukumu la wanaume liwe lipi
Yani unavyoongelea hilo la mwizi kuvamia nyumbani utasema ni tukio ambalo linaweza kutokea kila siku kwenye kila nyumba, hapa tunaongelea majukumu ya kila siku siyo hayo majukumu ya mchongo ambayo kuna watu wengi tangu wanazaliwa hadi wanakufa hawajawahi kukutana nayo by the way ni wanaume wangapi wezi wakivamia majumbani mwao huwa wanapigana nao, mbona matukio mengi tunayosikia ni wezi kuvamia nyumba na kuwaweka chini familia nzima kisha wanasomba mali au pesa na kuondoka au wengine wanavamia nyumba na kumcharanga mapanga baba kisha mama anabakwa na hakuna mtu anayewafanya chochote hao weziTalking ugumu ujaambia limemshinda mtu, kitu kukifanya haimaanishi kuwa kirahisi na kitu kuwa kigumu haimaanishi kuwa kikushinde.....Duniani tupo kwa mitihani sio peponi hapa but talking hio mitihani na majukumu wanaume wameoewa majukumu heavy akijia mwizi usiku men utauana nae nk
Sasa haya majukumu, some stuffs ambazo zipo automatic kunyonyesha kuna sehemu unaenda some na kufanya interview kupata maziwa ya kunyonyesha, Katie Mume eti, kufagia ndanj serious, kuzaa eti, kubeba ujauzito what.
Simaanushi kuwa hayo si majukumu nayaelewa kama majuku ila yapo very automatic, yana flow tu hakuna kitu kinazoua, most of them more biologic huwezi linganisha na ECONOMIC THING ambalo ndio jukumu la mwanaume.
ECONOMIC STUFFS not automatic things, not biological thing, it become hard time to time as a say muda huu kuna wanaume kibao mfukoni hana kitu leo na familia inahitaji ile, Wengine hawana ajira na familia haielewi inachojua intake kula.....Don't put those soft sentences here.
Mwanamke kutafuta na kuwa na pesa ni OPTION, mwanaume kutafuta na kuwa na pesa MUST.....Jifunze hio tofauti kwanza.
Mwanamke awe na pesa aside na pesa, awe na ajira aside nayo still anaweza kuolewa/anyone sifa za kuolewa na ku sustain kwenye suala zima la mahusiano.....OPTION.
Mwanaume only two side, uwe na pesa ndio uwe na mustakabari wa mahusiano na ndoa mbali na hapo huna sifa....MUST
Wewe kusema hata wanawake wanatafuta pesa haina mantiki naweza kusema wanatafuta JUST FOR FUN, Mwanaume Not Fun ni MUST....usifananishe hivi hits never Be a man uwelewe naongea nini hapa.
Mwanaume na mwanamke wanafanya kazi sehemu wote wakafukuzwa kazi, hapa msamiati wa KUFUKUZWA KAZI una deserve kwa mwanaume tu sio huyo SHE, She yeye alikuwa pale kazini FOR FUN simaanishi kuwa hana matumizi na pesa au hana majukumu nachomaanisha kivyovyote huo uhitaji wake wa pesa ukilinganisha na mwanaume mimi naupa jina FOR FUN/KIND OF COMEDIC THING.
We jamaa nahisi walimu wako walipata shida sana wakati unasoma yani ufafanuzi wote ule niliokupa nikajua ulielewa kumbe ulitoka kapa, nilisema hivi kama wanaume mnataka 50/50 basi mkubali kugawana na majukumu ya nyumbani na siyo yenu tu yani mkubali kusaidiana kazi za nyumbani na wake zenu na pia mume asimtawale mke wake, kama mkikubali hayo basi wanawake nao itabidi wafanye majukumu yenu ila kama hamtaki hayo basi msilazimishe 50/50 endeleeni na jukumu lenu la kutafuta pesa na kuhudumia familia peke yenuWewe juzi si ulisema mahusiano yaende 50 -50 na uzi ukaandika. Ila leo unauliza majukumu ya mwanaume,jibu si unalo 50-50.
