Kabla hujakubali kuolewa ama kumuoa mtu, fanya naye maongezi marefu mjadiliane mambo ya msingi Kuhusu Maisha

Nimeleta huu uzi kuonyesha unafaiki wako.Ndio maana siku zile ulikuwa unabisha nilikuacha nikajua kuna siku utajikanyaga,leo nimekukumbisha.

Yaani mpaka ulicho ongea jana umekisahau, leo unarudi kule kwenye mfumo dume.Yaani ww mwenye unashindwa kutunza kumbukumbu ya ulicho kiandika ndio unieleweshe mimi.
 
Nimeleta huu uzi kuonyesha unafaiki wako.Ndio maana siku zile ulikuwa unabisha nilikuacha nikajua kuna siku utajikanyaga,leo nimekukumbisha.

Yaani mpaka ulicho ongea jana umekisahau, leo unarudi kule kwenye mfumo dume.
Wewe hukusoma uzi wangu wote ulisoma kichwa cha habari tu hebu kasome uzi ndio urudi hapa, ungesoma uzi wangu wote usingekuja na hizi pumba maana waliouelewa uzi wangu wakisoma unachoandika hapa watakushangaa, hakuna unafiki hapo msimamo wangu wa siku zote ni huo huo kwamba kama mmeikubali 50/50, basi saidianeni majukumu yote msichague na kama mnataka mfumo dume basi timizeni majukumu yenu, sijawahi kubadili huo msimamo na sitakaa nibadili
 
Yaani ww mwenye unashindwa kutunza kumbukumbu ya ulicho kiandika ndio unieleweshe mimi.Hapo sijascreenshot ya comment zako ulizokuwa unanijibu.
 
Yaani ww mwenye unashindwa kutunza kumbukumbu ya ulicho kiandika ndio unieleweshe mimi.Hapo sijascreenshot ya comment zako ulizokuwa unanijibu.
Wewe sema tu kwamba hukubaliani na mada yangu ila siyo unisingizie mimi kwamba nimebadili maneno, usilazimishe kwamba mimi sikumbuki nilichokiandika kumbe ni wewe tu ndio hutaki kukubaliana na ukweli, na mimi nasubiri ulete screenshots za comments zangu ili uzidi kuumbuka maana huko ndio nakumbuka nilikufafanulia vizuri kabisa hoja yangu wewe zilete hapa
 
Huji helewi ndio maana nilikuacha,ila leo umejikanyaga.
 
Vijana mkifuata ushauri wa mleta mada, ndoa zenu zitakuwa kama jehanam! Huwezi kujadiliana na mtu ambaye ni emotionally driven, non-logical! Sisi ambao tupo kundi la dronedrake hatuna habari na huu Uzi.
 
Ushauri mzuri mkuu.. sema ndoa saiv zinafeli ata kama ayo yooot yakizingatiwa
 
Huji helewi ndio maana nilikuacha,ila leo umejikanyaga.
Hata kuandika kwenyewe mtihani "huji helewi" ndio nini lete hizo screenshots vipi mbona ghafla umepunguza spidi ya kuleta ushahidi, zilete hapa ili tuone kati ya mimi na wewe nani kajikanyaga wewe itakuwa umenifahamu juzi, wanaonifahamu tangu najiunga jf wanaijua misimamo yangu sijawahi kupindisha maneno wala kubadilika
 
Hata kama mkifanya maongezi ya siku saba bila ukweli kati yenu na Mungu kazi ni bure pyeee,,,,uongo ni mwingi siku hizi na acting ni nyingi piaa
 
Acha kucomplicate ndoa wewe... wewe ni aina ya mwanaume dhaifu
 
Mkuu mbona unapoteza muda kwa huyu Jadda binti mwenye sonona? Huyu alipigwa tukio na sharobaro aliyempenda akili yake imekuwa kama imewehuka hivi.
 
Wengi wanafunga ndoa kwa kuendeshwa na mihemko ya tamaa za kukidhi haja za kimwili(Hasa me) na mwingine kuhudumiwa na kuringishia mashosti instagram.
 
Uzi mzuri sana huu ila sasa,
Asilimia kubwa ya vijana wanaotegemea kuoana hawapo hapa JF na hata kama wapo haya hayana nafasi kwao, sababu wanaendeshwa na rika la hamsha hamsha la u_teenage maji ya moto.

Wakiwa ni watu wazima basi wataendeshana ndoto zao, although haya uliyoandika huwa yanatokea pale ambapo mmeshapatana kitambo humo humo ndani ya ndoa.
 
Nakuhakikishia kiasi kikubwa utakacho ambiwa kwenye hayo majadiliano na utakacho shuhudia kwenye ndoa ni vitu kumi tofauti kabisaaaaaa, kuna vitu mtu hawezi kusema lakini utaviona kwa vitendo
 
Hii imeenda ila sio kwa wanawake mambwa wa kitanzania akili mavi tupu na funza juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…