Leo tenawanaume tunataka? Ushabadilisha magoli.Naona hata memory ya unacho kizungumza haunaWe jamaa nahisi walimu wako walipata shida sana wakati unasoma yani ufafanuzi wote ule niliokupa nikajua ulielewa kumbe ulitoka kapa, nilisema hivi kama wanaume mnataka 50/50 basi mkubali kugawana na majukumu ya nyumbani siyo yenu tu yani mkubali kusaidiana kazi za nyumbani na wake zenu, na vile vile mume asitake kumtawala mke wake kama mkikubali hayo basi wanawake nao itabidi wafanye majukumu yenu ila kama hamtaki hayo basi msilazimishe 50/50 endeleeni na jukumu lenu la kutafuta pesa na kuhudumia familia peke yenu
Wanawake wanataka 50/50 under those conditions i have mentioned acha kujifanya kichwa ngumu, nilishakuambia wanawake hawawezi kuendelea na 50/50 ikiwa ninyi bado mnataka mfumo dume, ili wanawake waendelee na agenda yao inabidi wanaume muachane na mfumo dume simple tuLeo tenawanaume tunataka? Ushabadilisha magoli.
Ngojea na kuletea comment, zako nilijua kuna siku utajikanyaga,leo ndio umejikanyaga.
Ngoja nikukumbusha naona memory yako ujazo wa kisoda.Wanawake wanataka 50/50 under those conditions i have mentioned acha kujifanya kichwa ngumu, nilishakuambia wanawake hawawezi kuendelea na 50/50 ikiwa ninyi bado mnataka mfumo dume, ili wanawake waendelee na agenda yao inabidi wanaume muachane na mfumo dume
Tatizo lako hujihelewi unakaza fuvu kama sanamu la Posta. Leo ndio unajua mwanaume hatakiwi kudiscuss maswala ya bili na mwanamke. Ila kwenye uzi wako umeandika tofauti.Ndio, kuna msemo unasema "with great authority comes great responsibility" yani kila mamlaka makubwa huambatana na majukumu makubwa, lakini jambo la kushangaza ni kwamba wanaume wengi hasa wa kiafrika wanayataka hayo mamlaka tu ila majukumu hawayataki
Mimi naona ifike pahala dunia iachane rasmi na mfumo dume na haki sawa ishike hatamu, kwa sababu wanaume hawataki tena majukumu hivyo hata hayo mamlaka hayawafai, wanaume wengi hawataki haki sawa ila wanataka majukumu sawa tena ikibidi mwanamke ndio afanye zaidi ya mwanaume
MImi naona kusiwe tena na mgawanyo wa majukumu yani hata kazi za nyumbani zifanywe na wote kama ambavyo kutafuta pesa limekuwa ni jukumu la wote, majukumu ya mwanamke yabaki yale ya asili na ya kimaumbile tu ambayo ni kubeba ujauzito, kuzaa na kunyonyesha, hayo tu ndio ambayo mwanaume hawezi kuyafanya ila majukumu mengine yote ya nyumbani kama kupika, kuosha vyombo, kufua, kusafisha nyumba, kulea watoto tangu wakiwa wachanga mfano kuwasafisha, kuwauguza wakiumwa, nk yafanywe na wote kwa usawa kabisa
Na vile vile kwa mfano mume akiweka laki mezani na mke naye aweke laki mezani mahitaji yote ya nyumbani wanunue kwa usawa bills zote walipe kwa usawa, na watoto wao wawahudumie kwa usawa ikiwemo kuwalipia ada na mahitaji yao mengine yote kwa usawa, hiyo ndio maana halisi ya 50 50 siyo mmoja anamtegea mwenzie eti mtu anataka pesa mtafute wote na bills mlipe wote, ila kazi za nyumbani na kulea watoto afanye mmoja na bado huyo mmoja amtii mwenzie na amlee kama anavyowalea watoto wake, what kind of cockamamie logic is this
Na jambo jingine naona pia tuachane na suala la mwanaume kumtawala mwanamke kila mtu ajitawale mwenyewe kusiwe na habari za kichwa cha familia, yani hakuna tena kusema kwamba mwanamke anatakiwa amtii mumewe kila mtu awe na maamuzi juu ya maisha yake mwenyewe, kusiwe na wa kumuongoza mwenzake na pia kusiwe na habari za kuoa wala kuolewa tena bali iwe ni kuoana
Mnawalaumu wanawake kuwa wanadai haki sawa halafu hawataki majukumu lakini mnasahau kwamba sababu ya wao kukataa hayo majukumu ni kwa sababu mnataka wafanye yale ya kwenu tu, ila ya kwao bado mmewaachia wenyewe hamtaki kuyafanya yani huwezi kumuambia mwanamke ajitafutie pesa zake na akusaidie majukumu, halafu hapo hapo bado unataka huyo mwanamke akufanyie majukumu ya nyumbani na bado akupe heshima na utii
Kwanza hapo huyo mke anakuwa siyo msaidizi tena bali ni kama business partner tu hivyo ondoa kichwani suala la kumlazimisha akutii, hivi mnadhani mwanamke aliambiwa amtii mwanaume kwa misingi gani kama siyo kuhudumiwa maana huwezi kukitawala kiumbe usichokihudumia, hakuna binadamu mwenye akili timamu anayefurahia kutawaliwa na binadamu mwenzie asiyewajibika kwa lolote juu yake na kiuhalisia ukitoa huduma zinazohusisha pesa hakuna wajibu mwingine mwanaume alionao juu ya mwanamke
Kama ikiwa mtoto anamtii mzazi wake kwa sababu amemzaa na amemlea, watu wa dini wanaitii miungu yao kwa sababu wanaamini imewaumba na inawapa uhai, je mwanamke anapaswa amtii mumewe kwa sababu gani, tena hata mtoto mwenyewe akishatoka kwao akaanza kujitegemea kinachobaki kwa mzazi wake ni ile heshima tu kuwa amemzaa, lakini huyo mzazi anakuwa hana mamlaka tena ya kumpangia mtoto maisha yake mfano afanye kazi gani au arudi nyumbani muda gani kwa sababu hamhudumii tena
Sasa inashangaza pale mwanaume anapotaka mkewe atafute pesa wasaidiane maisha kwa kisingizio kwamba mke naye ana mikono miwili na miguu miwili, ila huyo huyo mwanaume haoni ajabu kumtawala huyo mke mwenye mikono miwili na miguu miwili kama yeye, yani imefikia hatua wanaume wanaona uchungu kugawana mali na wake zao na wengine ndio kabisa hawataki kuoa kwa kisingizio kwamba eti wakishafanikiwa wake zao watadai talaka ili wagawane mali
Yani hawaconsider tena yale majukumu yote ambayo wake zao wanawafanyia pamoja na utii ambao wake zao wanawapa, siku hizi wanadai kwamba kila mtu ajitafutie pesa zake na ikitokea wameachana kila mtu aondoke na chake, lakini cha kushangaza kwenye majukumu mengine hawasemi kila mtu afanye kwa usawa na kwenye suala la mamlaka hawasemi kila mtu ajitawale mwenyewe
Wale waumini wa ukristo hasa wanaume kama mmeamua kufuata maandiko basi fuateni yote, na kama mmeamua kuyapuuzia basi yapuuzieni yote msichague yale yanayowanufaisha ninyi tu halafu mengine mnajifanya hamyaoni, kwa sababu maandiko yanasema mume ndio atakula kwa jasho na si mke, halafu mbele ndio yanaendelea kwamba mwanaume atamtawala mwanamke, yule mke mnayemuota wa Mithali 31 yalikuwa mawazo binafsi ya mfalme Suleiman na si maagizo ya muumba
Hivo basi ifike pahala wanaume mchague moja kati ya mwanamke mfanyakazi/mfanyabiashara au mama wa nyumbani, na aina yoyote utakayochagua hapo lazima ukubaliane na sifa zinazoambatana na aina hiyo ya mwanamke siyo unachagua mfanyakazi/mfanyabiashara mnasaidiana majukumu, halafu hapo hapo unataka awe kama mama wa nyumbani au unachagua mama wa nyumbani halafu hutaki kumhudumia unaanza kumuona golikipa
Hizo listi ni kudanganyana tu.Kabla ya kukubali kuoa ama kuolewa na mtu inapaswa muwe na maongezi marefu kuhusu engo zote za maisha
1. Jadilini kuhusu bilis za maisha atakuwa anazilipa nani na kama mtalipa wote ni kwa mgawanyo gani, usiingie kwenye ndoa kimya kimya ukiwa na silent expectations
2.Mitindo ya malezi, maana kuna watu wanapenda malezi ya kizungu na wengine wanapenda malezi ya ukizingua ni viboko
3. Mtazamo kuhusu mikopo. maana kuna watu wanapenda kukopa na kuna watu hawapendi kukopa lazima mjuane kila mmoja yupo upande gani
4. Madeni ya nyuma mliyonayo. ni vizuri ukajua mwenza wako kama anadaiwa kiasi gani kabla hamjafunga ndoa
5. Jadilini kuhusu imani za kidini, maana mtu anaweza kuwa KKKT ila anapenda mikesha ya manabii. ili kwenye ndoa usishangae atakapokuwa anaenda mikesha hiyo. msigombane
6. Jinsi ya kushughulika na familia zenu yaani wakwe na mawifi na hata kuishi na ndugu .
7. Imani gani itawekwa kwa watoto wenu
8. Trauma za utotoni ambazo umepitia ili mwenza asikushangae kipindi una Anxiety ama uoga wa jambo fulani
9. Matarajio ya Tendo la ndoa ama sex. kama umezoea mechi kali. Sex drive yako ipo juu ni vizuri kumueleza mwenza wako mapema. Pia kama mzee wa mapenzi ni uchafu unapenda chumvini na oral sex zote. Mwenza wako akujue. maana unaweza kuwa wewe mpenda kunyonywa huku mwenza wako hapendi anaona kinyaa
10. Matarajio kwa mwenzi, vizuri ukamueleza mchumba wako kwamba una expect nini kutoka kwake kwenye ndoa
11. Matarajio ya kifedha. ni vizuri kujadili views zenu kwenye maswala ya utafutaji pesa na hata utumiaji pesa. kuna watu wanapenda simple life na kuna watu wanapenda life lenye heka heka za utumiaji pesa kuanzia harusi tu anataka ya kutrend instagram .
12. Historia ya afya ya familia zenu. msifichane hili lina umuhimu mkubwa.
13. Historia ya afya ya akili. muhimu pia kujadili hili ili mwenza wako akuelewe ajue jinsi ya kudili na wewe ukivurugwa kuepusha mauaji ama divorce
14. Orodha ya ndoto zenu. ni lazima muambiane ndoto zenu mapema. ili mwenza asishangae kipindi unafanya jambo fulani. mfano unaacha kazi Bank na kwenda kujiajiri Sokoni mwenza asipige kelele za ajabu
14. Makazi ya familia yawe wapi ? hii muhimu sana kujua base yenu itakuwa wapi.. maana isije kuwa mke anapenda kuishi dar es salaam na mume anapenda kuishi morogoro ama mwanza. ikaja leta makelele
15. Kazi na elimu zenu ni muhimu muambiane ukweli. isije kuwa mwenza anajua anaolewa na professa mtarajiwa kumbe mume huna malengo hayo ya kielimu na hata ka certificate ka amazon college huna
16. Jadilini kuhusu maoni ya kisiasa na chochote kingine kinachokuja akilini maana Upendo HAUTOSHI.View attachment 2936439
Hata ukiandika ukajaza vitabu elfu huwezi kuweka uwiano wa makubaliano kati ya mme na mke. Ndo maana kibiblia (kwa wakristo), mme ni kichwa na mke ni kiwiliwili. Sasa tangu lini kichwa kikakaa na kujadili mustakabali wa familia na kiuno au mguu au kinyeo, au kikojoleo? Mwanaume anatakiwa awe na supreme power juu ya mke na mke kazi yake ni kutii! Sasa wanaume wa siku hizi wamepoteza ummiliki wa wake zao (mimi najiondoa kwasababu wangu nammudu na anatii pamoja na kwamba ni graduate)Kabla ya kukubali kuoa ama kuolewa na mtu inapaswa muwe na maongezi marefu kuhusu engo zote za maisha
1. Jadilini kuhusu bilis za maisha atakuwa anazilipa nani na kama mtalipa wote ni kwa mgawanyo gani, usiingie kwenye ndoa kimya kimya ukiwa na silent expectations
2.Mitindo ya malezi, maana kuna watu wanapenda malezi ya kizungu na wengine wanapenda malezi ya ukizingua ni viboko
3. Mtazamo kuhusu mikopo. maana kuna watu wanapenda kukopa na kuna watu hawapendi kukopa lazima mjuane kila mmoja yupo upande gani
4. Madeni ya nyuma mliyonayo. ni vizuri ukajua mwenza wako kama anadaiwa kiasi gani kabla hamjafunga ndoa
5. Jadilini kuhusu imani za kidini, maana mtu anaweza kuwa KKKT ila anapenda mikesha ya manabii. ili kwenye ndoa usishangae atakapokuwa anaenda mikesha hiyo. msigombane
6. Jinsi ya kushughulika na familia zenu yaani wakwe na mawifi na hata kuishi na ndugu .
7. Imani gani itawekwa kwa watoto wenu
8. Trauma za utotoni ambazo umepitia ili mwenza asikushangae kipindi una Anxiety ama uoga wa jambo fulani
9. Matarajio ya Tendo la ndoa ama sex. kama umezoea mechi kali. Sex drive yako ipo juu ni vizuri kumueleza mwenza wako mapema. Pia kama mzee wa mapenzi ni uchafu unapenda chumvini na oral sex zote. Mwenza wako akujue. maana unaweza kuwa wewe mpenda kunyonywa huku mwenza wako hapendi anaona kinyaa
10. Matarajio kwa mwenzi, vizuri ukamueleza mchumba wako kwamba una expect nini kutoka kwake kwenye ndoa
11. Matarajio ya kifedha. ni vizuri kujadili views zenu kwenye maswala ya utafutaji pesa na hata utumiaji pesa. kuna watu wanapenda simple life na kuna watu wanapenda life lenye heka heka za utumiaji pesa kuanzia harusi tu anataka ya kutrend instagram .
12. Historia ya afya ya familia zenu. msifichane hili lina umuhimu mkubwa.
13. Historia ya afya ya akili. muhimu pia kujadili hili ili mwenza wako akuelewe ajue jinsi ya kudili na wewe ukivurugwa kuepusha mauaji ama divorce
14. Orodha ya ndoto zenu. ni lazima muambiane ndoto zenu mapema. ili mwenza asishangae kipindi unafanya jambo fulani. mfano unaacha kazi Bank na kwenda kujiajiri Sokoni mwenza asipige kelele za ajabu
14. Makazi ya familia yawe wapi ? hii muhimu sana kujua base yenu itakuwa wapi.. maana isije kuwa mke anapenda kuishi dar es salaam na mume anapenda kuishi morogoro ama mwanza. ikaja leta makelele
15. Kazi na elimu zenu ni muhimu muambiane ukweli. isije kuwa mwenza anajua anaolewa na professa mtarajiwa kumbe mume huna malengo hayo ya kielimu na hata ka certificate ka amazon college huna
16. Jadilini kuhusu maoni ya kisiasa na chochote kingine kinachokuja akilini maana Upendo HAUTOSHI.View attachment 2936439
Teenager age vijana wengi wanakuwa wamepugwa na maisha ile mbaya sio kama enzi hizo umemaliza chuo na kazi unayo na mademu kuwa nao huku unajitafuta ni msalaAghalabu mtu mwenye kukidhi vigezo tajwa huja mara moja kwenye maisha yako. Tena huja mapema during teenage, wengi tunapoteza hapa. Ikishafika 30's of age, daily malalamiko jukwaani MMU.
Huyo graduate tayari ana chanzo Cha kipato?Hata ukiandika ukajaza vitabu elfu huwezi kuweka uwiano wa makubaliano kati ya mme na mke. Ndo maana kibiblia (kwa wakristo), mme ni kichwa na mke ni kiwiliwili. Sasa tangu lini kichwa kikakaa na kujadili mustakabali wa familia na kiuno au mguu au kinyeo, au kikojoleo? Mwanaume anatakiwa awe na supreme power juu ya mke na mke kazi yake ni kutii! Sasa wanaume wa siku hizi wamepoteza ummiliki wa wake zao (mimi najiondoa kwasababu wangu nammudu na anatii pamoja na kwamba ni graduate)
Yani umehangaika kuenda kutafuta mada ambayo niliyeiandika najua nilichokiandika ila wewe ndiye ambaye umeshindwa kukielewa halafu unasema nimejikanyaga, msimamo wangu ni ule ule wala sijabadili maneno na wala hakuna sehemu niliyojikanyaga, ila wewe ni either umeamua kujitoa ufahamu au una kichwa kigumuNgoja nikukumbusha naona memory yako ujazo wa kisoda.
View attachment 2939300
Tatizo lako hujihelewi unakaza fuvu kama sanamu la Posta. Leo ndio unajua mwanaume hatakiwi kudiscuss maswala ya bili na mwanamke. Ila kwenye uzi wako umeandika tofauti.
View attachment 2939317
Leo eti unataka kujua jukumu la mwanaume ni lipi wakati juzi umekazania 50-50.Husikiongee kile husicho weza kukiishi hawa ww mwenyewe, kwani huna tofauti na mnafiki.